Kuishi Duniani hakuhitaji Akili (Siri iliyojificha)

Kuishi Duniani hakuhitaji Akili (Siri iliyojificha)

Thanks so much bro, this is what has made the jews so successful in this world, and from the comments i see, many of these people commenting DID NOT UNDERSTAND YOU KABISA, its this way i use my intelligent to understand people, events and such UT i use GODS wisdom to live my life, its that simple, pls for further reading and meditation read and meditate on pslams 119 verse 130 have a very blessed weekend

Mkuu wengi hawezi elewa kwani wanadhani mafanikio wayapatayo ni matokeo ya akili zao lakini mabaya yakiwakumba humshtaki Mungu. Ndivyo akili ya mpumbavu ifanyavyo kazi
 
Uzi wako kiongozi naona umegusa gusa vitu bila kuelewa unataka ulete ujumbe gani japo kususdio lako zuri sana, Mwanadamu lazima atumie akili Mungu kampa kila uwezo wa kusimama kumtii kumwamudu na kumtukuza katika kiwambo muhimu sana kinachoitwa UTASHI (hapa labda kama ungesema turudi eden na umzuie adam kula tunda la mti wa kati kati according to records za historia za kimmani)
MY TAKE: Duniani tupo kwenye version 2 ya maisha Version 1 tulifeli eden ambayo ndo tusingetumia akili hapa uso wa dunia akili muhimu sana usipo itumia ndo utaingia hata madhehebu ya pastor feki wanao tumia akili za mwovu shetani RUHUSU NGUVU ZOTE ZITEMBEE MWILINI MWAKO NGUVU YA ROHO (u Mungu ukikusimami) na NGUVU ZA UBONGO ( ambazo Mungu hakuweka hicho kiungo bahati mbaya kama unavyofikili) na kumbuka Mungu katupa nafasi ya kumwabudu kwa haki na uhuru mkubwa sana kwa kutuachia haka kakifaa kanachoitwa ubongo kenye kuchakata taarifa zinazo pambambuniliwa kama akili kulinga na tokeo lake

Umenena vyema, ila mada ipo pale pale. Akili zitumie kumjua Mungu na si kuhangaika na maisha. Utakapomjua Mungu utaona kumbe ulikuwa unahangaika tuu bure.
 
Mungu " wenu mnamsingizia mambo mengi sana " halafu na yeye wala hajali anakula mikausho tu " Mungu kauzu sana Aisee

Mkuu njoo Pm alafu tukutane uone maisha yangu then useme Mungu anajali au hajali. Hakuna kutumia akili wala nguvu.
 
Inahitaji akili kunielewa lakini haihitaji akili kuishi duniani.

Mimi nipo duniani hivyo SITAKUELEWA maana situmii akili kabisa hapa duniani. ( kama ntaenda mbinguni ntakuelewa )
 
Ni wachache sana watakuelewa ulichomaanisha mkuu joka jeusi.

Asante kwa ujumbe murua.

Wengi ambao hawatanielewa ni watu wenye kiburi na jeuri. Watu ambao hata wakifanikiwa hujisifu kuwa akili zao ndio ziliwafikisha walipo. Huruma sana. Kumbe walipopitia ni kwa Msaada wa Mungu tuu.
 
Moja ya ujinga wa kuelewa vibaya mambo ya imani. Unajifungia ndani unaomba tu kumbe unatakiwa utafute pia, na kubisha hodi sehemu moja na nyingine mpaka ufanikiwe. Soma mathayo 7:7-11. Mungu ana hangaika na ndege na maua ya kondeni kuyalisha na kuyapendezesha. Lakin mwanadamu pamoja na uthamani wake kwa Mungu amepewa utashi na akili ya kutafuta, kuchagua na kufanya maamuzi sahihi. Sio ukae ndani ufuate neno la Mungu alafu Mungu apikie woooote dunia nzina awape chakula BIG BIG NOOO.

