Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

Kama una mshkaji wako ambaye ni askari au mwanajeshi jaribu kumtumia kwa ahadi utampatia hata elfu 50 pesa ikiingia. Ni bora upate angalau sehemu ya pesa yako kuliko kuipoteza kabisa. Ikiwezekana jamaa wakimchimba mkwara vizuri anaweza kulipa na ya usumbufu mkuu.
Siku ingine usipende kuwakopesha marafiki walioko mbali pesa yako. Hata kama yupo jirani jitahidi sana kuangalia life style yake, vyanzo vyake vya kifesha, reputation yake kwa jamii, kiasi anachokukopa n.k siku zote zikiliza hisia zako, ukiona una mashaka mwambie huna hiyo pesa nawe ulikuwa na mpango wa kumkopa.
Jambo jingine la kuangalia, ni kwamba usipende kumkopesha mtu kiasi kilekile anachokukopa .....kama ukikopwa laki mbili unamwambia mkopaji sina hiyo labda nikukopeshe elfu hamsini niliyo nayo na nyingine utaongezea mahala pengine.

Maisja yamekuwa magumu sana kipindi hiki cha JK hivyo ni vyema kuwa makini na utokaji wa pesa uliyo nayo.

nimependa iyo kwenye bold
 
Nimekuambia ngumi za kushtukiza,...acha uoga,...wish ningekuwa mimi mbona angefurahi kuniambia huu upuuzi wakati ni haki yangu

mkuu nipo mbali naye,alafu ananizidi kama miaka 10+ kibonge
 
Hao Waswahili wanajifanya Dar ndio mji pekee kwingine ni mikoani.Huu nao ni ubaguzi
 
Hao Waswahili wanajifanya Dar ndio mji pekee kwingine ni mikoani.Huu nao ni ubaguzi

Mbona kuna watz wengine wanaishi Newyork,london,tokyo,paris,Hong kong,lakini hawajitapi kama uyu bwana.
 
Dar ni mji mkuba wa 12 kwa uchafu duniani.

Ndo maana JK anataka kuhamisha vyote Bwagamoyo /s .
 
Dar ni mji mkuba wa 12 kwa uchafu duniani.

Ndo maana JK anataka kuhamisha vyote Bwagamoyo /s .

Yeah_i wonder why some people wana bother na dar.....see them in heaven.
 
mkuu nipo mbali naye,alafu ananizidi kama miaka 10+ kibonge

Nimekuambia acha uoga,,,,age ain"t nothing but a number,....mpe za chembe zile za kuvizia.....get me now...mmmmmh!
 
Vuta bangi kiongozi utamwona kama sisimizi ukishindwa muone lwakatare
 
Yeah_i wonder why some people wana bother na dar.....see them in heaven.

Watu waliokuja mjini juzi hao, hawajaona Dar enzi za Halmashauri ya Jiji inazoa taka.

Enzi hizo unaenda Posta half of the kids you meet you know from School, libraries (Tanganyika, British Council, American mpaka Russian Centre next to Diamond - sio Diamond Platinum, Diamond Jubilee - kuchukua vitabu vya Propaganda za Kirusi etc), mpira etc.

Dar enzi hizo mtu akikwambia anapenda muziki maana yake anaenda kuchukua music lessons Jumba la Wakorea, watu wanafanya performing arts Russian Cultural Centre mnaenda kukutana na kina Natasha huko. Mashindano ya breakdancing Chuche, Lauli na Omary. Kabla ya mambo ya pool side na ghorofa ya saba na "Yo Rap Bonanza" na marehemu Abdulakim Mgomelo.

Dar parties za kwa Che Mfaume Rd, hapo sijakurudisha enzi za Dar ina Zimamoto inayofanya kazi pale Mwembetogwa.

Dar unamzaba kofi mtoto wa rais (wakati kila mtu jambajamba) halafu unampiga beat akisema kwa mwalimu utamuuilia mbali kabisa, kisha kakuringishia sura ya baba yake kwenye shilingi (lord forgive me, even though I am a non-believer). Such childish impunity!

Leo walugaluga wamekuja wamekuta Dar wenyewe tumewapisha wahemee wanajifanya wanaijua Dar, wakati watu tunaipata na familia zimo katika historia kabla ya kujengwa "nyumba ya saa".

