Kila mtu abaki ktk mfano huu, huu ni mfano hai.Unapozungumza G7 ni sawa unazungumzia Iphone au Samsung, na BRICS ni sawa na Tecno au Infinix.
Nimependa sentensi yako ya mwisho kuwa mambo mengine hayafai kubishana.Nipo USA so I know what I'm talking about. Nimefika huko Asia as well ukitoa majengo huko ni Ileje iliyochangamka. Wachina walipata maendeleo kwa kukimbilia magharibi ipo well documented na bado hadi leo wanakimbilia magharibi, lini umesikia watu wa US na Ulaya wanakimbilia China, India au Russia?
Elimu, vyuo bora duniani vinapatikana wapi? Chuo cha kwanza China comes 26 on the list. Nani mwenye akili timamu ataacha kusoma Harvard, Duke, Stanford, MIT, Yale nk akasome Tsinghua sijui huko? Nani anakijua kwanza? Kwa elimu ya juu nobody comes close to USA, ukitoa hizo Ivy league schools vyuo vingi vina ubora wa hali ya juu.
Uliza hapo bongo watu waliosoma huko Asia wanavyobaguliwa na elimu zao zinavyodharaulika. Leo hii bongo kuna watu wakifika hospital wakijua dkt kasoma China, Russia sijui Ukraine hawakubali kutibiwa nae wanajua mmepata elimu ya mchongo huko, mnaenda kusoma vyuo vya kata wakati vyuo vyao wenyewe wanasoma wao wenyewe tu. Jisomee huo uzi.
![]()
Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana
Habari za asubuhi. Somo tajwa hapo juu lahusika. Sisi tuliosoma nje ya nchi tukirudi Tanzania kwenye taasisi za serikali tunanyanyapaliwa sana. Suluba inaanzia hapa: Kwanza tunaambiwa tukavithibitishe vyeti vyetu TCU. Tukifika TCU usumbufu tunaopata pale ni mkubwa sana! Unaambiwa upeleke...www.jamiiforums.com
Tuje kwa watu weusi waliotusua USA vs huko Asia. Nitaongelea first generation immigrants tu maana nikisema weusi wote waliofanikiwa US vs huko BRICS itakua unfair. Ushawasikia watu kama Tope Awotona, Trevor Noah, Adebayo Ogunlesi, Lupita Nyong'o nk. Hawa wote ni wazaliwa wa Africa na sasa ni millionaires wengine billionaires kabisa. Unajua tajiri wa kwanza duniani Elon Musk ni mzaliwa wa South Africa? Patrick Soon-Shiong je? Hapo sijaongelea wasanii na wanamichezo wala weusi wazaliwa wa US wenyewe ambao wametawala michezo na sanaa. Kuna mtu mwenye akili timamu anaweza shindanisha fursa za USA na nchi zingine? Taja wageni watatu tu kwa majina waliofanikiwa kwenye hizo nchi zako walioenda huko kama wageni watatu tu? I bet you hawapo. Nikikwambia taja watu weusi waliofanikiwa kwenye hizo nchi na hadi sasa wanaishi huko huwezi nipa jibu maana hawapo.
Mambo mengine ni so obvious kubishana ni kupoteza muda tu.
Unapoteza muda wako bure kubishana na hao, labda nkusaidie jambo moja ambalo pengine hujawaelewa hawa watu.Boeing, Airbus, Lockheed Martin, Honeywell zipo wapi?
TakbiiiiiirNchi yoyote ya kiarabu, bila kusahau Algeria and Morocco, huko wanajitambua sana,Ushoga ni [emoji777] ukisomea hizo nchi unapata maadili mazuri.
Arab countries
Russia
China
[emoji2]Raia wa BRICS wenyewe wako bize kutafuta Visa ili kuhamia nchi za G7..
Sasa mimi ni nani nikimbilie mahali wenyeji wanapakimbia?
Jf Kuna matikiti mengi sanaUnapoteza muda wako bure kubishana na hao, labda nkusaidie jambo moja ambalo pengine hujawaelewa hawa watu.
Hawaipendi US kutokana na ishu za kidini. Kwahiyo hata kama ukaongea vipi hawatakuelewa. Sisi tuliowazoea humu jukwaani tunawatazama tu.
