Somo ni kukopesha kunaendana na mkataba wa makubaliano ukiwa katika maandishi. Haijalishi mna ukaribu wa kiasi gani.Mlejesho;
uyu Ndugu yangu kaibiwa vitu vyote vya muhimu ndani ya nyumba + plus 4million iliyokua ndani,watoto wa mjini wamevunja mlango wakakomba vitu usiku wa kuamkia Jana.
sasa hivi anapiga simu kwa Ndugu na jamaa kuomba msaada,kiufupi amefilisika.
mi nilishamsamehee ile laki2 aliyonidhulumu mwaka 2012...
ushahuri mzuriSomo ni kukopesha kunaendana na mkataba wa makubaliano ukiwa katika maandishi. Haijalishi mna ukaribu wa kiasi gani.
Mlejesho;
uyu Ndugu yangu kaibiwa vitu vyote vya muhimu ndani ya nyumba + plus 4million iliyokua ndani,watoto wa mjini wamevunja mlango wakakomba vitu usiku wa kuamkia Jana.
sasa hivi anapiga simu kwa Ndugu na jamaa kuomba msaada,kiufupi amefilisika.
mi nilishamsamehee ile laki2 aliyonidhulumu mwaka 2012...
Naona anakosa ata ujasiri wa kunipigia,kiufupi kwa sasa sina uwezo wa kumsaidiaSasa akija kukuomba msamaha bila aibu utamsaidia? Maana wanaume wengi wa Dar hawana aibu na utapeli na uongo mwingi.
Ajabu na ujinga wa kiwango cha juu snSasa akija kukuomba msamaha bila aibu utamsaidia? Maana wanaume wengi wa Dar hawana aibu na utapeli na uongo mwingi.
Kuna jamaa yangu anayeishi Dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini (dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.
wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.
je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu?
Ajabu na ujinga wa kiwango cha juu sn
Mwambie utamfanyizia...
watu wa Dar wengi wanaogopa watu wa mikoani kwa ushirikina
mwambie umeshaongea na bibi yako kasema ikipita mwezi hajakulipa na asilipe tena
yeye bibi anajua atakachokifanya
Wote wanatoka pamoja kwa hiyo haogopi kurogwa mkuu...cha msingi ampeleke polisi tu anambabaisha mwenzie kwa sababu anajua bado yuko mkoa na yeye kaja Dar..ushahidi ni m-pesa aende voda akachukue statemennt ya mwezi aliotuma kisha afungulie kesini kwamba jamaa alinipigia simu desemba 2012 ni kuniomba nimsaidie, ni mtu aliyekulia/kulelewa nyumbani kwetu kabla ya kwenda dar 1992,ivyo sikua nashaka naye kabisa nikaamua kumsaidia,ivyo hatukuwasiliana kwa message,ila iyo fedha nilimtumia kwa Mpesa.
Maji ya visima ya chumvi, miguu,utumbo, shingo za kuku, kulala hoi, kelele,kuamka SAA 10 kurudi saa4Well said_dar folen,joto,shida ya maji(maji chinvi),uchafu,maisha taabu.....etc,etc
.Mlejesho;