Mtahangaika sana na mapovu kuwatoka lakini hamtaiweza Nguvu ya amma, Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Ni Sawa na kushindana na kimbunga au mafuriko, tunajua wewe ni miongoni mwa wanaonufaika na mfumo huo wa CCMuna ushahidi? Peleka ushahidi wako polisi basi washughulikie
Chadema ni watu wa
ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!
1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya
vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa
shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya
kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa.,
mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.
2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr.
Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama
Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.
3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua
vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk
ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA
kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa
kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili
kusaidiana kula pesa ya chama.
4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza
wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na
uhai wao wa ndani ya chama.
5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini
wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe
alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani
lakini alichukua na anatanua nalo.
6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote
tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale
alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake
"kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka
pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.
7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa
nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo
Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk
kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?
Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema?
Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa
kanda?
Nimeng'amua!!!
Ni wazi sasa chama cha demokrasia na maendeleo kimekosa la maana la kuwaambia watanzania ili kuwashawishi kukipa kura katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.

Matukio yanayoendelea katika nchi ambayo almost 80% yanakihusisha chadema na matukio haya ni dalili za kupoteza muelekeo kuelekea 2015.
Tumeshuhudia kifo cha mwandishi wa habari mwangosi katika maandamano yasio na kibali cha polisi,
Vifo vya vijana wengine wawili katika nyakati tofauti katika maandamano ya cdm yalioharamu,
Vurugu za bungeni zikiongozwa na Godless Lema.
Uchafuzi wa hali ya usalama wa mji wa Arusha aliosabibisha huyu Lema.
M4c inaondeshwa kiuchonganishi zaidi na sio kuwaelimisha wananchi elimu ya uraia kama kinavyodai cdm kuwa ndio lengo la m4c.
Chama kinalalamika kama yatima na kila tukio utasikia serikali ndio chanzo.
Matukio yote ya uvunjifu wa amani uliosababishwa na chadema wamekuwa wakiutumia kama mtaji wa kampeni.
Siasa zao ni predictable yaani ukisia kimenuka huko kama si kuuwawa mtu basi wameandamana au wametukana.
Nashukuru ignore list huwa haijai. Rest there in peace...Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!
1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.
2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.
3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.
4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.
5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.
6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.
7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?
Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?
Nimeng'amua!!!
Mwandosi ndio mdudu gani?Hiyo POLICE ni ile inayoficha Wauaji wa MWANDOSI? Inayoficha MAFISADI wa EPA? ni POLICE ya CCM pekee
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

kama kuna MPUMBAFU anawalipa pesa kuja kuandika UPUMBAFU wa namna hii hizo hela zake zitakuwa zimuwasha.
hivi wewe uliyeandika huu uharo na marehemu nyerere ni chama kimoja?
Mtoto Mdogo badala ya kwenda kusoma unashinda JF kuandika madudu,Mtihani wa form four ukifika unaandika matusi na mashairi ya music wa kufoka foka,kwanini usipate zero??
Huna adabu kabisa...

Mwandosi ndio mdudu gani?