Zimbabwe huko walitua kwenye shule moja ya chekechea na wale watoto walisimulia hii kitu.Nilishawahi kuona documentary ya hili tukio siku za nyuma sana na nitaisaka hii kitu.....Mkuu huko Zimbabwe hao alien aliewaona ni nani? Itakuwa hao hao wenye hizi propaganda.
NWO imefeli mkuu, sasa hivi ni kumalizia shina na matawi. Mizizi imekufa.
Fatilia tu sasa hivi jinsi binadamu wanavyopindua meza. Zile myths na taboo za hao watu wachache zinavunjwa na kupingwa wazi wazi. US president ashawaambia hao NASA na CIA wamuoneshe hao aliens na wamuoneshe effects za global warming! Wote kimya wamebaki kuduwaa tu maana hawana ushahidi tangible. Ni kikundi cha wachache kilijitengenezea mazingira ya kunyonya na kutawala wengi.
Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
AiseeSiku nyingine soma utuandikie vitu vya maana...sio huu upuuzi
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Inafaa uchunguzwe jinsi ubongo wako unavyo fanya kazi.. huenda unakatatizoMan you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Zimbabwe huko walitua kwenye shule moja ya chekechea na wale watoto walisimulia hii kitu.Nilishawahi kuona documentary ya hili tukio siku za nyuma sana na nitaisaka hii kitu.....
Mkuu kwani unafahamu NWO ni kitu gani?
Mkuu tunatofautiana sana katika kuelewa hili jambo mkuu,nadhani tutakutana kwenye mada husika ili tuweze kujadili hilo....NWO tunaaminishwa tu vitu ili kuwezesha kikundi cha mabepari wachache kuendelea kunyonya rasilimali za dunia bila kuguswa, ni mwavuli wa kujificha. Totalitarian World Government, Globalism au New world Order. dunia itakuwa chini ya utawala mmoja, ni histioia mpya ya utawala wa ulimwengu. Huu ni utabiri wenye walakini maana lengo kuu ni kuweka hofu kwa watu ili waendelee kunyonywa bila kuhoji. Hawa elites wanatumia mbinu na matatizo machache ambayo yako juu kidogo ya uwezo wa binadamu kufikiri
Shukran sana kiongozi,tupo pamoja....Siku nyingine soma utuandikie vitu vya maana...sio huu upuuzi
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
MkuuMkuu nadhan hapa umeongelea sayansi tu na nadharia zilizojificha nyuma yake na MUNGU hajaonekana katika hiyo vita ya hao viumbe juu yetu. Swali langu leo ni JE, KUNA USHIRIKI WA MUNGU KATIKA HILI? Maana umeficha origin ya hivyo viumbe so sijui ni wa MUNGU au SHETANI.
Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Nadhani sio tofauti ya uelewa was haya maswala. Tatizo ni perception.Mkuu tunatofautiana sana katika kuelewa hili jambo mkuu,nadhani tutakutana kwenye mada husika ili tuweze kujadili hilo....
Shukran sana mkuu....
ni nzuri na inatumia akili acha upuuzi na mambo ya kike kukosoa wakati huna cha kufanya hebu andika yako tuone.Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Kwa wakati wa Digital technology kweli mtu anapoteza muda kwa non sense kama hii ya Alien? Reference zenyewe za movie na Ulimwengu wa kufikirika !!!?Niliiona halafu ghafla ikapotea nikajiuliza kulikoni?ahsante Eiyer huu Uzi unanirudisha nyuma kdg ila ktk upande ule wa akina Pindar na wenzake,je Pindar na hawa aliens wako pamoja
MkuuNadhani sio tofauti ya uelewa was haya maswala. Tatizo ni perception.
Ila hata hao wanaohubiri NWO hawajui their fate. Uhakika walio nao ni kwamba nao watapita tu kama sisi kwenye huu ulimwengu. Baada ya maisha ya hapa hakuna ajuae kinachofata.
Je, kifo ndio mwisho wa historia ya mwanadamu au ndio mwanzo wa historia mpya? Hapo ndio mwisho wa upeo wetu. Mbele ya hapo ni nadharia tu na hekaya zisizo na mashiko .
Nimefurahi kuona kuwa makala hii imekufanya ufikirie sana,tuendelee kutafari mkuu...daaah aise mleta mada umeifkirisha sana akili yangu.
ila kama ni kweli hawa viumbe wapo ni bora Lionestic being Aliens.
MKUU USISAHAU KUNITAG KWA POST ZAKO
Kiongozi,ni kwanini unadhani hii ni none sense?Kwa wakati wa Digital technology kweli mtu anapoteza muda kwa non sense kama hii ya Alien? Reference zenyewe za movie na Ulimwengu wa kufikirika !!!?
Ni Lini tutakuwa na post za maana za kututoa hapa tulipo na kwenda mbele , Tutatoka vipi kwenye hii mental slavery na kuwa huru kweli kweli , I just think out loud.
Kiongozi shukran sana kwa kunipa kongole [pongezi] tuendelee kutafakari pamoja....Mkuu Eiyer kwa mara nyingine nakushukuru kwa maandiko yako yenye upeo mpana na yenye mafundisho tele. Kwa uandishi huu umeweza kutenganisha boys from men. Wale waliokukejeli wanafanana na kuku unapomtupia kipande cha almasi. Ni dhahiri kuwa ataona kuwa ni kama kipande cha kijiwe kitakachomsaidia kumeng'enya nafaka anazokula, asijue kuwa hicho ni kito chenye thamani kubwa.