Kuishi Dar haimaanishi wewe mjanja

🤣🤣🤣Pole sana Huwa wanatabia ya kutapisha machemba ya vyoo mvua inyeshapo huoni maji yalivyo na rangi nyeusi na harufu juu
Sasa jichanganye kipindi cha mvua uvae viatu vya wazi utarudi na fangasi zisizotibika
 
Dar mlituoshea sana zamani hizo miaka ya 97-98 😁😁 sasa hivi wala hamtushtui bro, nakumbuka mlikua mna kuja na zile game boys zenu, ili kuzishika tu mnatuambia tukaoge kwanza na kuvaa nguo mpya😁😁😁
hawa wajinga walituoshea sana miaka ya late 90s na early 2000s, yaani ilikuwa kuishi dar ni kama huko peponi..

Mimi nakumbuka wakati bado ni madogo kitaani kwetu ilikuwa mtu akienda Dar likizo, siku akirudi anawakusanya rafiki zake wote karibu mtaa mzima anaanza kuwapa mastori ya kuhusu jiji la dar jinsi alivyokutana na akina Dully Sykes, Professor Jay sijui Mr.Nice alivyoogelea baharini, anawaonesha na picha aliyopiga kwenye ile sanamu ya askari pale posta...!! Basi hapo kila mtu anapata shauku kweli ya kutaka kufika kwenye jiji la makamba.
 
🤣🤣🤣Pole sana Huwa wanatabia ya kutapisha machemba ya vyoo mvua inyeshapo huoni maji yalivyo na rangi nyeusi na harufu juu
Sasa jichanganye kipindi cha mvua uvae viatu vya wazi utarudi na fangasi zisizotibika
Kumbe ndio michezo yao? Mimi nikajua hiyo tabia iko uswahilini huko manzese na kwingineko, kumbe hadi kariakoo na yale magorofa yao?

Aisee na kweli maji ni meusi kweli mpaka unajiuliza, huu uchafu ni wa nini...!? Kweli hili jiji la waswahili.
 
Umesema vyema

Plus harufu ya mitaro ya maji machafu yaliyotuama mitaani

Mashimo ya choo yaliyojaa mpaka yanafurumia mavi

Chamber zinazovujisha mchuzi wa mavi barabarani

Dar ni dampo kmmmk
​
 
Kumbe ndio michezo yao? Mimi nikajua hiyo tabia iko uswahilini huko manzese na kwingineko, kumbe hadi kariakoo na yale magorofa yao?

Aisee na kweli maji ni meusi kweli mpaka unajiuliza, huu uchafu ni wa nini...!? Kweli hili jiji la waswahili.
Kukaa au kuishi kwenye maghorofa si kipimo cha ustaarabu
Sijui ndio kukwepa gharama huko wanaona bora wayafungulie yaende na maji
 
Hizi mentality za watu wa hovyo...Kumkandia au kuwa na chuki kisa ukanda...na ww si uende Dar mzee uache majungu.
NA huyo anayejiona mjanja kisa anakaa Dar nae ni mbumbumbu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…