Kuishi miaka mingi

Kiuhalisia hakuna maana ya maisha ila ni vyema mtu mwenye afya nzuri, mali za kumtosha na furaha aishi muda mrefu ili afurahie siku za ubatili wake.

Kuishi siku nyingi za shida au mateso ni umama uliotukuka!

Soma ramani ya maisha yako ukiona mbeleni utapata tabu sana ujiondoe mwenyewe.

Cha muhimu fanya lolote ili furaha yako itimie,,,,,,, nje ya hapo wewe sepa tu
 
kati ya masikini na tajiri yupi anakesha Kufunga na kuomba siku ya ile ya kuja Kristo ije haraka ?....
Hakuna anayekesha hata mmoja,zaidi ya masikini kuendelea kumchukiza Mungu kwa kuwachukia matajiri.
 
Kiuhalisia hakuna maana ya maisha ila ni vyema mtu mwenye afya nzuri, mali za kumtosha na furaha aishi muda mrefu ili afurahie siku za ubatili wake.

Kuishi siku nyingi za shida au mateso ni umama uliotukuka!

Soma ramani ya maisha yako ukiona mbeleni utapata tabu sana ujiondoe mwenyewe.

Cha muhimu fanya lolote ili furaha yako itimie,,,,,,, nje ya hapo wewe sepa tu
Hakuna mwanadamu anayependa kifo,au maumivu katika ugonjwa...cha muhimu ni kujua namna ya kuishi muda mrefu bila maumivu.
 
Nini kifanyike ili tuweze kuishi miaka 100 au na zaidi?
Wengi wetu tumekuwa tukiishi miaka 30,40,50,60 n.k au pungufu ya hapo na kufa.
Je ni halali kufa mapema?Nini kifanyike sasa?
Mkuu usiogope wajibu !! Kufa ni wajibu. Unaweza ukazingatia masharti ya afya ukafa kwa ajali . Utakwepa ajali ufe kwa furaha nk nk.
Swala ni kuwa tayari anytime.

Kuboresha maisha kuna saidia kuondoa vifo vya hovyo hovyo, lakini mwisho wa siku lazima u RIP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tunajua kifo kipo,kwa nini tunaishi kwa majivuno,tunajenga majengo makubwa n.k?
 
Back
Top Bottom