Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

KUNGUNIMSOMI

Senior Member
Sep 8, 2013
169
160
Habari wasaka ajira! Kuna tetesi ambao hazijathibishwa rasmi kuhusu kuitwa kwenye usahili wa mahojiano TRA!? Je ni kweli!? Tetesi zifuatazo bado hazijazibitishwa.

1. Kuwa wameita oral interview wale wa intern tu waliokuwa wanajitolea TRA.

2. Na Wameshachukua barua tayari kwa ajili ya kuripoti kazini

3. Kuwa Ile interview ambayo iliendeshwa ni formality tu,

NB: Hizi ni tetesi tu bado hazijathibishwa, kwaiyo kwa anayeweza kuthibitisha au mamlaka husika inaweza kukanusha.
 
Mbn haifungukii matoke
10-30 marks zao 65
31-50 marks zao 56
51-70 marks zao 43
ni mwendo wa class interval tu
emoji38.png

Matokeo yametoka kaangalie
Baada ya kupigiwa kelele Jana wametoa Leo..mimi sikufanya nilikuwa nawasemea watu.
 
Nina uhakika 100% kuwa usahishaji wa tax management officer haukua fair.
Generally paper yenyewe ilikua na makosa ya uchapishaji mengi tu mfano time allowed iliandikwa 70mins (ninty minutes)
Title ya paper yenyewe pia ilikosewa kuandikwa Ila.
a) Overall assemment kwenye procedures and examination conducts ilikua hovyo there were 90% chances mtu kumfanyia mwenzie mtihani especially kwa experience nilipofanyia mtihani Udom Auditorium Cive vyeti vilihakikiwa venue nyingine pamoja na ID Kisha watu waanza kumarch mmoja mmoja kwenda venue nyingine nahuko watu waliingia na hawakukaguliwa chochote si Identity card Wala simu.
b) Watu wa sehemu mbalimbali walifanya mtihani mmoja kwa mida tofauti hivyo uwezekano mkubwa Sana mtihani ulivuja.
Kwa upande wa mtihani haukua ngumu multiple choice zilikua based on residential status charitable organisations na vitu vingine elementary ambavya vingi nilikua familiar.
Explanation based questions zilikua rahisi mno mtihani weakness ni mtihani haukua na sehemu za kutosha za majibu ambayo ni extremely bias kwasababu watu wanatofautiana miandiko pia ilikua based on listing rather than explaining concepts ambayo majority ya watu naamini wameweza kulist. Specifically kwa case yangu all questions were easy na computation ya National Income, condition za kutumika presumptive tax, input vat claimability, reason za jeopardy assessment, reason za appeals of which najua majority wamezipata na ilikua kuandika maneno machache tu. I don't get the point of seeing such scores in this exams. In my opinion, TRA Hawatakiwi kupewa mamlaka kamili kuajiri watoto wa masikini ndio wanaimia ambao hawana mtetezi.
 
Umeongea vyema ndugu.. Na umetoa fact Bila kuwa bias.. Hili limeonekana mapema na jinsi ulivyoelezea mchakato unaonyesha unakasoro. Hatupo kuwananga Ila kuweza kuwashauri kuwa fair. Asante sana kwa kutoa maelezo yaliyojitosheleza ni wao Sasa kuyachukulia kwa uzito.
 
Siamini km aya matokeo yana uhalisia,ule mtihan maswali 3 nayajua nje ndani achana na ile multiple choice yao sikosi ata majibu 2 ya kweli kati ya 8...Matokeo sasa yanakuja nina 33
Duh!...
 
Back
Top Bottom