Watakuelewa tu
Ila kumbuka Mungu ametuumba binadamu kuwa ni wabora zaidi kuliko viumbe wengine kwa akili aliyotupa
Kweli Mungu ndio anaegawa riziki na sisi jukumu letu ni kutafuta au inakuja kwa njia nyingine.
Kweli kabisaMtu huwa bora kwa kumcha Mungu. Imeandikwa Bora mbwa kuliko simba aliyekufa.
Kweli, uliza walio na mafanikio duniani, hawajatumia saaana akili zao. Ni majaaliwa tu ya Mola.Mwisho wa mada ungemalizia tu "I'm just kidding"
Zeal without knowledge is dangerous!wewe umetumia nn? mpaka now upo na Hali Gani????
Biblia yenyewe inasema, Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Halafu wewe unataka kupotosha watu, acha mara moja maana kusikiliza sauti ya Mungu kunahitaji akili tena ya kiwango cha juu, bila akili Musa asingeweza kusikiliza sauti ya Mungu ktk kuongoza wana waisraeli.
Siungi mkono hoja kwa sababu nilizoandika hapo juu.
Hilo kawadanganye wengine Sio MimiAkili haikupi ugali bali kushika sheria za Mungu ndio kunakupa ugali na maisha mazuri. Sheria haihitaji utumie akili bali inahitaji utii tuu basi nenda jeshini utaelewa
Mungu alikupa akili za nini?
Hii imechanganywa na kinyesiBange katka kiwango chake bora zaid