Hizo ndizo imani mfuu

Kufuata sheria ni kutii na si kutumia akili Mkuu. Maisha ni sheria wala si akili. Huwezi nielewa kabisa kama unaakili ndogo
 
Moja ya ujinga wa kuelewa vibaya mambo ya imani. Unajifungia ndani unaomba tu kumbe unatakiwa utafute pia, na kubisha hodi sehemu moja na nyingine mpaka ufanikiwe. Soma mathayo 7:7-11. Mungu ana hangaika na ndege na maua ya kondeni kuyalisha na kuyapendezesha. Lakin mwanadamu pamoja na uthamani wake kwa Mungu amepewa utashi na akili ya kutafuta, kuchagua na kufanya maamuzi sahihi. Sio ukae ndani ufuate neno la Mungu alafu Mungu apikie woooote dunia nzina awape chakula BIG BIG NOOO.

Hizo ndizo imani mfuu

Kwa hiyo kwa akili zako zoote unadhani nani anawalisha watu chakula hapa duniani? Unadhani ni akili zako ndio zinakupa chakula? Kama kuna mtu anadhani hilo basi kweli wapumbavu hawaishi duniani
 
Huwezi elewa kwa ubongo wa Mende.

Huenda unauelewa mdogo kuhusu maisha. Maisha yanahitaji utii kuliko akili. Ninaposema utii tayari nimezungumzia sheria, amri na maagizo. Mungu ndiye aliyeweka sheria mama ambazo mwanadamu anapaswa kuzifuata pasipo kutumia akili yake.

Kufanya kazi ni sehemu ya utii wa sheria za Mungu na za nchi.

Tukija kwenye ishu ya mambo yangu binafsi. Maana naona umeniuliza maswali, sijui nina familia, naishije hapa mjini, na mambo kadha wa kadha.

Ndio nina familia ya mke na mtoto mmoja.
Ninafanya kazi inayoniingizia kipato.
Nina elimu ya kidunia ambayo bila shaka kwenye ukoo wenu wote hakuna aliyeipata.
Kwa elimu ya kidini ndio usiguse kabisa.

Siku nyingine ujadili mada na si kutaka taarifa za watu ambazo hazitakusaidia kitu

Hiyo familia unaileaje pasipo kutumia akili?
OK, kumbe wewe ni mmoja wa wale wanaolelewa pamoja na familia zao.

Elimu uliyo nayo ndio inaakisi hiki ulichoandika? Unatia huruma mdogo wetu
Na sijui huyo mwanamke uliyemwoa anakubalije kuishi na mwehu/taahira

Taahira au mwehu ni anayeishi pasipo kutumia akili

Cha ajabu utaniquote tena wakati umejitanabaisha kuwa unaishi bila akili[emoji23][emoji23]
Sijui nani kakusaidia kuingia jf
 
Inahitaji akili kunielewa lakini haihitaji akili kuishi duniani.

Mimi nipo duniani hivyo SITAKUELEWA maana situmii akili kabisa hapa duniani. ( kama ntaenda mbinguni ntakuelewa )

Hahahahha!! Falsafa ni kwa wenye hekima tuu. Akili ndogo haziwezi elewa
 
Hiyo familia unaileaje pasipo kutumia akili?
OK, kumbe wewe ni mmoja wa wale wanaolelewa pamoja na familia zao.

Elimu uliyo nayo ndio inaakisi hiki ulichoandika? Unatia huruma mdogo wetu
Na sijui huyo mwanamke uliyemwoa anakubalije kuishi na mwehu/taahira

Taahira au mwehu ni anayeishi pasipo kutumia akili

Cha ajabu utaniquote tena wakati umejitanabaisha kuwa unaishi bila akili[emoji23][emoji23]
Sijui nani kakusaidia kuingia jf

Ukikua utaelewa Mada inahusu nini kwa sasa unachambua juu juu tuu.
 
Back
Top Bottom