Kuikumbatia Morocco Tutaumia Baadae!!

Kuikumbatia Morocco Tutaumia Baadae!!

Van persie ni mchezaji mpira maarufu sana duniani ameoa morocco mwanamke anaitwa Bouchra. Morocco kuna wadada wazuri pia kwa sisi waoaji tunaweza kutumia fursa hii kupata ndoa(kijamii tunafaidika + msikiti + uwanja wa mpira). Pia kupitia mikataba na morocco tutafaidika kiuchumi na kisiasa.

Hata Cristiano Ronaldo pia ana basha wake Morocco..uwa akitoka kucheza mechi Madrid anapanda private jet yake kwenda Moroco kusuuzwa....naamini kuna baadhi ya watanzania pia nao watagain kitu hapo kwa namna hiyo hiyo.
 
Tumeamua kuwaasi waasisi wa taifa letu ktk misimamo ya haki na dhulma.,Sina zaidi ktk kulisemea hili zaidi ya ......
images-312.jpeg
 
Hakuna nchi ambayo tunapoikumbatia hatutaumia kama unaijua itaje. Ukishakuwa nchi masikini ni kunyonywa tuu mpaka ufutike kwenye huu uso wa dunia
We need to learn from mistake, look tunashidwa kujifunza kwenye miakataba ya madini ambapo tunaachiwa mashimo?? Sasa kwanini tusijifunze kwa makosa ya zamani? Mara nyingi hata kama ni masikini lakini ni vizuri kuwa masikini jeuri. Kule Mbeya tumeanza mchakato wa kuchimba Uranium pamoja na kupigiwa kelele na jamii ya kimataifa zinazolinda mazingira duniani athari zitakazojitokeza lakini wapi. Tumejikita kuangalia maslahi ya sasa na kusahau vizazi vijavyo. Ni vizuri kuji position katika Win-win and built trust among two parties involved. Anyway msemo wa sasa ni mwendo kasi, so let's watch the movie , who will dance it's me and you but not them!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
halafu kufanya shughuli za kusaidia dini moja isambae sio kazi ya sirikali
Wewe unaingiza udini huna lolote. Morocco ni nchi ya kiislamu rais hakufanyakosa Waislamu wa Tanzania kusaidiwa na waislamu wenzao wa Morocco
 
We need to learn from mistake, look tunashidwa kujifunza kwenye miakataba ya madini ambapo tunaachiwa mashimo?? Sasa kwanini tusijifunze kwa makosa ya zamani? Mara nyingi hata kama ni masikini lakini ni vizuri kuwa masikini jeuri. Kule Mbeya tumeanza mchakato wa kuchimba Uranium pamoja na kupigiwa kelele na jamii ya kimataifa zinazolinda mazingira duniani athari zitakazojitokeza lakini wapi. Tumejikita kuangalia maslahi ya sasa na kusahau vizazi vijavyo. Ni vizuri kuji position katika Win-win and built trust among two parties involved. Anyway msemo wa sasa ni mwendo kasi, so let's watch the movie , who will dance it's me and you but not them!!

there is no win-win situation when you are a poor country like tanzania
 
Katika ulimwengu wa sasa NO FREE LUNCH, Hata mabilionea duniani hawawezi kukupa pesa bure tu pasipokujiuliza impact ya msaada anaokupa labda kwake yeye, jamii inayokuzunguka, majirani zako, na wadau wote kwa ujumla. Kwa hili kukubaliliwa kujengewa uwanja wa mpira na msikiti mkubwa are there the priorities of the nation??? Je zipo kwenye ilani ya chama. Watakonufaika na uwanja na msikiti ni wangapi.

Ni vijiji vingapi havina maji, huduma ya afya, elimu. Vipi swali NYETI la kujenga viwanda ambalo ndo makakati wa nchi kwa ujumla. Bado nina wasiwasi kuwa ahadi ya kufanya hayo hazikuombwa na mkuu wa kaya BALI ni kitu anachohitaji kufanya mfalme mtukufu mgeni katika ardhi yetu kwa agenda binafsi ya kurahisisha baadhi ya mambo amabayo tutajaona siku za usoni.
TUNAJIDANGANYA TU.

