Kuishi/kusoma kwenye nchi za G7 vs BRICS

Kuishi/kusoma kwenye nchi za G7 vs BRICS

BRICS ipo hadi Afrika ya kusini, vipi nao ni weupe?

Ubaguzi, hivi Kuna Taifa lenye ubaguzi kama Italia? Hispania na Marekani Ile shirikisho?

Unaweza kushindanisha Taifa gani level ya IQ zidi ya Mchina hapa duniani?

Mnafahamu Purchasing power parity ya BRics inaizidi European union na Marekani?

Hivi mnajua Kwa upande wa Teknolojia ya Siraha, hakuna wa kuifikia Urusi?

Unajua promising emerging market ni India na Brazil hapa ulimwenguni? Na sio Shrinking economy za Ulaya na Marekani?

Nitachagua msipopenda Wengi ila kati ya Urusi au China
muoneni uyu nae China na India ni wingi wa watu tu but 40% ya wananchi wao ni maskini wakutupwa hakuna nchi inayoigusa USA duniani kwa purchasing power ile I phone ingekuwa kila kitu kinatengenezewa pale USA bei yake ingekuwa mara4 ya hii unayoiona
 
1. IQ sijui umetumia kigezo gani kusema china ina IQ kubwa kuliko mataifa tajwa apo juu. IQ yao hasa ni juu ya nini? Nani anayerun dunia kwa kila kitu? Ni China? Unajua nguvu ya Ulaya kuwekeza china imefanya china nayo kuinuka mno eneo la kiuchumi? Kama yeye ana IQ kubwa ilikuaje mpaka sasa asiwe ameshika usukani wa ulimwengu?

2. Teknolojia, sijui unaishi dunia ipi. Ni kweli unaweza diriki kusema china ina tec kuliko US na mataifa ya ulaya? Nenda vyanzo vya habar vya china uone leo wameripot nini, kaagiza ndege 92, hata tec ya kuunda ndege zake za ndani bado hajafikia level hiyo.

US iko mbali mno, huu ni ukweli unaoumiza.
 
Nenda kajielimishe kwanza, maana unatia aibu
 
Yote uliyoongea ni utopolo na wishful thinking. Nini Kati ya hayo yanakusaidia wewe moja kwa moja? Nchi kuwa na watu wenye IQ na purchasing power kubwa inakusaidia nini wewe binafsi? Vichina na mihindi yenyewe inakimbilia North America na western Europe habari gani wewe Mmatumbi.

Taja mgeni hata mmoja let alone mtu mweusi aliyefanikiwa huko kweli kweli Mimi nikutajie mamia waliotoboa USA wakiwa first generation immigrants.

Unajua bongo watu waliosoma Russia na China wanavyodharauliwa? Unajua watumishi wa balozi za BRICS countries wanavyochukuliwa poa comparing to their counterparts wanaofanya kwenye balozi za G7? That should tell you something.

Leo hii Wewe ukienda kusoma China unapewa elimu tofauti kabisa na anayosoma mchina mwenyewe sababu huelewi Lugha yao na ubaguzi kwao bado ni legal.
mpe darasa uyo yani mtu aache kwenda kuishi Virginia USA akakae Maccau China [emoji16][emoji16]
 
1. IQ sijui umetumia kigezo gani kusema china ina IQ kubwa kuliko mataifa tajwa apo juu. IQ yao hasa ni juu ya nini? Nani anayerun dunia kwa kila kitu? Ni China? Unajua nguvu ya Ulaya kuwekeza china imefanya china nayo kuinuka mno eneo la kiuchumi? Kama yeye ana IQ kubwa ilikuaje mpaka sasa asiwe ameshika usukani wa ulimwengu?

2. Teknolojia, sijui unaishi dunia ipi. Ni kweli unaweza diriki kusema china ina tec kuliko US na mataifa ya ulaya? Nenda vyanzo vya habar vya china uone leo wameripot nini, kaagiza ndege 92, hata tec ya kuunda ndege zake za ndani bado hajafikia level hiyo.

US iko mbali mno, huu ni ukweli unaoumiza.
Kwamba unataka kusema?

Screenshot_20220701-173723.jpg
Screenshot_20220701-173723.jpg
 
Huwa nawaza sana kuhusu china.

Imekuaje wao wakaweza kutoka huko? Watu juhudi zao, teknolojia? Au ni nini?

