Kuishi miaka mingi

Hizo zote nimezishika tangu nikiwa mdogo,je nitafika miaka 100?
............Vyema,basi kaa subiri wakati wa Mungu utende.

Pia kukutoa wasiwasi tu Kitabu Kitakatifu nachotumia kuna verses zinasema "Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake duniani zinahesabika,nazo hujaa tabu na masumbuko,miaka yake ni sabini ikizidi ni kwa neema ya Mungu" hivyo wewe mleta mada unaweza kuangukia hapa.

Yote yanawezekana hwo knows!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
ha ha ha ha ha
 
First of all we have to stop papuchi hustling, we gotta die before days men.., hunt for more money to avoid being terrified by fatal death like Adyeri and his son The fortpotal bullet. .

Zero IQ, am very sorry ni katika hali ya utani mkuu nmejikuta namshika paka mkia, yaan nmegusa tengo lenyewe,,, ila nikweli tufanye kazi kwa sana kuliko kuwaza papuchi akati mfuko mkavu,,

Team mboga zero nahisi wenzangu mnanielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Papuchi was made ili tuitafune mkuu,

CC Zero IQ
 
Uzi mzuri sana huu na unamaana sana.Nikweli miaka yetu inazidi kupungua,chanzo ni dhambi nadhani ukisoma kitabu cha mwanzo utaona wazee wetu walikuwa wanaishi miaka mpaka 900,lakini Mungu aliishusha mpaka 120 pale mwanzo 6.3,na baadae alishusha mpaka miaka 70.Chamsingi nikufuata sheria za Mungu na kanuni zake haswa za ulaji.Nadhani ktk kitabu cha kutoka pale tunaweza jifunza mambo mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom