Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

CCM original

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
373
Reaction score
68
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!
 
Naona mkuu hujaona BORITI kwenye jicho lako...

Huko kwako Katibu Mkuu Kinana na kundi lake wanaua TEMBO zaidi ya 300 kila siku na kutishia uwepo wao...

Chenge alikwapua mabilioni akaita vijisenti

Rais wetu Kikwete ndio muasisi wa UDINI hapa Tanzania

CCM mapacha.jpg
 
View attachment 91842

una ushahidi? Peleka ushahidi wako polisi basi washughulikie
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

Definition of STUPID: Knowing the Truth, Seeing the Truth, But Still Believing the LIES...
 
Natangaza kuhamia ccm rasmi, maana watu wote wa maana wameishia cdm kule wamebaki mapoyoyo kama CCM original. Kwa vile ccm hawana nia ya kuachia madaraka kwa amani, nitaenda kubanana nao huko huko, ili tuisalimishe nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza....

KWENYE SENTENSI HII CJAKUELEWA KABISA UNAMAANISHA NINI AU ULITAKA KUANDIKA SISIEMU AKA MAGAMBA?KAMA NDIYO UMESAHAU KUONGEZA YAFUATAYO MAUAJI YA MWANGOSI ,KUTESWA KWA KIBANDA NA DR ULIMBOKA,KOLIMBA HORACE.ILA MBWA BORA NI YULE ASIYEBWEKA KUONYESHA UWOGA WAKE HIVYO NI AFADHALI UNGEWEKA MASABURI YAKO CHINI UKATAFAKARI KABLA YA KUJA NA UZI ULIOCHUSHA NA MPAUKO KAMA ILIVYO AKILI YAKO>
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

Eti kazi ya UWT hii!!
CIA, MOSSAD N.K wangekuwa bize na upumbavu kama huu nchi zao zingevunjika zamani!
 
Arsenal 1 Man Utd 1. Dakika ya 70 sasa
 
Kwa points hizi! Kweli lazima uwe na akili ya MAITI kuitetea CCM.
 
Ni wazi sasa chama cha demokrasia na maendeleo kimekosa la maana la kuwaambia watanzania ili kuwashawishi kukipa kura katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Matukio yanayoendelea katika nchi ambayo almost 80% yanakihusisha chadema na matukio haya ni dalili za kupoteza muelekeo kuelekea 2015.
Tumeshuhudia kifo cha mwandishi wa habari mwangosi katika maandamano yasio na kibali cha polisi,
Vifo vya vijana wengine wawili katika nyakati tofauti katika maandamano ya cdm yalioharamu,
Vurugu za bungeni zikiongozwa na Godless Lema.
Uchafuzi wa hali ya usalama wa mji wa Arusha aliosabibisha huyu Lema.
M4c inaondeshwa kiuchonganishi zaidi na sio kuwaelimisha wananchi elimu ya uraia kama kinavyodai cdm kuwa ndio lengo la m4c.
Chama kinalalamika kama yatima na kila tukio utasikia serikali ndio chanzo.
Matukio yote ya uvunjifu wa amani uliosababishwa na chadema wamekuwa wakiutumia kama mtaji wa kampeni.
Siasa zao ni predictable yaani ukisia kimenuka huko kama si kuuwawa mtu basi wameandamana au wametukana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom