Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,663
kwenda zako kule!mungu akuongoze.
kwenda zako kule!mungu akuongoze.
kwenda zako kule!
una ushahidi? Peleka ushahidi wako polisi basi washughulikie
Ccm, ccm, ccm' ccm oyeeee oyeee. Ndugu wanajamvi tunayofuraha ya kila aina kumshukuru mungu kwa kutuwezesha kurudi tena ikulu ktk uchaguzi huu wa mwaka 2015, wananchi na wapenda amani, maendeleo wametuamini na kutupa ridhaa tena ya kurudi kuwatumikia kwa kipindi kingine cha miaka 5. Asanteni sana, wapinzani tumewamwagia maji, aibu usoni mwao. Poleni upinzani kajipangeni labda 2050 mnaweza kushinda.
2050 jirani sana. Labla mbele ya hapo mkuu
Nani bora kati ya anaekopa pesa na zinajulikana zilipo na anaekwapua na kuzikimbiza uswisi?
Nani bora kati ya anaekopa pesa na zinajulikana zilipo na anaekwapua na kuzikimbiza uswisi?
kukopa hiyo umesikia ni SUCCOS?
Kukopa pesa za ruzuku za chama ni ruksa ndani ya Chadema.
mleta thread wewe ni mzee au kijana ,,,,,,,,,,,,nataka kujua kwanza afu ntakwambia kitu...........
Primitive Nonsense.Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!
1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.
2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.
3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.
4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.
5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.
6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.
7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?
Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?
Nimeng'amua!!!