Kuhusu wewe

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
1. Huwezi kuweka pilipili kwenye macho kama ishara ya kuonja

2. Huwezi kuhesabu nywele za kichwani

3. Huwezi kupumulia PUA wakati ULIMI uko nje

4. Najua umejaribu hilo la 3

5. Umeonekana kama mbwa

6. Umecheka kwa kuwa nimekufanya mbulula

7. Huwezi kutamka neno baba bila mdomo kugusana

8. Umejaribu tena

9. Umejicheka kwa kuniona mie chizi kumbe wewe ndo chizi zaidi

10. Number 9 imekufanya unitukane kimoyo moyo

11. Umekoment hapo chini
 
Jamaa wamekushtukia, lisaa moja hakuna alie comment. Imekula kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom