Kuhusu Wasafi Tv ku-copy vipindi imekaaje?

  • Thread starter mikocheni junction
  • Start date
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
13,312
Points
2,000
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
13,312 2,000
Simba ulikopi kwa Yanga ,ndio ikazaliwa Simba ,vyama vya upinzani imekopi kwa kwa chama tawala,Nchi nazo zimekopi ,mfano Sudani kusini imekopi kwa Sudani kaskazin
 
gh hussa

gh hussa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
1,645
Points
2,000
gh hussa

gh hussa

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
1,645 2,000
Mimi umri wa kukariri vipindi ushapita mkuu drip
Lakini ukweli usemwe Wasafi wamecopy viti vingi kukubali ni kauli ya kiungwana pia
Hili jamaa famba kweli kama uwezi kukariri ukumbuki vipindi una kithibitisho gani cha kubishana na jamaa no research no right to speak au unafuata mkumbo

Jamaa yuko sahihi kalale ukue
 
I

innocent dependent

Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
43
Points
125
I

innocent dependent

Member
Joined Jun 8, 2019
43 125
Kuwa umejiunga jmos na kusema mshanizoea hayo mazoea yameanza lini.
Dada sipo kwaajili ya kushindana nimekuwa nikipitia jamiiforum kusoma comments na post mbalimbali before sijajiunga na nimekuona mara nyingi comment zako Zina mdisi Sana mondi na hii imeanza baada ya mondi kuachana na zari.Me nakushauri dada yangu mpendwa acha habari hizo hizo chuki zako azikusaidii na Wala hayupo humu jamiiforum Zaid na zaidi utaishia kubishana na mashabiki wake ambao wapo wengi Sana humu jamiiforum.Mara nyingi warembo wanakuwaga na upendo ndani yao jitahidi mrembo vua Hilo joo la chuki mungu hapendi.
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
133,902
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
133,902 2,000
Kama unavyojitetea ulikua unapita ukanicheki nae anapita ananicheki pia.

#siokilamtuatakushobokea
Dada sipo kwaajili ya kushindana nimekuwa nikipitia jamiiforum kusoma comments na post mbalimbali before sijajiunga na nimekuona mara nyingi comment zako Zina mdisi Sana mondi na hii imeanza baada ya mondi kuachana na zari.Me nakushauri dada yangu mpendwa acha habari hizo hizo chuki zako azikusaidii na Wala hayupo humu jamiiforum Zaid na zaidi utaishia kubishana na mashabiki wake ambao wapo wengi Sana humu jamiiforum.Mara nyingi warembo wanakuwaga na upendo ndani yao jitahidi mrembo vua Hilo joo la chuki mungu hapendi.
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
19,588
Points
2,000
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
19,588 2,000
Dada sipo kwaajili ya kushindana nimekuwa nikipitia jamiiforum kusoma comments na post mbalimbali before sijajiunga na nimekuona mara nyingi comment zako Zina mdisi Sana mondi na hii imeanza baada ya mondi kuachana na zari.Me nakushauri dada yangu mpendwa acha habari hizo hizo chuki zako azikusaidii na Wala hayupo humu jamiiforum Zaid na zaidi utaishia kubishana na mashabiki wake ambao wapo wengi Sana humu jamiiforum.Mara nyingi warembo wanakuwaga na upendo ndani yao jitahidi mrembo vua Hilo joo la chuki mungu hapendi.
Mchepuko wa Mondi uliositishiwa huduma huoo...
 
