Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

Naunga mkono hili la kumpa kumbukumbu itakayo mfanya asisahau...

sometimes the price of vengeance is greater than the wrong commited.

Sikushauri umuumize, usije ukaishia jela mwenyewe, polisi wenyewe hawa!!! Kama una ushahidi wa message labda, kafile kesi police. Kama huna, muache tu. Dunia itamfundisha
 
ni kwamba jamaa alinipigia simu desemba 2012 ni kuniomba nimsaidie, ni mtu aliyekulia/kulelewa nyumbani kwetu kabla ya kwenda dar 1992,ivyo sikua nashaka naye kabisa nikaamua kumsaidia,ivyo hatukuwasiliana kwa message,ila iyo fedha nilimtumia kwa Mpesa.
 
Shida si yasikumoja na kwako ameshajifungia mlango.maadam bado umzima kaza buti mungu atakulipia hata hapo ulipomkopea, japo yy anajiona wa mjini
 
1. Mshikaji wangu nilisoma nae nilimkopesha laki 5 amtibu dingi yake kakimbia na hela yangu. Namba ya simu kabadilisha ila ninayo nimeamua kumuachia mungu
2. Ndugu yangu nilimkopesha laki 2 alitakiwa arudishe february akasema mpaka june.
3. Mshkaji wa kitaa laki na nusu kusolve matatizo yake mpaka leo hola nimemchunia simkumbushi ila akiniota anakuja na ahadi za kijinga.
4. Ndugu yangu wa karibu laki tano, fingers xssed anarudisha end this month aka leo, mpaka sasa hajaniambia chochote.

Nimejitoa kwenye kukopesha!
 
Mkuu, iko zaidi ya 26. Mikoa mipya ni Katavi, Simiyu, Njombe na Geita kama sijakosea.

Mkuu nashukuru sana upo sahihi,sema iyo mikoa mipya haijazoeleka
 
Pole sana mkuu ... duh, mwenzio Tshs.50,000 tu from Bariadi nimeidai miezi minne kwa nguvu zote na unyenyekevu...thx GOD nimeipata na watoto leo wameenda koko beach .... ahaa haaa haaaa
 
1wa dar anamdharau mtu anayeishi nje ya dar
2 wa mbezi beach osterbay anamdharau anayeishi Mbagala

kwa iyo ata nyie wa dar mnadhauliana.

Si kudharau ila ni uhalisia kuwa kuna sehemu ziko bomba kuliko nyingine.
Ni ukweli kuwa Katavi si sawa na Kinondoni...
 
Huruma yako imekuponza. Hapo huna chako tena, na kwa hakika hakuna kesi hapo! labda kama mkataba wa kukopeshana ulisainiwa chini ushahidi wa viongozi wa serikali ya ngazi yoyote ile.
 
kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini(dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.

wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.

je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu

Kwanza ujifunze learn how to say no .usikopeshe mtu pesa .pili for get about it God will take care of that .Karma itamkuta
 
ni kwamba jamaa alinipigia simu desemba 2012 ni kuniomba nimsaidie, ni mtu aliyekulia/kulelewa nyumbani kwetu kabla ya kwenda dar 1992,ivyo sikua nashaka naye kabisa nikaamua kumsaidia,ivyo hatukuwasiliana kwa message,ila iyo fedha nilimtumia kwa Mpesa.
He is a parasite .achana nae ametunzwa Kwenu matokeo yake ndio hayo.
 
Huruma yako imekuponza. Hapo huna chako tena, na kwa hakika hakuna kesi hapo! labda kama mkataba wa kukopeshana ulisainiwa chini ushahidi wa viongozi wa serikali ya ngazi yoyote ile.

Ni kweli mkuu nimejifunza kwa hili.
 
kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini(dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.

wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.

je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu

Mwambie utamfanyizia...
watu wa Dar wengi wanaogopa watu wa mikoani kwa ushirikina
mwambie umeshaongea na bibi yako kasema ikipita mwezi hajakulipa na asilipe tena
yeye bibi anajua atakachokifanya
 
Back
Top Bottom