Hiyo hela Andika imepotea maana nakuona unamuogopa huyo uliyemkopesha eti amekuzidi miaka 10, ulivyokuwa unampa hukuliona ili?
Huyo ni limbukeni!kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini(dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.
wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.
je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu
Huyu anacheza na akili zako_wewe mfute huko huko dar then utajua la kufanya....ukiona anakuzingua wewe mtindue magumi ya kuvizia....kuna migogoro/matatizo mengine sio lazima utatue kwa diplomatic way_violence and force can be the best way to go.
wasiliana na comrade MziziMkavu.nina hakika atamshughulikia barabara na hatimaye utarejeshewa fedha zako.kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini(dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.
wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.
je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu
wasiliana na comrade MziziMkavu.nina hakika atamshughulikia barabara na hatimaye utarejeshewa fedha zako.
Wewe naye ndo walewale tu yaani unaiongelea Dar enzi hizo hamna TV wala FM. Wakati huo mji ulikuwa Morogoro uliza kwa yeyote Mji kasoro bahari. Dar ndo sasa baada ya watu wa mikoani kuingia na kuwakimbiza walugaluga. Wajanja wa Dar wengi waliishia ubaharia na wengi walitimkia mamtoni mwishoni mwa miaka ya tisini. Sasa ukiweza kuishi Dar ukamiliki mkoko na kibanda maeneo mazuri yenye hewa kama Mbweni, Mbezi Beach, Tabata na ukawa unaingia mjini kila asubuhi na unageuza jioni wakati foleni kali huku ukiwa unakula kiyoyozi wewe ndo mjanja niamini. Wa mikoani ukiwaleta ugumu huu hawauwezi na vijihela vyao haviwatoshi ndo maana mtoto wa Dar leo anambinu nyingi sababu ya environment imem-shape hivyo.
Dar hatusikilizi radio home ni ndani gari, home TV tu. Dar 95% wanajaa nyumba za ibada kila asubuhi kuanzia saa 12, mnafikiri foleni ni laana wenzenu tunafurahi tumemjua Mungu zaidi. Ukiongea Dar unaongelea Mikoa mitatu iliyoshiba rasilimalli
Well said_dar folen,joto,shida ya maji(maji chinvi),uchafu,maisha taabu.....etc,etc
Wewe naye ndo walewale tu yaani unaiongelea Dar enzi hizo hamna TV wala FM.
Wakati huo mji ulikuwa Morogoro uliza kwa yeyote Mji kasoro bahari.
Dar ndo sasa baada ya watu wa mikoani kuingia na kuwakimbiza walugaluga. Wajanja wa Dar wengi waliishia ubaharia na wengi walitimkia mamtoni mwishoni mwa miaka ya tisini. Sasa ukiweza kuishi Dar ukamiliki mkoko na kibanda maeneo mazuri yenye hewa kama Mbweni, Mbezi Beach, Tabata na ukawa unaingia mjini kila asubuhi na unageuza jioni wakati foleni kali huku ukiwa unakula kiyoyozi wewe ndo mjanja niamini. Wa mikoani ukiwaleta ugumu huu hawauwezi na vijihela vyao haviwatoshi ndo maana mtoto wa Dar leo anambinu nyingi sababu ya environment imem-shape hivyo.
Dar hatusikilizi radio home ni ndani gari, home TV tu.
Dar 95% wanajaa nyumba za ibada kila asubuhi kuanzia saa 12, mnafikiri foleni ni laana wenzenu tunafurahi tumemjua Mungu zaidi. Ukiongea Dar unaongelea Mikoa mitatu iliyoshiba rasilimalli
TV na FM za nini wakati tunasoma enzi hizo? Sio bongolala kama siku hizi watoto hata kusoma hawajui.
Tena tunasoma kuanzia Tanganyika Library, British Council, USIS, Soviet Information Service mpaka Reuter pool za Ikulu na bajeti za Wizara ya Uchumi na Mipango za Malima.
Halafu baadae kidogo tunaenda kuangalia movie ya Commando John kwa Bakhresa, kama sio Empress Jumamosi au Drive-In Cinema (sio tiketi mbu vile vile)
Dar siku hizi hata Drive-In Cinema hamna!
Ushasema mji kasoro bahari, hata Mchina akitaka kujenga bandari akuletee mzigo hawezi, sasa kasoro tayari hiyo hata kabla mie sijaanza kukubondea.
Dar sasa hata kupumua kazi, vibanda vibanda viiingi ukiwa unatua na ndege utafikiri unakwenda shamba la kuku.
TV unaijua wewe leo wakati wenzako wamejifunza yai na Jonathan Mann through CTN, au na Peter Jennings hapo ABC. Leo washa evolve kwenye ma Bluray na ma user defined content huko, TV is ancient technology watu washaichambua tangu 1950s, wewe unaongea passive watching wakati watu wapo katika Civilization 1 interactivity tunajimix na ma Ichi Ban ya Tokio huko? Wewe unaongea TV? Museum bound technology?
Wakiombwa wanaoijua Dar wasimame wewe huwezi kusimama, why? Mtu akikwambia "Mchafukaoge" utaona anakutukana!
Mtoe bushaa..
Wakiombwa wanaoijua Dar wasimame wewe huwezi kusimama, why? Mtu akikwambia "Mchafukaoge" utaona anakutukana!
Si uilinganishe iyo dar na majiji mengine kama Nairobi,Capetown,Cairo,Kinshasa,Harare,New york,Lagos,Tokyo etc.
Dah una mifano ya kizamani mbona hii misemo ni ya kawaida kwa watu wa Tanga, Dar na Moro. Na wala tulikuwa hatusemi Mchafukaoge ni mchafukoge ile A tunaipotezea. Watu wa Dar wa enzi hizo mlikuwa hamuendi mikoa mingine lakini wamikoani walikuwa wakija sana hivyo hamkuwa na exposure yoyote.anyway mi ni wa Dar nimesomea Olevel Moro A level Tambaza na chuo hapa Dar kazi nimeanzia mikoani na sasa nimerudi jijini I can tell you ninachokiongea simung'unyi.
Ubishi wako wa kitoto sana Mchina kuleta bandari ni leo ndo maana enzi hizo Moro iliongoza, ila kwasasa Moro chafu vumbi kibao makampuni ya kuhesabu wababe wa Mji mpya na Kichangani wamekuwa machizi kwa uteja wajanja wa Forest, Mwere na Kilakala wamekimbilia Dar wote, ukiingia Makampuni na ofisi za serikali uwezi kuta CV iliyopitia pale hasa miaka ya wajanja kama 90s
wasiliana na comrade MziziMkavu.nina hakika atamshughulikia barabara na hatimaye utarejeshewa fedha zako.
Ndomaana ukaingizwa mjini wewe unaacha kufananisha Dar na mikoa yako unayoingia kwa tiketi unafananisha na huko unakoingilia na visa. Na hawa watakuingiza kingi zaidi piga kimya laki mbili Dar ni wese la wiki moja. Unaongelea Kinshasa alokwambia Dar kulishatokeaga vita kama Kinshasa nani? Tokyo huendi na basi kama mkoa uliopo sasa, naona ulitakiwa upigwe kitu 10m ungekaa chini ukishika makalio na huku unapiga yowe ya kichaga Keleuwiiiiii