Kuna kitu kizuri ulikua unataka kuandika ila umeshindwa kukielezea vizuri, hata hiki ulichokiandika umetumia akili(matumizi mazuri ya akili). Akili yako unaweza kuitumia vizuri au vibaya, hata kufuata mapenzi ya Mungu ni matumizi ya akili(kwa wale wanaoamini uwepo wa Mungu). Unaweza kuwa vyovyote unavyopenda au kupata chochote unachotaka kama utaweza kuiamuru akili yako kufanya hivyo na ukaamini kwenye kile ulichoamuru akili yako kufanya(subconcious mind). Hivyo basi mtu wa kwanza kumsifia au kumlaani kwa matumizi mabaya ya akili ni wewe mwenyewe. You attracts the things you think most(law of attraction)