Ila naamini kabisa moja ya sababu wao kutoka hapo walipo pengine ni misimamo mikali waliyojiwekea juu ya mali za umma.
Ni kweli mkuu kuwakomboa watu wa nchi yako kunahitaji moyo wa kweli kwa watu wako pia kunahitajika:-
i, Kuchukia rushwa
ii, Jenga taasisi imara
iii, Komboa watu wako kifikra zika zile fikra za awali za watu wako na Jenga fikra mpya ndani ya vichwa vyao
iv, Wewe Kama kiongozi kubali kuwa kafara kwa lolote litakalo tokea ilimradi watu wako wakomboke
V, Usiwe mbinafsi,usiwe mbaguzi kwa misingi yoyote juu ya watu wako
Vi, wapende kwa dhati watu wako furaha yao iwe furaha yako , huzuni yao iwe huzuni kwako
Vii, Mateso yao kimabavu na ya kiumasikini waliyo yapata kwenye tawala za nyuma hakikisha yanakugusa kwenye moyo na wewe ili uwe na dhamira kuu ya kutaka kuwafuta majozi kwa tawala mpya uliyosimika
Viii, weka sheria Kali kwa wabadhilifu wa Mali za umma, wala rushwa
Ix, Jenga inchi kwa ushirikiano pamoja na viongozi ulionao maana wapo viongozi ndani ya serikali yako wenye kujua Baadhi ya Mambo zaidi yako
X, Ruhusu Uhuru wa kimaoni na michango mbalimbali ya kimaendeleo ndani ya serikali yako
Xii, Jenga utamaduni wa watu wako kutanya kazi kwa bidii Kama punda ili kuweza kurahisisha maendeleo ya haraka
Xiii, Wewe Kama kiongozi chukia rushwa, ubadhilifu wa fedha ,uzembe na Mambo yote yatakayo kwamisha safari ya kimaendeleo Kama nchi
ix , Fahamu watu unao watawala je wanahistoria ya kuwa wapenda maendeleo na wachapakazi au ni wavivu , wazembe andaa mfumo utakao tumisha kuwa vusha
Xx, jifunze kwa mataifa yaliyofanikiwa wao walifanyaje mpaka wakafanikiwa
Xxi, Ipe kipaumbele Sana elimu kwa kiwango kikubwa kwa sababu inachochea maendeleo
Xxii, Tengeneza mfumo wa kiutawala[ Kisiasa na kiuchumi ] unaoendanana na mazingira ya nchi yako

PIA KUBALI KUJIFUNZA KILA SIKU MENGI MAPYA MAZURI YATAKAYO CHOCHEA NA KULETA MAENDELEO KATIKA TAIFA LAKO
 
Vyuo vizuri duniani vipo USA. Nipewe scholarship ya kwenda Stanford, Duke, Yale au California halafu nikatae niende Beijin? Hata kwa dawa yani japo wana chuo kimoja cha Tsinghua university inaweza kuwekwa kwenye vyuo hamsini bora duniani.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]uende India kwa kanjibai
 
Product za urusi akina Dr. Shika, Kingunge sasa check product za ubeberuni, Nyerere, Mengi, Mufuruki yaan tofauti zinaonekana tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Dr shika
 
Naona mabishano ya Brics na G7 naomba kuuliza wewe ukipewa ofa ya kuishi au kusoma nchi za G7 ambazo Ni Marekani, uingereza, Canada, Italy, Ufaransa, Ujerumani, Japan na kusoma au kuishi kwenye nchi za BRICS ambazo ni Urusi, China, Brazil, South Africa na India

Utachagua kwenda kuishi/kusoma kwenye nchi gani?

Toa sababu

Hope hapa ndo tutaona upande upi una ushawishi mkubwa duniani

Huko Nato sindio ushoga umejaa!! Hapafai, acha waende wasiojitambua.

Kwangu mimi nitachagua arab countries, (RC) Rusia na china.

Brazili Hapana, ufirauni ufirauni.
SA Hapana, ukatili ikatili
 
Raia wa BRICS wenyewe wako bize kutafuta Visa ili kuhamia nchi za G7..

Sasa mimi ni nani nikimbilie mahali wenyeji wanapakimbia?
 
Huko Nato sindio ushoga umejaa!! Hapafai, acha waende wasiojitambua.

Kwangu mimi nitachagua arab countries, (RC) Rusia na china.

