Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

Taikon wa fasihi umefululiza sana machapisho hatimaye umeanza kuandika mada zisizo na ubunifu.

Yaani mambo ambayo ni ya kawaida kabisa na jamii inayafahamu ata sayansi imethibitisha habari ya vinasaba, mbona iko wazi.
Iko waz kwako...
wengine hawajui ... acha mkufunz akufunze wengine

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Sasa umezungumzia kwamba kuna koo zimebarikiwa kuishi miaka mingi. Tena hapohapo unashauri watu wale milo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Sasa umezungumzia kwamba kuna koo zimebarikiwa kuishi miaka mingi. Tena hapohapo unashauri watu wale milo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Ili kitu kiitwe kitu kinajengwa na vitu.

Hata ukila Milo Kwa kuzingatia Afya haimaanishi uache factors zingine
 
Ndugu yangu sijaacha kamwe kufuatilia mada zako, nyingine ngumu sana na nyingine ni nyepesi kuelewa.
Lakini hii imenipa changamoto kidogo namna ya kuielewa huku niki linganisha na ukoo wetu.
 
Hajaandika kwa ajili ya wanaofaham, bali kwa sisi tusiofaham, humu jukwaan kuna watu wenye uelewa tofauti tofauti, kua mpole mkuu

Lugha nyepesi mkuu ROBERT HERIEL inaeleweka kwa yeyote
 
Mvulugano wa mila nao unachangia watu kuasi tamaduni zao ama/ na pia kusababisha majanga ikiwemo kufa mapema.

Hatujui tamaduni zetu, huenda zingesaidia kwa namna moja ama nyingine ila ndo ivo ukijua lugha ya kabila lako imeisha hakuna mtu anajua zaidi kuhusu kabila lake.
 
Nakubaliana na wewe kiasi flan,ila kwamba uwakumbuke wazazi baada ya kufa,ety huwa hawafi siyo Kwel,baada ya kifo Ni hukumu na hakuna kumbukumbu lao Tena duniani,safisha makaburi inapobidi lakini si vinginevyo..ukiwabudu baada ya kifo unabudu mizimu hapo na since wazazi waliokufa
 
Hapa leo sikuungi mkono! Kifupi mission yako ikikamilika hapa duniani imekamilika, halafu kuhusu suala la kuzaliwa kwenye ukoo fulani halihusiani na umri wa kuishi mkuu, binaadamu hatufanani wala hakuna muingiliano wa namna yoyote ile na koo, ukizangia hata mimba tunazopeana sisi wanaadamu kuna uchakachuaji flani unafanyika kwenye matumbo yetu na hao viumbe waliotut3ngeneza
 
Wanaompinga huyu jamaa sijui wanapinga nini sasa, ipo generation ya watu wanaishi miaka mingi kuliko kizazi kingine, hiyo ni nature au asili (ipo constant ukitoa factors nyingine) anayebisha na abishe.

Fanya case study kwa Tanzania uone zipo kabila zinadanji fasta kuliko nyingine na bado watu watabisha mfano maasai lives more longer kulinganisha na wengine hapa bongo.
Chinese lives longer than others in the world regardless of other factors.
 
Back
Top Bottom