Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

Kuna miaka minne mpaka uchaguzi ujao. Mvua zikinyesha barabara zote hazifai mijini na vijijini.

Wagonjwa wanatafutiwa bajaj kama ambulance, shule hazina walimu wala vifaa vya kufundishia. Wezi wanaingia nyumba yoyote wanayotaka na hakuna polisi wa kuwazuia.

Halafu mtu anasema kitakachomfanya kuingia msituni ni urais wa 2015. Hivi kama urais una maana sana kwako kwa nini usimshinikize rais aliyepo kuhakikisha matatizo yaliyopo yametatuliwa?

Nyinyi ndio mnaofanya CCM ichukiwe.
 
Call this wacky if you may, but I think CCM is like a spent nonchargeable battery, it's served its purpose as intended (unite us) and I think it's high time we dispose of it. To spend time recharging this otherwise obsolete political cell is counterproductive.

We do have 'newish' and readily rechargeable batteries at our disposal (no pun intended), then why don't we spend our precious time trying and recharge these instead?!!!
 
Zemarcopolo ujumbe wangu umefika unakotakiwa, hayo yote unayouliza jawabu lake ni moja kuondoa vichwa vya mafisadi ndani ya Uongozi wa Chama kwanza ili kuweka njia huko mbele ya kuwapeleka kwenye sheria sio kazi ya CCM kuwapeleka kwenye Sheria ni kazi ya Serikali.

Kuingia Msituni ni one of the options iwapo watawala hawataki kusikia! - William
 
Zemarcopolo ujumbe wangu umefika unakotakiwa, hayo yote unayouliza jawabu lake ni moja kuondoa vichwa vya mafisadi ndani ya Uongozi wa Chama kwanza ili kuweka njia huko mbele ya kuwapeleka kwenye sheria sio kazi ya CCM kuwapeleka kwenye Sheria ni kazi ya Serikali. Kuingia Msituni ni one of the options iwapo watawala hawataki kusikia! - William

Serikali inayoongozwa na nani?
Actually ni kazi ya kila anayeitakia mema nchi yetu iwapo anaamini kuna ufisadi uliofanyika na ana vidhibiti.

Kama unaona CCM haikufai, kwanini uharibu nchi kwa kuingia msituni, si uende kwenye vyama vingine au uanzishe chama chako.
 
Manywele hatishwi hivyo tena nyuma ya laptop lol!
Ni Malecela halafu unadhani ataacha kuwa concerned?

Ni CCM hao,lazima EL yumo humu na watu wake wanafuatilia kwa karibu,unadhani mbio za urais mchezo.

Kipindi hii tutaona na kusikia mengi sana,mjitayarishe tu.
 
Ni Malecela halafu unadhani ataacha kuwa concerned?

Ni CCM hao,lazima EL yumo humu na watu wake wanafuatilia kwa karibu,unadhani mbio za urais mchezo.

Kipindi hii tutaona na kusikia mengi sana,mjitayarishe tu.
Atafanikiwa?
 
CCM this is my promise to you, siku Lowassa akipitishwa kugombea Urais nitachukua Bunduki na kuingia msituni and I mean it not in my watch, nilipooona maisha yamekua magumu bongo nilikimbilia Ubaharia, na nilipooona hamsikii vilio vya wananchi nilishiriki kuanzisha kiboko yenu JF, now I am ready kuingia Msituni maana enough is enough!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

William @...NYC,USA: Mutuz Le Baharia!


Mhhhhh! Mkuu sikutegemea kusoma kitu kama hiki toka kwako. Yule Jmushi01 aliona mbali alipoandika miaka michache iliyopita kwamba watu inabidi waingine msituni.

Huyu Lowassa ana mapesa chungu nzima lakini hajaridhika tu pamoja na kutokuwa na rekodi nzuri ya uadilifu katika nyadhifa mbali mbali alizowahi kuzishika nchini anataka kulazimisha kuingia Ikulu 2015 kwa kutumia kivuli cha magamba.

Baada ya kikao cha juzi kule magamba inaonekana kama ndiye Kiongozi wa chama na hata wengine kuanza kujikomba waziwazi bila hata aibu (kama tulivyoona katika baadhi ya picha zilizowekwa hapa).

Huyu Lowassa angekuwa mtu mwenye mapenzi ya kweli na nchi yetu basi sasa hivi angekaa pembeni tu na wala asingethubutu hata kuweka jina katika kapu la magamba la kumtafuta mgombea wa chama hicho lakini vibrga anavyovipiga huku na kule vinaonyesha wazi juhudi zake za kujisafisha uchafu wake ili magamba wamteue.