Henry Kissinger wakati Fulani alipata kuishauri serikali ya Marekani enzi hizo. Kwamba ukitaka kulikamata bara la Afrika nenda kamweke sawa Julius Nyerere na Tanzania. Ukimweka sawa Nyerere basi ni rahisi kwa mataifa mengine.

KUHUSU MOROCCO
Miaka 32 iliopita tuliwatangazia Morocco msimamo wetu kupinga mabavu yake huko Sahara Magharibi. Tuliwaambia pia waafrika wenzetu.Tuliutangazia ulimwengu wote. Msimamo wetu ulikuwa kuwaunga mkono Sahara Magharibi ili wajitawale.

Miaka 32 baadaye tumeikaribisha Morocco nchini kwa gego na fizi (Hongereni). Tumeketi mezani kuzungumza na Mfalme Mohammed VI (sina hiyana Naye).

Tumemwambia ushirikiano wetu ni diplomasia ya uchumi, demokrasia na mengineyo. Halafu tumemwambia atujengee nyumba ya Ibada na uwanja wa soka huko Dodoma. Vyote amekubali. Sina tatizo na maombi hayo. Tatizo ni kujidanganya kwetu bila soni.

Toka mwezi Januari mwaka huu kuna kampeni kubwa imeshika kasi Morocco irudishiwe uanachama wa AU. Julai 17 mwaka huu kule Kigali, Rwanda, Mfalme Mohammed VI aliandika barua kwenda kwa Mwenyekiti wa AU, Rais Idris Derb kwamba wapewe nafasi yao AU. Akaomba huruma ya wanachama wa AU(kuna mgawanyiko, na naamini pia utazihusisha Anglophone na Francophone).

Morocco imefanikiwa kushawishi baadhi ya wanachama kwa Afrika kaskazini na magharibi. Kwa upande wa nchi za SADC Ina maana Morocco wamefuata ushauri wa Henry Kissinger, ikamate Tanzania na mengine yatafuata. Naamini kwa SADC ni Tanzania na Afrika kusini tu. Wanachama wa EAC hawana ubavu huo ukiondoa Tanzania.

Sasa tumemtangazia "njaa" Mfalme. Tunamtegemea "kiuchumi" atufadhili. Hivi utakuwa na msimamo gani dhidi yake? Hivi Mfalme hawezi kusema aungwe mkono kwenye juhudi za kurejea AU? Halafu sharti lake ni kwamba Sahara Magharibi ibakie kuwa sehemu yake.

Tunajua Novemba wakuu wa Afrika wamekaribishwa Morocco. Naamini hakuna sababu ya kujidanganya wala kumung'unya maneno.

Tuseme kuwa tumebadili msimamo na tunaungana na Morocco. Ama baniani mbaya Kiatu chake dawa? Nimeambiwa ni suala la kibiashara ndicho tunachojali. Heee! Hakika hayo?? Tunajidanganya mno.

Tuseme ukweli tumekamatwa tayari. Nadhani pia siyo mbali sana ila siyo sasa, tutawakaribisha Israel, na pengine hata Makaburu wangekuwepo Afrika kusini tungewapa mwaliko.

Mimi yangu ni hayo tu. Na wazo hili ruksa kulibishia.