Walugaluga wakisema wanaijua Dar na wajukuu wa Jumbe Tambaza watasemaje?

Nilivyofika NYC zama hizo an old gentleman once told me, akaniambia wale old school New Yorkers ambao wapo hapa long time wanaelewa vitu hawana matatizo.

Ogopa sana walugaluga waliohamia juzi hawajapoteza hata accents wanavyoringia u-New Yorker.

Ndio kitu kile kile kinaendelea hapa.

Watu wa Dar wenyewe wenye viunga kuanzia Upanga, Obay, Kijitonyama, Sinza, Tabata, Mbezi Beach mpaka Mkuranga, Mbezi na kwenda Chanika na Kisarawe huko tunajua debonair ya Dar na decorum inayotakiwa kwa mtoto wa mjini.

Mtoto wa mjini hawezi kuchafua jina kwa deni, hususan la kitoto kama hilo la 200,000. Ukimwambia Mussa Malori "nimetoa sadaka 200,000" atakwambia "hujatoa bado".

Hiyo ni tip tu anapewa doorman anayefungua mlango au bartender a-keep champagne baridi kwa centrigrade inayotakiwa.

Huyo mlugaluga tu, anaharibia debonairs wa Dar.

Ulugaluga as well as being urbanite are both states of mind more than attributes of origin.
 
Watu waliokuja mjini juzi hao, hawajaona Dar enzi za Halmashauri ya Jiji inazoa taka.

Enzi hizo unaenda Posta half of the kids you meet you know from School, libraries (Tanganyika, British Council, American mpaka Russian Centre next to Diamond kuchukua vitabu vya Propaganda za Kirusi etc), mpira etc.

Dar enzi hizo mtu akikwambia anapenda muziki maana yake anaenda kuchukua music lessons Jumba la Wakorea, watu wanafanya performing arts Russian Cultural Centre mnaenda kukutana na kina Natasha huko. Mashindano ya breakdancing Chuche, Lauli na Omary. Kabla ya mambo ya pool side na ghorofa ya saba na "Yo Rap Bonanza" na marehemu Abdulakim Mgomelo.

Dar parties za kwa Che Mfaume, hapo sijakurudisha enzi za Dar ina Zimamoto inayofanya kazi pale Mwembetogwa.

Leo walugaluga wamekuja wamekuta Dar wenyewe tumewapisha wahemee wanajifanya wanaijua Dar, wakati watu tunaipata na familia zimo katika historia kabla ya kujengwa "nyumba ya saa".

Walugaluga wakisema wanaijua Dar na wajukuu wa Jumbe Tambaza watasemaje?

Mkuu umetisha,100%
 
Dar hakuna raha yoyote mtu hawezi kujiita tajiri ukaishi hapa sema ni part ya kuijenga nchi ndo maana watu wapo ukianalyse issue usiangalie tu unaish wapi unaspend vp,assume umepata emergency hakuna hosptal ya maana kufika airport utakua ushakufa,wadau kumbuken walivyotangaza cku moja kuwa na tsunami inakuja town palikuwa padogo hapa,watu wanaosifia inawezekana hawajakumbana changamoto mbalimbali au hawajatembe duniani huko.
 
kwa kuwa mhusika kasoma post yako,basi imekula kwako,ndio hulipwi ng'o
 
Dar hakuna raha yoyote mtu hawezi kujiita tajiri ukaishi hapa sema ni part ya kuijenga nchi ndo maana watu wapo ukianalyse issue usiangalie tu unaish wapi unaspend vp,assume umepata emergency hakuna hosptal ya maana kufika airport utakua ushakufa,wadau kumbuken walivyotangaza cku moja kuwa na tsunami inakuja town palikuwa padogo hapa,watu wanaosifia inawezekana hawajakumbana changamoto mbalimbali au hawajatembe duniani huko.

Maelezo mazuri mkuu
 
Ulishawahi kudhulumiwa ?Hiyo ndio dhuluma sasa.Kupambana na dhuluma kuna njia ya diplomacy au violence,chagua moja utakayo ona inakufaa au samehe tu.
 
Back
Top Bottom