I

innocent dependent

Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
43
Points
125
I

innocent dependent

Member
Joined Jun 8, 2019
43 125
Ila mpenzi Numbisa mbona hufananii kuwa aina ya mtu mwenye chuki dhidi ya maendeleo ya kijana/mtanzania mwenzako.
Me mwenyewe nina mshangaa sijui ana tatizo gani alafu Cha ajabu ajistukii anafikiri wana members hawamuoni
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
133,902
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
133,902 2,000
Numby le panic button. Mashosti mpo mnanipa kiki. Zawadi yenu ya vijora nimewatunzia
Mchepuko wa Mondi uliositishiwa huduma huoo...
Ila mpenzi Numbisa mbona hufananii kuwa aina ya mtu mwenye chuki dhidi ya maendeleo ya kijana/mtanzania mwenzako.
Labda itakuwa ila huyu dada anamdisi mond mpaka nimeishika ID yake inawekana ikawa zaidi ya kuwa mchempuko
Me mwenyewe nina mshangaa sijui ana tatizo gani alafu Cha ajabu ajistukii anafikiri wana members hawamuoni
 
I

innocent dependent

Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
43
Points
125
I

innocent dependent

Member
Joined Jun 8, 2019
43 125
Dada hatausikasirike wadau wanakupa ukwel sikunyingine hakuna watu wataoangaika comments zako watazipita kama hawajaziona kwa sababu washakujua teyari wewe Ni mtu wa aina gani please zingatia ushauri wangu mrembo badilika
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
133,902
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
133,902 2,000
Inawachoma ee na bado.

#haterkazinidomoatakoma
Dada hatausikasirike wadau wanakupa ukwel sikunyingine hakuna watu wataoangaika comments zako watazipita kama hawajaziona kwa sababu washakujua teyari wewe Ni mtu wa aina gani please zingatia ushauri wangu mrembo badilika
Badilika mzee baba
majungu sio mtaji
 
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
2,802
Points
2,000
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
2,802 2,000
Ukiangalia tv ya wasafi 95% ya vipindi vyao wamecopy na kupest kutoka EATV

Hata redio yao kwa kiasi kikubwa wamekopi earadio

Ukiondoa ile logo ya W ukawa unaangalia tv utajua unaangalia eatv
Wasafi wangekuja na ubunifu wao hata 50% vingine wamecopy

Wasafi mnafeli hata kabla ya mwaka kupinduka
Mnaipata wasafi tv kupitia kisimbuzi kipi?
 
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
2,802
Points
2,000
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
2,802 2,000
Pumba tupu umeandika Wasafi tv ina logo yao na mbele ya Logo yao kuna neno TUMEWASHA logo yao haipo kama sanamu ni logo hai.

EATV logo yao ni mfu (Mgando) haifanyi chochote.
Vipindi vya Wasafi tv baadhi havijapangiliwa bado na vingine tayari vimepangiliwa.

kuna Shutout hii inaanza saa 10-11
EATV muda huu wanakuwa na MCM,WCW,TBT n.k itategemea na siku husika tena vinaanza saa 9-10 11 na kuendelea inakuwa ni 5select.

Kuna kipindi kinaitwa kwetu hiki kinajumuisha segment kama tatu kuna kungwi, kusaidia wenye uhitaji au kuonyesha watu wanaohitaji platform n.k na kuna visanga.
EATV hawana kipindi kama hiki.
Kuna kipindi kinaitwa HIVI NI KWELI hiki ni gossip program mtangazaji anaitwa Mo town sanya ni creative genius maudhui yake ni kuonyesha vitu vilivyokuwa vikifanywa na mastaa alafu ghafla wakashuka au wameacha.

Kwa kifupi ni blunders za celebrities.
EATV hawana kipindi kama hiki wao wana E newz Mon-Frid.

Wasafi wana The next MVP hii inahusu upcoming superstars EATV hawana.
Wana The bartender inayoendeshwa na Babaako Jonijoo EATV hawana kipindi kama hiki.
Wana Refresh hii ni sawa na E newz ya EATV huwa inaruka saa 12:30 Mon-frid na ijumaa kinakuwa tofauti kidogo anakuwepo celebrity anafanyiwa mahojiano.

Wana Bongo dar es salaam EATV wana vipindi vyao pia vya filamu.
Wasafi Tv bado hawana program nyingi.
Wasafi Fm ndio ina program mbili tu yani Block 89 na The story book.

ACHA KUJIKUTA MKOSOAJI WAKATI HUJUI KITU BULLSHIT
Mnaanhalia kupitia dikoda ipi?
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top