sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Katika mitandao mbalimbali ya mawasiliano ya jamii neno KAKA, narudia KAKA limeshamiri sana.... mara hongera Kaka mara pole KAKA mara karibu KAKA....neno hili sasa ninakuwa superfluous.... unakuta mtu hata amekuzidi umri anakwambia kaka( na asitokee hata mmoja akachukua context ya kiingereza brother ) swali je kwa nini watanzania tumekuwa waoga hivi? hivi tumekuwa watu wa kuthamini flattary tu kwa nini? ni kukosa confidence juu ya kupambana na changamoto zinazotukabili! Jumuiya ya afrika mashariki ni dhahiri kenya itatufunika......tungoje tuone.... tutakalia kaka, kaka.....
nimezungumzia mitandao ya kijamii neno KAKA limeshamiri sana linakuwa superfluous!Sijaelewa kumwita mtu kaka ni kukosa confidence, hebu fafanua
nimezungumzia mitandao ya kijamii neno KAKA limeshamiri sana linakuwa superfluous!
Katika mitandao mbalimbali ya mawasiliano ya jamii neno KAKA, narudia KAKA limeshamiri sana.... mara hongera Kaka mara pole KAKA mara karibu KAKA....neno hili sasa ninakuwa superfluous.... unakuta mtu hata amekuzidi umri anakwambia kaka( na asitokee hata mmoja akachukua context ya kiingereza brother ) swali je kwa nini watanzania tumekuwa waoga hivi? hivi tumekuwa watu wa kuthamini flattary tu kwa nini? ni kukosa confidence juu ya kupambana na changamoto zinazotukabili! Jumuiya ya afrika mashariki ni dhahiri kenya itatufunika......tungoje tuone.... tutakalia kaka, kaka.....
Kaka unakosea kaka..
Neno kaka linatumika tu ku keptcha atensheni ya mtu wakati unamwongelesha kaka..
Ni kama vile tunavyotumia tu maneno mengine yeyote kaka,, hayana uhusiano wowote na self esteem ya mtu kaka..
Kaka kwa nini umewaza hivyo kaka?
kuna mtu anakuita kaka na komfidensi yake iko chini nini kaka?
Nice shot..................wewe unaita kaka wakati umekosa confidence????
wewe unaita kaka wakati umekosa confidence????
Nice shot..................
Kaka nipo kaka nilikuwa nimepiga kambi jukwaa la siasa kaka...Kaka upo
Muda sana sijakuona kwenye jukwa kaka
Oooppppsssss kumbe na mimi nimekosa confidence eeehhh
kaka umenikuna kaka....hahahhaha nimekukubali kakaKaka unakosea kaka..
Neno kaka linatumika tu ku keptcha atensheni ya mtu wakati unamwongelesha kaka..
Ni kama vile tunavyotumia tu maneno mengine yeyote kaka,, hayana uhusiano wowote na self esteem ya mtu kaka..
Kaka kwa nini umewaza hivyo kaka?
kuna mtu anakuita kaka na komfidensi yake iko chini nini kaka?
Mimi sijaelewa kitu hapa..
nimeona KAKA, then KAKA, then Confidence, Then AFRIKA MASHARIKI.......
Sijaona Point.......Sooo!!! kamata hii KAKA.
Kaka acha tu, hata mi nashangaa kaka, sijui inakuwaje kaka!! haya bana kaka!!!