Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,073
- 51,655
Huyu ni anakutenga taratibu. Hana mpango na ww.
Haya nitaachaUnaelewa inavouma ila bs tu unajibalaguza n kuzuga..... Acha io

Na mtoto baba m1 mama mbalimbali utamuita mtoto wa baba?Hakyamungu mkuu hii kitu inauma sana
Na sipendi kabisa.
Mfano huyu mdada hapa juu [HASHTAG]#Numbisa[/HASHTAG] nampenda sana hope anajua hilo lakini analonifanyia umeliona.
Hua nina slogan moja tu
Dada yangu ni yule aliye nyonya ziwa la mama Yangu tu...
Huyo natafuna boss akishobokaNa mtoto baba m1 mama mbalimbali utamuita mtoto wa baba?
Ooh good to hear this...Hakyamungu mkuu hii kitu inauma sana
Na sipendi kabisa.
Mfano huyu mdada hapa juu [HASHTAG]#Numbisa[/HASHTAG] nampenda sana hope anajua hilo lakini analonifanyia umeliona.
Hua nina slogan moja tu
Dada yangu ni yule aliye nyonya ziwa la mama Yangu tu...
Amekukosea adabu na nimeshampiga ban mwaya!
Tena mpe ya miezi mitatu kabisaAmekukosea adabu na nimeshampiga ban mwaya!
Unafanya mambo ya ajabu ajabu halafu nikiingilia kati unaanza kulalamika!!
Nifanye mambo yangu sasa???

Yani tusijuane tena