Kuna kitu unashindwa tofautisha hapaumewahi kusikia wapi mtu kazima meli na kuibukia India, Urusi au china? huko ni jua la utosi kabisaa tena wabaguzi sana . mahala pa kwenda siku zote ni G& tuu.hata hao wachina na warusi mahella yao yote wameyafukia G7
Narudia tena ayupo binadamu mwenye akili timamu ambaye ataambiwa achague kati ya Hopkins na st petersburg akachagua petersburgNipo USA so I know what I'm talking about. Nimefika huko Asia as well ukitoa majengo huko ni Ileje iliyochangamka. Wachina walipata maendeleo kwa kukimbilia magharibi ipo well documented na bado hadi leo wanakimbilia magharibi, lini umesikia watu wa US na Ulaya wanakimbilia China, India au Russia?
Elimu, vyuo bora duniani vinapatikana wapi? Chuo cha kwanza China comes 26 on the list. Nani mwenye akili timamu ataacha kusoma Harvard, Duke, Stanford, MIT, Yale nk akasome Tsinghua sijui huko? Nani anakijua kwanza? Kwa elimu ya juu nobody comes close to USA, ukitoa hizo Ivy league schools vyuo vingi vina ubora wa hali ya juu.
Uliza hapo bongo watu waliosoma huko Asia wanavyobaguliwa na elimu zao zinavyodharaulika. Leo hii bongo kuna watu wakifika hospital wakijua dkt kasoma China, Russia sijui Ukraine hawakubali kutibiwa nae wanajua mmepata elimu ya mchongo huko, mnaenda kusoma vyuo vya kata wakati vyuo vyao wenyewe wanasoma wao wenyewe tu. Jisomee huo uzi.
![]()
Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana
Habari za asubuhi. Somo tajwa hapo juu lahusika. Sisi tuliosoma nje ya nchi tukirudi Tanzania kwenye taasisi za serikali tunanyanyapaliwa sana. Suluba inaanzia hapa: Kwanza tunaambiwa tukavithibitishe vyeti vyetu TCU. Tukifika TCU usumbufu tunaopata pale ni mkubwa sana! Unaambiwa upeleke...www.jamiiforums.com
Tuje kwa watu weusi waliotusua USA vs huko Asia. Nitaongelea first generation immigrants tu maana nikisema weusi wote waliofanikiwa US vs huko BRICS itakua unfair. Ushawasikia watu kama Tope Awotona, Trevor Noah, Adebayo Ogunlesi, Lupita Nyong'o nk. Hawa wote ni wazaliwa wa Africa na sasa ni millionaires wengine billionaires kabisa. Unajua tajiri wa kwanza duniani Elon Musk ni mzaliwa wa South Africa? Patrick Soon-Shiong je? Hapo sijaongelea wasanii na wanamichezo wala weusi wazaliwa wa US wenyewe ambao wametawala michezo na sanaa. Kuna mtu mwenye akili timamu anaweza shindanisha fursa za USA na nchi zingine? Taja wageni watatu tu kwa majina waliofanikiwa kwenye hizo nchi zako walioenda huko kama wageni watatu tu? I bet you hawapo. Nikikwambia taja watu weusi waliofanikiwa kwenye hizo nchi na hadi sasa wanaishi huko huwezi nipa jibu maana hawapo.
Mambo mengine ni so obvious kubishana ni kupoteza muda tu.
kama ishu ni ishoga mbona ata bongo wapo kule unaenda kufuata kilichokupeleka mambo yao ya ushoga unawaachia wenyeweNchi yoyote ya kiarabu, bila kusahau Algeria and Morocco, huko wanajitambua sana,Ushoga ni [emoji777] ukisomea hizo nchi unapata maadili mazuri.
Arab countries
Russia
China
Huko Nato sindio ushoga umejaa!! Hapafai, acha waende wasiojitambua.
Kwangu mimi nitachagua arab countries, (RC) Rusia na china.
Brazili Hapana, ufirauni ufirauni.
SA Hapana, ukatili ikatili
Uturuki iko NATO na asilimia 95 ya wananchi wake ni Waislamu.
kama ishu ni ishoga mbona ata bongo wapo kule unaenda kufuata kilichokupeleka mambo yao ya ushoga unawaachia wenyewe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Narudia tena ayupo binadamu mwenye akili timamu ambaye ataambiwa achague kati ya Hopkins na st petersburg akachagua petersburg
[emoji2][emoji2][emoji2]Yaani G7 ndio ulinganishe na shitholes Russia , South Africa , India , Brasil
Napendekeza Nchi yoyote ambayo inajali utu wa mtu pamoja na misingi iliyowekwa Toka kuumbwa kwa dunia
KWA KIFUPI SIWEZI KUISHI NCHI INAYOTETEA NA KUENEZA USHOGA......
Zingatia kichwa cha uzi....Says the guy who has Liverpool, wavaa rainbow for pride awareness, as his signature. How ironic?