Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

Mkuu wa mkoa wa arusha amewafanya makada wa ccm mmepagawa hadi mnajikuta kila baya mnalolitunga dhidi ya chadema linawageukia na kuwaumbua ccm wenyewe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.(Chadema wabaya sana eeh!?)

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS(hii ni nini tena?) yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.(sikujua kama kusaidiana haitakiwi Tanzania?)

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.(hivi inawezekana demokrasia bila nidhamu? sasa katiba ya chama ina kazi gani?)

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.(this is serious I see)

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.(kwani kuna tofauti ya kumtambua na kuheshimu ubinadamu ni nini? maana hata maadui shurti waheshimiane)

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa? (noma eeh, kwani mwenyekiti wa CCM Taifa alipigiwa kura na nani?)

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? (kwani kupenda ni nini?) Kwa lipi jema? (jema, ukilinganisha na nini) Kupayuka kwenye majukwaa? (kwani siasa ni nini? Mwenyekiti Kikwete aliwatuma nini wale wa sekretariate mpya?) Kuleta vurugu? (unao ushahidi kwenye hili? kwa nini usipeleke mahakamani?) Kuonesha ukanda na kugawa kanda? (halafu mkiambiwa nyie ndio waasisi wa ukanda na udini mnang'aka?)

Nimeng'amua!!!

Pole ccm original, lakini ccm original nimjuaye alikufa kitambo.
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

if there are no stupid ideas, then what kind of ideas do stupid people like you give? Do they get smart just in time to give out ideas?
 
quote_icon.png
By Molemo
Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.

Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga Chadema imeshinda kwa kura 450 dhidi ya 150 za CCM.

Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B Chadema imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.
quote_icon.png

NOTE: To CCM Original - "Jipime mwenyewe kisha ujichagulie jina linalokufaa kati ya haya 1. Kubwa jinga 2. Lipumbavu 3. ---- 4. Taahira 5.......... 6.............7.................."

Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!
 
Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani

Mbona huzungumzii mauaji ya watu kama Mwangosi, kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka, Kibanda na vijana waliouawa na polisi huko Arusha na kwingineko yamefanywa na polisi kwa faida ya nani?

Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS

CCM imegeuzwa kuwa chama cha familia na marafiki lakini hilo hulioni ama hutaki kuliongelea kwa kuzibwa macho na kupumbazwa na buku saba (7000) unazohemea hapo Lumumba

Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana".

Ungeongelea pia jinsi CCM ilivyogeuzwa kuwa chama cha MAFISADI maalum kwa ajili ya kukwapua rasilimali za Taifa kama wanyama hai, madini na vito vya dhamani pamoja na kuhamisha fedha za walipa kodi kwenda kuficha kwenye mabenki ya nje.

CCM original

Join Date : 28th April 2013
Posts : 31
Rep Power : 307
Likes Received:1
Likes Given:1

Pole sana lakini kwa kuwa bado uumgeni na naamini hujapata hata malipo ya awali labda unatega kwa ajili ya kesho ili upeleke mrejesho hapo Lumumba. Naona huu mkakati ni sehemu ya kutekeleza ile kauli mbiu ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA iliyoambatana ya kutoa AJIRA 1,000,000
 
Ni wazi sasa chama cha demokrasia na maendeleo kimekosa la maana la kuwaambia watanzania ili kuwashawishi kukipa kura katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Matukio yanayoendelea katika nchi ambayo almost 80% yanakihusisha chadema na matukio haya ni dalili za kupoteza muelekeo kuelekea 2015.
Tumeshuhudia kifo cha mwandishi wa habari mwangosi katika maandamano yasio na kibali cha polisi,
Vifo vya vijana wengine wawili katika nyakati tofauti katika maandamano ya cdm yalioharamu,
Vurugu za bungeni zikiongozwa na Godless Lema.
Uchafuzi wa hali ya usalama wa mji wa Arusha aliosabibisha huyu Lema.
M4c inaondeshwa kiuchonganishi zaidi na sio kuwaelimisha wananchi elimu ya uraia kama kinavyodai cdm kuwa ndio lengo la m4c.
Chama kinalalamika kama yatima na kila tukio utasikia serikali ndio chanzo.
Matukio yote ya uvunjifu wa amani uliosababishwa na chadema wamekuwa wakiutumia kama mtaji wa kampeni.
Siasa zao ni predictable yaani ukisia kimenuka huko kama si kuuwawa mtu basi wameandamana au wametukana.

WEWE NI ZIGO KWA TAIFA,,SAWA KUFIKIRI HAUWEZI,,HATA KUONA HAUONI,,MMEMALIZA TEMBO,,MMEUA MWANGOSI,,MMEFUNGUA HOSPITAL MABWEPANDE,,MMESABABISHA UMASIKINI ULIOKITHIRI KWA WATANZANIA,,,NAWAOMBEA MAISHA MAFUPI HATA KABLA YA 2015.. Mungu bariki cdm, VIVA CDM
 
watu wengine wamezaliwa kuwa wajinga.
 
WEWE NI ZIGO KWA TAIFA,,SAWA KUFIKIRI HAUWEZI,,HATA KUONA HAUONI,,MMEMALIZA TEMBO,,MMEUA MWANGOSI,,MMEFUNGUA HOSPITAL MABWEPANDE,,MMESABABISHA UMASIKINI ULIOKITHIRI KWA WATANZANIA,,,NAWAOMBEA MAISHA MAFUPI HATA KABLA YA 2015.. Mungu bariki cdm, VIVA CDM

mzigo kwa yule anayezuia shughuli za maendeleo kwa kuchochea vurugu na maandamano au mzalendo kwa taifa lake?
 
Join Date : 28th April 2013
Posts : 34
Rep Power : 307
Likes Received1
Likes Given1
MSIPOTEZE MUDA KUBISHANA NA MASALIA
ANGALIA SIKU ALIOJIUNGA NA POST YAKE.
SANTURI YAKE ISHAPITWA NA WAKATI.
 
CCM original,

Wewe ni mzalendo na mtu mwenye kulitakia mema taifa letu endelea kutoa elimu ya uraia wa Watanzania.

Wapenda amani wote wapo upande wako.

Tanzania ni nchi ya amani na upendi hatutaki vita.
 
Last edited by a moderator:
Hello ...!!

Any possible chance to turn to your human senses.......!!! So shocked if you are mentally awake.......!!

CCM original,

Wewe ni mzalendo na mtu mwenye kulitakia mema taifa letu endelea kutoa elimu ya uraia wa Watanzania.

Wapenda amani wote wapo upande wako.

Tanzania ni nchi ya amani na upendi hatutaki vita.
 
CCM original,

Wewe ni mzalendo na mtu mwenye kulitakia mema taifa letu endelea kutoa elimu ya uraia wa Watanzania.

Wapenda amani wote wapo upande wako.

Tanzania ni nchi ya amani na upendi hatutaki vita.

'A fool at fourty is a fool indeed'
 
Last edited by a moderator:
ukweli huwa naumia sana kuona watu wameridhika na hii serikali ya ccm na kukaa chini na kusema ccm oyee kweli? wala sijakulazimisha ukishabikie cdm bora ungekuwa unasema tunataka mabadiliko ambayo yatatuletea matumaini kwa vijana wetu hasa ajira na rasilimali zetu zisimamiwe kikamilifu tuache uccm na ucdm taifa kwanza mkuu huoni baya hata la ccm kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom