Kuitwa kaka/dada na mtu umpendae

Kuitwa kaka/dada na mtu umpendae

Iyo mbaya sana haina tofauti na umwambie mtu wampenda then yy aseme asante hahaaaaa
 
Ukiambiwa kipole unajitoa akili ee ngoja nitumie mbinu kali
16465681_881924391944457_3840239879803895808_n.jpg

Mpenzi nijiongeze vipi
Fafanua kidogo..
 
Ha ha ha ha mie ukija na ukaka/udada tunapinguluwa na urafik kabisa
 
Back
Top Bottom