Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

Huu muda unaochezea hapa ni lazima kuna siku utaujutia. Badala ya kujipanga kuwasaidia wanao unakalia kupiga majungu dhidi ya CDM? Hizo elfu saba za lumumba kama zinatosha kwa future ya watoto endelea!
 
Join Date : 28th April 2013
Posts : 36
Rep Power : 308
Likes Received1
Likes Given1

mbulula at work
 
CCM original inakuhusu hii. Halafu nenda Lumumba kachukue buku kumi yako ili uendelee na uzushi mwingine.

Watu wana hela zao Mkuu,usidhani kila anachokifanya mtu anafanya ili apate fedha.jaribu kukubaliana na wale wanaopingana na wewe.sio kila kinachofanywa ni pesa,acha 'NJEMU'.OLESATA.
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

Naona ujinga wa kutojua utakumaliza kwenye nchi za watawala wenye akili na wananchi wanaojua haki na utawala mzuri CCM isingekuwepo kwa sasa madarakani na Jakaya asingekuwa rais pamoja na rushwa zake na wanamtandao waliofanikisha mjinga yule kugombea kupitia CCM maana uwezo wake ni kuwa mkuu wa wilaya ya Bagamoyo hana uwezo zaidi ya hapo halafu watu kama Chenge, Ngereja, Lowassa, Ridhwan, Wassira, Omar Nundu, Karamagi, Kinana, Ndungai, Anna Makinda, Rostam Aziz Magessa Mulongo, Nkullo, Mataka na Lusinde wangekuwa ndani wameishahukumiwa kwa kuhujumu taifa au kutumia madaraka vibaya.
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!![/QU
mbwege!!!!
 
Nadhani kama ungekuwa ni mtu mwenye fikra huru ungepaswa kuandika kwa kuangalia madhaifu ya CDM ambayo wengine pia wangeona una mawazo yanayotafutwa na wapenda nchi hii. Kwa mtazamo wangu unaandika kwa kuchafua chama hicho na siyo kuona madhaifu yaliyomo. Ni kweli mtu anaweza asikipende CDM na ni jambo la kawaida lakini si kwa hoja ulizoandika. Kama ni kwa hoja hizo basi ulipaswa kwanza kuandika chama ambacho kina mapungufu mara zaidi ya CDM. Ungefanya hivyo ningeona nini nikushauri. Pole sana kwa sababu hoja zako ni roho mbaya tu ambayo si ya kwako ila wapo walioiweka kwako ili ikusumbue wewe wakati wao wanaendelea kuiharibu nchi hii ya maziwa na asali.

Try again.
SM
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

.....impontent -medulla oblongata....

cc DR Pauline
 
mawazo mgando bana....yani wewe huna tofautina mfu...serukambi You
 
hadithi yako tamu lakini ya uongo, bibi yako mwigulu alikupa maana ya hii hekaya?
 
www
una ushahidi? Peleka ushahidi wako polisi basi washughulikie
Polisi wepi? Hawa wa shemejie na Kikwete (Mwema) mdini, mkabila na mwendekeza rushwa hadi makao makuu ya idara yake au?
Ama kweli kuwa mwanachama wa CCM kunahitaji ujasiri wa mwehu!
Kama Polisi wangekuwepo kina Kinana wasingepata hata fursa ya kuteuliwa kuongoza hata tawi tu la CCM (kama CCM ingekuwa hata na chembe ya uadilifu)! Na Mangula aliyesuka wizi wa EPA si ndiyo Katibu wenu Mkuu?
Of all facts chama kuongozwa na mtu anayetuhumiwa kama Jangili, mwizi na mhalifu wa kimataifa kunaleta 'impression' gani? Shame on you!
 
Too old and too poor propaganda!!

Ni ajabu sana kwa wanaCCM kuja humu mtandaoni kuja kuijadili CHADEMA badala ya kujadili kero za wananchi na udhaifu wa kisiasa wa CCM katika kuongoza.

Kifupi ni Kwamba CHADEMA kwa sasa ina mashabiki wachache sana lakini ina wapenzi wengi sana.
Ndio maana kila chaguzi ndogo zinazofanyika kwa sasa ni lazima CHADEMA waibuke wachindi.

Hakuna namna yoyote ile raia mpenda haki anaweza kuacha kuipenda CHADEMA kwa sasa.
 
..............................jaribu kukubaliana na wale wanaopingana na wewe..........................OLESATA.

Umesoma muanzisha thread alichoandika au umekariri tu kusema "jaribu kukubaliana na wale wanaopingana na wewe" kama kamsemo fulani vile. Kwani kuna kilichoandikwa cha kusema hii ni thread ya hoja za kupingana na fulani ---tofautisha umbea na hoja.
 
CHADEMA kimeshinda uchaguzi wa kijiji huko Kilosa kwa kura nyingi sana
 
una ushahidi? Peleka ushahidi wako polisi basi washughulikie
Kuupeleka ushahidi Polisi ili???? Kwani ni uongo? Nani walikuwa wanasema juu ya mapacha watatu wa ufisadi? Si hata mheshimiwa alikiri kuwa container la meno ya tembo lilisafirishwa na kampuni yake? Kesi hizi zipo mioyoni mwa watanzania na siku moja watatoa hukumu!!
 
Ndugu mpendwa ccm original, hata kama huipendi chadema kiasi hicho watendee haki japo kwa kusema ukweli japo kidogo na kuleta hoja zenye mashiko. Hii inaonyesha wazi kuwa huenda una:
1. Chuki binafsi na baadhi ya watu ndani ya chadema au chama chenyewe
2. Unatumiwa kwa manufaa ya watu fulani (uko kwenye pay roll ya Nape)
3. Huelewi unaloongea
4. Kwa makusudi unajua unachosema lakini umeamua kujivisha ngozi ya sura ya nyani
Hebu tafakari tena mpendwa wangu na kuitendea haki nchi yako hata kama uko ndani ya ccm na uache mara moja kusema uongo juu ya mauaji huku ukijua muuaji halisi ni nani na kwa faida gani
 
Back
Top Bottom