Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

Jipange tena
 
Mtahangaika sana na mapovu kuwatoka lakini hamtaiweza Nguvu ya amma, Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Ni Sawa na kushindana na kimbunga au mafuriko, tunajua wewe ni miongoni mwa wanaonufaika na mfumo huo wa CCM

hata wewe unanufaika nao. Kwani CCM hawajafanya jambo lolote tangu UHURU?
 
Sikuona pointi ya maana katika hoja zote zilizotolewa na mleta uzi huu, kwa hiyo sioni sababu ya kumjibu. Lakini nilipotaka kuanza kujibu, nikagundua kuwa imeanzishwa na ID ya CCM Original. Hiyo imeniondolea haja zote za kutaka kujaribu kujibu. Mbona kama CCM wanahangaika sana? Kama Chadema wamefanya yote hayo mnayosema, CCM si ndiyo ina serikali? Rais wa serikali hiyo si ndiye mwenyekiti wa CCM? Si ndio walioshika dola? Wameichukulia Chadema hatua gani? Ile miaka ya kuwadanganya Watanganyika sasa tumeshaipita. Come back to your sense for your days are numbered. I am sure that all that I see are the symptoms of failing government, led by misguided political party.

Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!
 
Polisi ndio wanaotumiwa kuficha ushahidi ambao sisi tunaupeleka huko. Hilo ndilo dola la CCM. Chama cha Magamba.

kama kweli ulipeleka ushahidi polisi ukafichwa uliwahi kuupeleka mahakamani?
 
Mtahangaika sana na mapovu kuwatoka lakini hamtaiweza Nguvu ya amma, Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Ni Sawa na kushindana na kimbunga au mafuriko, tunajua wewe ni miongoni mwa wanaonufaika na mfumo huo wa CCM

Acha kumdhiihaki mungu. Wanaoongoza sauti za mungu wananyofoa kucha za watu bila ganzi?
 
gamba at work, kimsingi hakuna hoja kwenye huu uzi, zaidi ya porojo zinazopigwa pale Lumumba
 
CHADEMA kimeshinda uchaguzi wa kijiji huko Kilosa kwa kura nyingi sana

mtoto mdogo hata akiokota sh.200 anaombea kupambazuke akanunue gari. We unaona wenyeviti wa vitongoji 3 ndo kwisha mchezo?
 
kama kweli ulipeleka ushahidi polisi ukafichwa uliwahi kuupeleka mahakamani?

Umezidiwa na uCCM zaidi. Ushabiki umekuzidi kuliko taaluma. Kajifunze sheria na ujue ushahidi unafikishwaje mahakamani. Kwa hiyo wewe unapeleka tu mahakamani hata kama hakuna kesi huko? Ukampe nani? Kweli CCM mnahangaika. Ni jana tu umeingia humu, na bado unamwaga pumba tu. Uongo una mwisho wake, na mwisho wenyewe ni huu. Watanzania wa leo wana akili kuliko wa jana. Kweli sasa mnapata shida ya kutumana humu kujaribu kuwadanganya watu. Siku hizi hawadanganyiki, tafuteni njia nyingine. Na tutashuhudia wengi wakiingia humu na kuja na hoja za kijinga kama za kwako.
 
Chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa Morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya Chacha Wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa CHADEMA wameifanya CHADEMA kama SUCCOS yao. Mfano Dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama Chadema wamegeuza maudhui ya Chama chao kuwa SUCCOS.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza Chadema kama KIKUNDI CHA KUSAIDIANA kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta WAKE ZAO ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na Mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui Mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi Mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais Kikwete pale alipotembelea HAI jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda IKULU kwenda kukutana na rais Kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea JUISI ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo Zitto Kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda CHADEMA? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

Tuhuma zako ni nzito sana haswa za mauaji
serikali imefanya nini kama raia wanauwawa kwa sababu ya wapinzani? inamaana wapinzani wako juu serikali?basi ni ukweli kuwa ccm wameshindwa kuongoza nchi na 2015 ni mwisho
 
chadema ni watu wa ajabu sana. Kwa wasioijua hebu tafakari!!

1. Wako tayari hata kuua ili waingie ikulu. Kumetokea vifo vingi vya vijana wetu wakiwa mikononi mwao au ktk mazingira ambayo yanatiliwa shaka kama walikuwa na dhamira ya dhati ya kuleta amani. Mfano mauaji ya kijana wa morogoro ktk maandamano yao ilihali maandamano yalizuiwa., mauaji ya chacha wangwe ni mfano wa nyongeza.

2. Viongozi wa chadema wameifanya chadema kama succos yao. Mfano dr. Slaa(babu) kukwapua viroba vya manoti na kujikopesha. Sidhani kama chadema wamegeuza maudhui ya chama chao kuwa succos.

3. Chadema imegeuka ni kama "vikundi vya kusaidiana". Kwa wasiojua vizuri kule uchagani kuna vikundi vya kusaidiana wakati wa shida ktk ukoo. Chadema wameamua kuigeuza chadema kama kikundi cha kusaidiana kwani hata "population ya wanachama, wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa" inatia shaka. Na wengine wameamua kuleta wake zao ili kusaidiana kula pesa ya chama.

4. Hakuna demokrasia ya kutosha. Chadema imekuwa na kawaida ya kufukuza wanachama wake pale "wakubwa" wanapohisi watu hao wanahatarisha amani na uhai wao wa ndani ya chama.

5. Chadema ni wanafiki. Walitangaza kuwa hawatopokea posho lakini wakaendelea na wanaendelea kupokea na kula posho hadi kesho. Na mbowe alitangaza kuwa hatochukua gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani lakini alichukua na anatanua nalo.

6. Walitangaza kuwa hawamtambui mh. Kikwete kama rais lakini sote tukiona jinsi mbowe alivyokuwa anammwagia sifa rais kikwete pale alipotembelea hai jimboni kwake. Na si ndo yeye aliyeongoza wenzake "kwenda ikulu kwenda kukutana na rais kikwete". Walinusa kaubaridi ka pale "kwetu" huku wakifurahia na kujichekelea juisi ya ukwaju.

7. Wanamtega na kupinga chini chini ili tu "mtu wao asije akakosa nafasi ya kugombea urais, au isije akagombea tena uenyekiti". Si ndo zitto kabwe "aliyeombwa" na akina mtei aondoe jina lake ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti ili "mkwe" wake apite bila kupingwa?

Je kwa haya machache unaweza kulazimika kuipenda chadema? Kwa lipi jema? Kupayuka kwenye majukwaa? Kuleta vurugu? Kuonesha ukanda na kugawa kanda?

Nimeng'amua!!!

wewe umechoka sana, naomba nikuulize wazazi wako wangali hai?
 
mtoto mdogo hata akiokota sh.200 anaombea kupambazuke akanunue gari. We unaona wenyeviti wa vitongoji 3 ndo kwisha mchezo?

Maelezo yako yanaonyesha huna tofauti na ndege mmoja ambaye akilia karibu na nyumba watu huona uchuro unakaribia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom