Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,227
- 1,362
ukitaka kujua wapi kuna mziki na soka linatajilisha ndiko huko huko zamia g7. kwingine huko hutajiliki kwa kipaji wala biashara. BRIC ni bora kuishi baidoa somalia kuliko huko. chunguza baraza la mawaziri lao huko huko Bric, je kuna damu ya mtu mweusi? hakuna!