Wasaalamu. Markus Mpangala "Markus M.M
Comrade ...ktk kukumbushana...kwanza Morocco, haikuwahi kufukuzwa ktk umoja wa Afrika...la hasha! Ilijitoa yenyewe kwa kutoridhika na msimamo wa OAU kuhusiana na mgogoro wa Sahara magharibi, ambao wao ni sehemu ya mgogoro huo......lkn Morocco walibaki wakiendelea kuwa ni washirika ktk maendeleo na amani ya Afrika...hata kwenye operesheni ya kumshughulikia Col. Bakari wa Comoro, Morocco, ilishirikiana na Tanzania, Senegal na Sudan......Shaaban Roberts anatufundisha akisema " Mbwa wa msasi mkali, ni wakali kama msasi mwenyewe".....siasa ya nje ya nchi yetu iko chini ya watu ambao walilelewa ktk taaluma zao za tasnia ya "udipulomasia", kwa misingi inayokwenda na wakati, bila kushusha chini msimamo wetu ulio wazi!....Polisario ina imani kubwa na msimamo wa Tanzania ktk mgogoro wake na Morocco...uhusiano mpya unaoendelea kustawi kati ya TZ na Morocco ni jambo lingine...hata Polisario kwamda mrefu wamesitisha harakati za kijeshi ktk kupata suluhu ya mgogoro wao na Morocco...
...Comrade, lazima Taifa letu liende na mazingira yanayolingana na wakati, lkn tukiweka msimamo wetu wakupinga ukandamizwaji, na pia kusisitiza umuhimu wa mazungumzo ktk kutatua migogoro miongoni mwa mataifa!
 
Hata Cristiano Ronaldo pia ana basha wake Morocco..uwa akitoka kucheza mechi Madrid anapanda private jet yake kwenda Moroco kusuuzwa....naamini kuna baadhi ya watanzania pia nao watagain kitu hapo kwa namna hiyo hiyo.
Cr7 ana hotel yke morocco bwn pia demu na kuna rafiki yke kule
 
Mkuu uko sahihi in some extent
Lakini turudi nyumna, kuna ile mikataba 17 aliyotia sahihi JK kati yetu na China, what's going on kama outcome ya ile mikataba. Tumebaki dumping area for everything from china from construction, manufacturing and importing fast moving consume goods. Tuweweza ku export nini china mpaka wakati huu??? Kumbukeni yule Mwarabu aliyeuziwa eneo kwenye hifadhi ya wanyama kule LOLIONDO mpaka akajenga uwanja wa ndege, do you know WHAT is going on there? Tisa kumi Dangote kafanya kazi kubwa sana ya uwekezaji kule mtwara, baada ya hapo akajenga PORT yake binafsi direct connected na kiwanda chake, do we know what's is going on there?? No maana nasema tusisherekee kupata vya bure ina changamoto zake siku za usoni. The country needs strategic partnership for WIN-WIN, pia tupunguze mwendokasi kufanya mikataba mingi kwa wakti mmoja, test 5 if successfull move foward, ziki bounce zote utafanyeje??//
...lkn tuseme ukweli kama ulivyo..."mwarabu wa loliondo aliuziwa ardhi?"
....kumbukumbu ni kwamba "alikodishwa eneo la loliondo kwa ajili ya shughuli za uwindaji, kulingana na sheria na taratibu za uwindaji za nchi"...
...Sasa mambo ya kifisadi yanayofanyika loliondo, kama kuna ushahidi, hilo.ni jambo lingine na ukweli...tunashuhudia ufisadi mpaka kwenye nyumba za ibada....
Tuusemee ukweli kama ulivyo!
 
Van persie ni mchezaji mpira maarufu sana duniani ameoa morocco mwanamke anaitwa Bouchra. Morocco kuna wadada wazuri pia kwa sisi waoaji tunaweza kutumia fursa hii kupata ndoa(kijamii tunafaidika + msikiti + uwanja wa mpira). Pia kupitia mikataba na morocco tutafaidika kiuchumi na kisiasa.
Oh! Oh! Oh! ...ubarikiwe na upate mmama mwenye sifa stahiki za kuwa mke kunyumba....ukiiingia mkenge, hawa ma CD unaowajua.huku mitaani kwetu, ni cha mtoto kwa "magube buge ya kimoroko"...
 
ukiwa na fikra za kupinga kila kitu daima hutaona jema hata moja,mathalani kama ulifuatilia vizuri kilichokuwa kinazungumzwa jana wala leo hii usingekuwa na kwanini zako hizo,kingine sisi watanzania ebu tujifunze kufanya vitu kwa mipango endelevu na sio kwa ajili ya kuridhisha watu,bado nitatetea kuwa JPM jana alisema kuwa uwanja ,msikiti ni baadhi ya vitu vingi ambavyo wameongea na kukubaliana na mflame yule katika kuhakikisha mafaniko yanafikiwa.

