Yote uliyoongea ni utopolo na wishful thinking. Nini Kati ya hayo yanakusaidia wewe moja kwa moja? Nchi kuwa na watu wenye IQ na purchasing power kubwa inakusaidia nini wewe binafsi? Vichina na mihindi yenyewe inakimbilia North America na western Europe habari gani wewe Mmatumbi.
Taja mgeni hata mmoja let alone mtu mweusi aliyefanikiwa huko kweli kweli Mimi nikutajie mamia waliotoboa USA wakiwa first generation immigrants.
Unajua bongo watu waliosoma Russia na China wanavyodharauliwa? Unajua watumishi wa balozi za BRICS countries wanavyochukuliwa poa comparing to their counterparts wanaofanya kwenye balozi za G7? That should tell you something.
Leo hii Wewe ukienda kusoma China unapewa elimu tofauti kabisa na anayosoma mchina mwenyewe sababu huelewi Lugha yao na ubaguzi kwao bado ni legal.
Nenda ukaliwe kichuri labda ndio unachokitaka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila nimejibu kutokana na mada niliyoikuta, Sasa wewe msukuma wa Nyaumata, utaelewa nini?
Elimu? Lete ushahidi wa kuwa elimu ya Uchina ipo kwa misingi ya ubaguzi?[emoji38][emoji38][emoji38] au Elimu ya Kirusi ipo kwa mfumo huo?
Ila kwa akili zako elimu ya Magharibi haipo kwa ubaguzi? Kama sivyo leta ushahidi ukihusisha na entrance ya vyuo vyao Bora vya Teknolojia.
Eti first immigrants generation? Unajua kutokana na historia ya USA, je unaweza leta ushahidi wa idadi ya population ya hao first immigrants na idadi ya waliofanikiwa versus general population.
Idadi ya waliofanikiwa black versus whole black population in USA.
Upande wa Urusi hakuna significant African population kwenye jamii Yao ila kati ya hao wachache wapo waliochaguliwa mpaka umeya katika white majority population, je USA?
Unapoongea level za ubaguzi Kuna ambaye anaifikia USA na kule kwao ni Institution racism mpaka vyombo vya ulinzi na usalama.
China Nako ni hivyo hivyo kama Urusi, unless ulete ushahidi ulio wazi.