cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,308
Nilijua tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nendeni G7 mkajifunze na tabia zao mbaya za ketetea upinde wa rangi saba
Nilijua tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nendeni G7 mkajifunze na tabia zao mbaya za ketetea upinde wa rangi saba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapozungumza G7 ni sawa unazungumzia Iphone au Samsung, na BRICS ni sawa na Tecno au Infinix.
Sasa, mbna wa [emoji1026] na [emoji1173] wanakimbilia G7Nchi yoyote ya kiarabu, bila kusahau Algeria and Morocco, huko wanajitambua sana,Ushoga ni [emoji777] ukisomea hizo nchi unapata maadili mazuri.
Arab countries
Russia
China
Hata km walipewa bure siyo sababu ya mie kujirahisisha kwao...tena ni wabaya kwanini wampe bure baba yake hiyo Elimu?? Walikuwa wanataka kumuomba nini?Mtoa mada tambua Kwanza wakati Babu zako wanapata uhuru ,walitibiwa na madaktari walisomea Russia Tena bure Nyerere hakulipia Ada ,....