Kingine kumbuka Mfalme huyu kaja hapa kwa malengo mawili aua matatu tofauti,moja kuomba kuungwa mkono,pili ni ziara rasmi ya kiserikali ,tatu amekuja kwa ajili ya kutalii ndio maana ataenda na ngorongoro kule.

Ukija katika ziara ya kiserikali ndio utaona kuwa wamesaini mikataba ya ushirikiano zaidi ya 22 na YOTE NI YA kimaendeleo hasa ikilenda diplomasia ya uchumi,theni hilo la kuunwa mkono ni sehemu tu ya ziada katika safari yake
Hii nchi sijui siasa za kijinga zitaisha lini?
Mkuu wengi wanapinga kanakwambwa hawakuiona ile hotuba .
 
Huo mtazamo tu, Tanzania ni nchi isiyofungamana na upande wowote. Marafiki waje, hatuchagui wajenge Msikiti au Kanisa sawa.
 
Oh! Oh! Oh! ...ubarikiwe na upate mmama mwenye sifa stahiki za kuwa mke kunyumba....ukiiingia mkenge, hawa ma CD unaowajua.huku mitaani kwetu, ni cha mtoto kwa "magube buge ya kimoroko"...
Fursa ndo hizi vijana tujitokeze tunaotaka kuoa milango ya morocco ipo wazi, na dada zetu nao muda si mrefu wajaribu kukubali wanapoletewa posa kuolewa na waume kutoka morocco.
 
Tufanye maombi ya dhati tukianza kujishughulisha nao "kindoa", na ktk "mipango ya mechi za kindoa, kirafiki "...
Hao ni magwiji wa miondoko! Nitaadharishe tu...ktk magwiji wa "kupiga finga", hawa ni wamoja wapo...si ulaya tu, bali hata ktk mji mtakatifu wa Makkah... tofauti na makomredi na binamu zetu wa ghuba ya uajemi...hawa namba ingine...lol
 
Katika ulimwengu wa sasa NO FREE LUNCH, Hata mabilionea duniani hawawezi kukupa pesa bure tu pasipokujiuliza impact ya msaada anaokupa labda kwake yeye, jamii inayokuzunguka, majirani zako, na wadau wote kwa ujumla. Kwa hili kukubaliliwa kujengewa uwanja wa mpira na msikiti mkubwa are there the priorities of the nation??? Je zipo kwenye ilani ya chama. Watakonufaika na uwanja na msikiti ni wangapi.

Ni vijiji vingapi havina maji, huduma ya afya, elimu. Vipi swali NYETI la kujenga viwanda ambalo ndo makakati wa nchi kwa ujumla. Bado nina wasiwasi kuwa ahadi ya kufanya hayo hazikuombwa na mkuu wa kaya BALI ni kitu anachohitaji kufanya mfalme mtukufu mgeni katika ardhi yetu kwa agenda binafsi ya kurahisisha baadhi ya mambo amabayo tutajaona siku za usoni.
TUNAJIDANGANYA TU.

Henry Kissinger wakati Fulani alipata kuishauri serikali ya Marekani enzi hizo. Kwamba ukitaka kulikamata bara la Afrika nenda kamweke sawa Julius Nyerere na Tanzania. Ukimweka sawa Nyerere basi ni rahisi kwa mataifa mengine.

