Leo wameita TA naamini kesho wataita PA cha msingi siku 3 hizi tukae karibu na simu
Wanapiga simu sawaKama ni kweli kwa watoa ushuhuda hawaa...
Pr3ssure ishaaanza......
Kwanini tusipate snapshot ya barua moja kupata uthibitisho kabisaaa....
Na pia walioitwa wametumia njia ganii...kupiga simu...,Emails Au vyotee????
Wadau kuna mtu yoyot ana information kuhusu kuitwa kazini kw post za procurement za TRA waliofanya interview february pale landmark hotel
Habari zenu wanaJF naomba mnijuze jamani mna taarifa kuhusu TRA wale tuliofanya oral interview kule tumaini kwa nafasi za TA,APO na PA manake kuna mtu kaniambia kuwa kaambiwa kuna baadhi wameanza kuitwa sa cjajua Kama kweli au la
kumbe wanaendelea kuita mpaka leo..
ngoja nizid kuvuta subira..
God is Good lets wait for his mercy! .
TRA wameshamaliza kuita nini?no new news today,kua ACO haikua ridhiki am very depressed.
Usikate taama ndugu kuna mtu kaitwa Jana ACO itakua bdo wanaita so subria tu na kumuomba Mungu
Mungu ni mwema wamenipigia Leo Kama PA
Hongera mkuu, wamekupigia mida ya saa ngapi?[/QUOT
Asante Sana ndugu Yang asubuhi