Kuitwa kaka/dada na mtu umpendae

Jamani twende mbele turudi nyuma.Kuitwa kaka/dada na mtu umpendae inauma sana
Au sio?
Wala haiumi kama kaka yangu Mondray

Dogo achia avatar yangu oohooo ntakuombea na wewe ban
Hakyamungu mkuu hii kitu inauma sana
Na sipendi kabisa.
Mfano huyu mdada hapa juu [HASHTAG]#Numbisa[/HASHTAG] nampenda sana hope anajua hilo lakini analonifanyia umeliona.
Hua nina slogan moja tu
Dada yangu ni yule aliye nyonya ziwa la mama Yangu tu...
 
ngoja ni chukue slogan yako mkuu
 
Acha zako wewe,ukiona unaitwa kaka jiongeze bana, akili za kuzaliwa changanya na za kuvukia barabara

Back
Top Bottom