KUHUSU MOROCCO
Miaka 32 iliopita tuliwatangazia Morocco msimamo wetu kupinga mabavu yake huko Sahara Magharibi. Tuliwaambia pia waafrika wenzetu.Tuliutangazia ulimwengu wote. Msimamo wetu ulikuwa kuwaunga mkono Sahara Magharibi ili wajitawale.

Miaka 32 baadaye tumeikaribisha Morocco nchini kwa gego na fizi (Hongereni). Tumeketi mezani kuzungumza na Mfalme Mohammed VI (sina hiyana Naye).

Tumemwambia ushirikiano wetu ni diplomasia ya uchumi, demokrasia na mengineyo. Halafu tumemwambia atujengee nyumba ya Ibada na uwanja wa soka huko Dodoma. Vyote amekubali. Sina tatizo na maombi hayo. Tatizo ni kujidanganya kwetu bila soni.

Toka mwezi Januari mwaka huu kuna kampeni kubwa imeshika kasi Morocco irudishiwe uanachama wa AU. Julai 17 mwaka huu kule Kigali, Rwanda, Mfalme Mohammed VI aliandika barua kwenda kwa Mwenyekiti wa AU, Rais Idris Derb kwamba wapewe nafasi yao AU. Akaomba huruma ya wanachama wa AU(kuna mgawanyiko, na naamini pia utazihusisha Anglophone na Francophone).

Morocco imefanikiwa kushawishi baadhi ya wanachama kwa Afrika kaskazini na magharibi. Kwa upande wa nchi za SADC Ina maana Morocco wamefuata ushauri wa Henry Kissinger, ikamate Tanzania na mengine yatafuata. Naamini kwa SADC ni Tanzania na Afrika kusini tu. Wanachama wa EAC hawana ubavu huo ukiondoa Tanzania.

Sasa tumemtangazia "njaa" Mfalme. Tunamtegemea "kiuchumi" atufadhili. Hivi utakuwa na msimamo gani dhidi yake? Hivi Mfalme hawezi kusema aungwe mkono kwenye juhudi za kurejea AU? Halafu sharti lake ni kwamba Sahara Magharibi ibakie kuwa sehemu yake.

Tunajua Novemba wakuu wa Afrika wamekaribishwa Morocco. Naamini hakuna sababu ya kujidanganya wala kumung'unya maneno.

Tuseme kuwa tumebadili msimamo na tunaungana na Morocco. Ama baniani mbaya Kiatu chake dawa? Nimeambiwa ni suala la kibiashara ndicho tunachojali. Heee! Hakika hayo?? Tunajidanganya mno.

Tuseme ukweli tumekamatwa tayari. Nadhani pia siyo mbali sana ila siyo sasa, tutawakaribisha Israel, na pengine hata Makaburu wangekuwepo Afrika kusini tungewapa mwaliko.

Mimi yangu ni hayo tu. Na wazo hili ruksa kulibishia.

Wasaalamu. Markus Mpangala "Markus M.M

Hivi hao sahara MAGHARIBI wanatupa faida gani tukikaa upande wao?? Nchi haina raisi haina passport!!
Tulikumbatia kutafuta haki na uhuru nchi zingine ilamhatujapata faida yoyote ile.
Sasa ni bora tuangaliye yetu tu Tanzania kwanza. Acha tujengewe uwanja msikiti, na hiyo mikataba mingine naamini ina faida kubwa kwetu...
Hizo haki za Sahara MAGHARIBI tuwaachie Marekani na Ulaya wanaojua kupigania haki za wengine
 
Katika ulimwengu wa sasa NO FREE LUNCH, Hata mabilionea duniani hawawezi kukupa pesa bure tu pasipokujiuliza impact ya msaada anaokupa labda kwake yeye, jamii inayokuzunguka, majirani zako, na wadau wote kwa ujumla. Kwa hili kukubaliliwa kujengewa uwanja wa mpira na msikiti mkubwa are there the priorities of the nation??? Je zipo kwenye ilani ya chama. Watakonufaika na uwanja na msikiti ni wangapi.