Mie sitashangaa kama magamba watamteua huyu maana hata 2005 sikutegemea kabisa Kikwete amshinde SAS lakini pesa ikatumika kufanya uhuni na madudu ya hali ya juu na hatimaye Kikwete alias chaguo la mafisadi akaibuka kama mgombea wa magamba. Inabidi tuiombee nchi yetu maana huku tuendako hakutii matumaini kabisa.
 
Inaonesha kabisa kwamba, elimu yako, imani yako na mazingira yako hayajakusaidia upevuke na kuondokana na mawazo ya kipuuzi kama hayo uliyoandika hapo juu. Perhaps, kuimba nyimbo za mapambio kutakuvusha na kukupevusha to another level... go figure!!!
Nilichoandika ni mawazo ya wakristo wengi walio ndani ya CCM. Kuna mijadala kibao imeshaibuliwa kuhusu hili suala la udini. Am not a christian but naona Lowasa deserves kuwawakilisha kwenye urais 2015
 
Atafanikiwa?
Sidhani mkuu,labda wavunje chama...

Sisi huku ni mtandaoni,jamaa ana nguvu ndani ya CCM on the ground, na ametumia muda mrefu kujijenga.

Na pia makubaliano ya awali ya wanamtandao ni kwamba he was next on line to run for presidency after JK.

Hata JK mwenyewe alisema ni ajali ya kisiasa,na juzi ameshindwa kumwambia kitu yoyote.

Nape aliyetumwa wala hakuwa kwenye listi ya wazungumzaji kwenye kikao EL alichounguruma...

Kifupi EL hawezi bomolewa kwa siku moja,muda uliobaki ni mchache sana kufanya hivyo,unless mleta mada anamaanisha kumu assasinate.(literally)
 
Nilichoandika ni mawazo ya wakristo wengi walio ndani ya CCM. Kuna mijadala kibao imeshaibuliwa kuhusu hili suala la udini. Am not a christian but naona Lowasa deserves kuwawakilisha kwenye urais 2015

Unasema wewe siyo Mkristo, hapo hapo unasema unaandika on behalf ya hao Wakristo... won't it be fair kama ungeandika kuhusu imani yako na kuwawakilisha hao wenye imani yako ndani ya chama chako na msimamo walionao?!!
 
Wakati EL anajiimarisha walikuwa wapi, alipokuwa kimya watu walidhani kaisha kumbe alikuwa anajenga mtandao, nguvu ya kisiasa aliyonayo kwenye chama na nje ya chama hata JK haiwezi labda atumie dola amkamate amweke kizuizini vinginevyo JK akubali walivyokubaliana yaishe.
 
W, J. Malecela, vipi, Mzee alikuelezea kuwa aliyemkosesha ulaji ni Lowassa nini? Au alikupa sababu za kutofanikiwa hata kwenye kura za maoni ya CCM? Ni ajabu sana kwa kIongozi wa zamani kama yeye kushindwa katika ngazi ya chama. Hakuna alietegemea. Huoni hapo kuwa unyerereism umeumizwa vibaya sana na hauna mshiko?

Nnauhakika Mzee wake atakuwa kakupa sababu nzuri ya kushindwa kwake nayo itakuwa ni "Lowassa".

Mwambie si Lowassa, ni watu walichoka na unyerereism.
 
Well people tupo right on the track, sio siri kuwa hata Wapinzani wachache wamenunuliwa na Lowassa tayari.

Now marching kuelekea Uchaguzi ni lazima tuambiane ukweli tena usoni bila kuoneana aibu kwamba enough is enough, ishus nzito kama hizi ndio zinatutenganisha Boys and Men, hizi ni big politics kama huzielewi kaa pembeni, Tunaongea Revolution ndani ya Chama cha Mapinduzi sio lelemama. - William
 
Wale mliopewa pilau na mafisadi poleni sana mnajionyesha kwa maneno yenu! Duh! Njaa sio mchezo! - William
William, sio kila anaemsupport EL kapewa pilau!.

Umeandika maneno makali humu as if wewe ni mpiganaji wa ukweli!.

Nilidhani utajiandaa kuja kumtoa yule kichaa pale aliyemdhalilisha mzee wetu, kumbe utakuwa busy kuingia msituni?!.

Rais wa Tanzania this time lazima atoke Kaskazini, kwa CCM ni EL pekee ndiye mwenye uwezo wa kuzuia trsunami ya pepo za Kaskazi za upande wa pili ambazo 2015 zikiendelea kuvuma kwa kasi ya 2010, CCM ni chali!.
 
Back
Top Bottom