Atajiajiri kuunda trekta itakayotumia historia ya Tanzania.mwanafunzi anamaliza shule anaambiwa ajiajiri.
Siasa kiboko.
Kuna mdau alishaawahi kusema kwamba mtumishi namba moja ni mgonjwa nikapuuza kauli ile ila sasa naanza kuaminiHongera sana kwa kuniwahi kuandika uzi huu , hii nchi hata maombi yamedunda , hivi ni kipi ambacho somo la historia lililopo kimekosekana?
Tumefikia mahali pabaya sana kwenye hii Nchi! Yaani mawazo na akili ya mtu mmoja tu imegeuka kuwa ni mawazo ya watu milioni 55!!!
Hakuna utafiti ulio fanyika! Ni suala tu la mtu mmoja kulala usiku, na alipoamka asubuhi akaja na wazo la kuanzisha "somo la historia ya Tanzania"
(Colonial Education)
.
Una uhakika wanafunzi hawasomi hilo somo la historia kuanzia elimu ya msingi mpaka chuo kikuu?Kwa hiyo mwanafunzi kuijua historia ya taifa lake hakuna faida yoyote kwa hiyo mwanafunzi?
Kweli dunia msongamano.
Asante dada pongezi zako nimezipokea, kiukweli ni jambo la kushangaza kidogo kwa sababu karibia vitu vyote vinavyohusiana na historia ya nchi hii kuanzia chimbuko la tanganyika, harakati za kusaka uhuru, kupata uhuru hadi hapa tulipo vyote wanafunzi wanafundishwa. sasa sijui ni vitu gani vimekosekana na kama hivyo vilivyokosekana vina umuhimu, kwanini visiongezewe tu katika mitaala ya sasa kuliko kuanzisha somo jipya?Hongera sana kwa kuniwahi kuandika uzi huu , hii nchi hata maombi yamedunda , hivi ni kipi ambacho somo la historia lililopo kimekosekana ?
Mpaka sasa watoto wanafundishwa historia ya Tanzania kwenye somo la maarifa ya jamii, uraia na historia. Ni kipi kinachokosekana/hakifundishwi katika masomo hayo hadi tufikie uamzi wa kuanzisha historia ya tanzania kuwa somo linalojitegemea?Dada tulia matoto yako yafundishwe nchi ilipotoka, ilipo na inapoenda
Kwani wanafunzi sasahivi hawafundishwi hiyo historia?Kwa hiyo mwanafunzi kuijua historia ya taifa lake hakuna faida yoyote kwa hiyo mwanafunzi?
Kweli dunia msongamano.