Ni vijiji vingapi havina maji, huduma ya afya, elimu. Vipi swali NYETI la kujenga viwanda ambalo ndo makakati wa nchi kwa ujumla. Bado nina wasiwasi kuwa ahadi ya kufanya hayo hazikuombwa na mkuu wa kaya BALI ni kitu anachohitaji kufanya mfalme mtukufu mgeni katika ardhi yetu kwa agenda binafsi ya kurahisisha baadhi ya mambo amabayo tutajaona siku za usoni.
TUNAJIDANGANYA TU.

Henry Kissinger wakati Fulani alipata kuishauri serikali ya Marekani enzi hizo. Kwamba ukitaka kulikamata bara la Afrika nenda kamweke sawa Julius Nyerere na Tanzania. Ukimweka sawa Nyerere basi ni rahisi kwa mataifa mengine.

KUHUSU MOROCCO
Miaka 32 iliopita tuliwatangazia Morocco msimamo wetu kupinga mabavu yake huko Sahara Magharibi. Tuliwaambia pia waafrika wenzetu.Tuliutangazia ulimwengu wote. Msimamo wetu ulikuwa kuwaunga mkono Sahara Magharibi ili wajitawale.

Miaka 32 baadaye tumeikaribisha Morocco nchini kwa gego na fizi (Hongereni). Tumeketi mezani kuzungumza na Mfalme Mohammed VI (sina hiyana Naye).

Tumemwambia ushirikiano wetu ni diplomasia ya uchumi, demokrasia na mengineyo. Halafu tumemwambia atujengee nyumba ya Ibada na uwanja wa soka huko Dodoma. Vyote amekubali. Sina tatizo na maombi hayo. Tatizo ni kujidanganya kwetu bila soni.

Toka mwezi Januari mwaka huu kuna kampeni kubwa imeshika kasi Morocco irudishiwe uanachama wa AU. Julai 17 mwaka huu kule Kigali, Rwanda, Mfalme Mohammed VI aliandika barua kwenda kwa Mwenyekiti wa AU, Rais Idris Derb kwamba wapewe nafasi yao AU. Akaomba huruma ya wanachama wa AU(kuna mgawanyiko, na naamini pia utazihusisha Anglophone na Francophone).

Morocco imefanikiwa kushawishi baadhi ya wanachama kwa Afrika kaskazini na magharibi. Kwa upande wa nchi za SADC Ina maana Morocco wamefuata ushauri wa Henry Kissinger, ikamate Tanzania na mengine yatafuata. Naamini kwa SADC ni Tanzania na Afrika kusini tu. Wanachama wa EAC hawana ubavu huo ukiondoa Tanzania.

Sasa tumemtangazia "njaa" Mfalme. Tunamtegemea "kiuchumi" atufadhili. Hivi utakuwa na msimamo gani dhidi yake? Hivi Mfalme hawezi kusema aungwe mkono kwenye juhudi za kurejea AU? Halafu sharti lake ni kwamba Sahara Magharibi ibakie kuwa sehemu yake.

Tunajua Novemba wakuu wa Afrika wamekaribishwa Morocco. Naamini hakuna sababu ya kujidanganya wala kumung'unya maneno.

Tuseme kuwa tumebadili msimamo na tunaungana na Morocco. Ama baniani mbaya Kiatu chake dawa? Nimeambiwa ni suala la kibiashara ndicho tunachojali. Heee! Hakika hayo?? Tunajidanganya mno.

Tuseme ukweli tumekamatwa tayari. Nadhani pia siyo mbali sana ila siyo sasa, tutawakaribisha Israel, na pengine hata Makaburu wangekuwepo Afrika kusini tungewapa mwaliko.

Mimi yangu ni hayo tu. Na wazo hili ruksa kulibishia.

Wasaalamu. ©Markus Mpangala "Markus M.M
Huna tofauti na watanzania walio wengi wanao amini kwamba Tanzania itajengwa kwa maneno.
 
Back
Top Bottom