Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
tayari wameshaitwa APO,ATO,ACO kuripoti 13 april chuo cha kodi
tayari wameshaitwa APO,ATO,ACO kuripoti 13 april chuo cha kodi
hongera mungu akubariki.jamani me nimeitwa nimeambiwa nikachukue barua makao makuu room namba 27 kesho.
Oral interview nilifanya ya apo
tayari wameshaitwa APO,ATO,ACO kuripoti 13 april chuo cha kodi
jamani me nimeitwa nimeambiwa nikachukue barua makao makuu room namba 27 kesho.
oral interview nilifanya ya APO
ashukuriwe mungu, jana asubuhi mida ya saa 3 kasoro niliitwa saa nne nikawa nimepata barua yangu as ato.
Vp jamani tumefanya wote interview.
inaelekea wanaita taratibu na kwa mchanganyikoTuendelee kuomba tu,walioitwa hongera zao