Brazili Hapana, ufirauni ufirauni.
SA Hapana, ukatili ikatili
Unachagua uarabuni, vizuri sana...muscat au.....
 
Nenda ukaliwe kichuri labda ndio unachokitaka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ila nimejibu kutokana na mada niliyoikuta, Sasa wewe msukuma wa Nyaumata, utaelewa nini?

Elimu? Lete ushahidi wa kuwa elimu ya Uchina ipo kwa misingi ya ubaguzi?[emoji38][emoji38][emoji38] au Elimu ya Kirusi ipo kwa mfumo huo?

Ila kwa akili zako elimu ya Magharibi haipo kwa ubaguzi? Kama sivyo leta ushahidi ukihusisha na entrance ya vyuo vyao Bora vya Teknolojia.

Eti first immigrants generation? Unajua kutokana na historia ya USA, je unaweza leta ushahidi wa idadi ya population ya hao first immigrants na idadi ya waliofanikiwa versus general population.

Idadi ya waliofanikiwa black versus whole black population in USA.

Upande wa Urusi hakuna significant African population kwenye jamii Yao ila kati ya hao wachache wapo waliochaguliwa mpaka umeya katika white majority population, je USA?

Unapoongea level za ubaguzi Kuna ambaye anaifikia USA na kule kwao ni Institution racism mpaka vyombo vya ulinzi na usalama.

China Nako ni hivyo hivyo kama Urusi, unless ulete ushahidi ulio wazi.

Nipo USA so I know what I'm talking about. Nimefika huko Asia as well ukitoa majengo huko ni Ileje iliyochangamka. Wachina walipata maendeleo kwa kukimbilia magharibi ipo well documented na bado hadi leo wanakimbilia magharibi, lini umesikia watu wa US na Ulaya wanakimbilia China, India au Russia?

Elimu, vyuo bora duniani vinapatikana wapi? Chuo cha kwanza China comes 26 on the list. Nani mwenye akili timamu ataacha kusoma Harvard, Duke, Stanford, MIT, Yale nk akasome Tsinghua sijui huko? Nani anakijua kwanza? Kwa elimu ya juu nobody comes close to USA, ukitoa hizo Ivy league schools vyuo vingi vina ubora wa hali ya juu.

Uliza hapo bongo watu waliosoma huko Asia wanavyobaguliwa na elimu zao zinavyodharaulika. Leo hii bongo kuna watu wakifika hospital wakijua dkt kasoma China, Russia sijui Ukraine hawakubali kutibiwa nae wanajua mmepata elimu ya mchongo huko, mnaenda kusoma vyuo vya kata wakati vyuo vyao wenyewe wanasoma wao wenyewe tu. Jisomee huo uzi.

Tuje kwa watu weusi waliotusua USA vs huko Asia. Nitaongelea first generation immigrants tu maana nikisema weusi wote waliofanikiwa US vs huko BRICS itakua unfair. Ushawasikia watu kama Tope Awotona, Trevor Noah, Adebayo Ogunlesi, Lupita Nyong'o nk. Hawa wote ni wazaliwa wa Africa na sasa ni millionaires wengine billionaires kabisa. Unajua tajiri wa kwanza duniani Elon Musk ni mzaliwa wa South Africa? Patrick Soon-Shiong je? Hapo sijaongelea wasanii na wanamichezo wala weusi wazaliwa wa US wenyewe ambao wametawala michezo na sanaa. Kuna mtu mwenye akili timamu anaweza shindanisha fursa za USA na nchi zingine? Taja wageni watatu tu kwa majina waliofanikiwa kwenye hizo nchi zako walioenda huko kama wageni watatu tu? I bet you hawapo. Nikikwambia taja watu weusi waliofanikiwa kwenye hizo nchi na hadi sasa wanaishi huko huwezi nipa jibu maana hawapo.

Mambo mengine ni so obvious kubishana ni kupoteza muda tu.
 
Ukienda G7 lazima uwe na tabia za kishoga ha ha ha hawezi amini yaani inchi zote za G7 Zina itegemea Urusi kwenye technology ya anga ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Unachagua uarabuni, vizuri sana...muscat au.....

Nchi yoyote ya kiarabu, bila kusahau Algeria and Morocco, huko wanajitambua sana,Ushoga ni ❌ ukisomea hizo nchi unapata maadili mazuri.

Arab countries
Russia
China
 
Back
Top Bottom