Kuhusu Wasafi Tv ku-copy vipindi imekaaje?

  • Thread starter mikocheni junction
  • Start date
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
2,670
Points
2,000
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
2,670 2,000
Masikini kwa kuwaponda masikini waliosonga mbele nikawaida yawa africa
 
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Messages
8,521
Points
2,000
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2013
8,521 2,000
redio zote hapa bongo vipindi wanakopiana kuanzi vipindi vya asubuhi mpaka usiku

mfano vipindi vya jioni
Clouds kuna Jahazi
E Fm kuna Ubaoni
Magic fm kuna Sundowns
Capital radio kuna Lete raha
EA radio kuna East Africa Drive
RFA kipo kama sikosei jina kinaitwa Mambo Mambo
Radio One pia.

kidogo Times fm ndo naona wapo tofauti kimaudhui ukilinganisha na media nyingine ila kuna baadhi ya maudhui wanaendana na redio nyingine.

kwa hapa Tz ni kama system tu

nothing new
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,214
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,214 2,000
Pumba tupu umeandika Wasafi tv ina logo yao na mbele ya Logo yao kuna neno TUMEWASHA logo yao haipo kama sanamu ni logo hai.

EATV logo yao ni mfu (Mgando) haifanyi chochote.
Vipindi vya Wasafi tv baadhi havijapangiliwa bado na vingine tayari vimepangiliwa.

kuna Shutout hii inaanza saa 10-11
EATV muda huu wanakuwa na MCM,WCW,TBT n.k itategemea na siku husika tena vinaanza saa 9-10 11 na kuendelea inakuwa ni 5select.

Kuna kipindi kinaitwa kwetu hiki kinajumuisha segment kama tatu kuna kungwi, kusaidia wenye uhitaji au kuonyesha watu wanaohitaji platform n.k na kuna visanga.
EATV hawana kipindi kama hiki.
Kuna kipindi kinaitwa HIVI NI KWELI hiki ni gossip program mtangazaji anaitwa Mo town sanya ni creative genius maudhui yake ni kuonyesha vitu vilivyokuwa vikifanywa na mastaa alafu ghafla wakashuka au wameacha.

Kwa kifupi ni blunders za celebrities.
EATV hawana kipindi kama hiki wao wana E newz Mon-Frid.

Wasafi wana The next MVP hii inahusu upcoming superstars EATV hawana.
Wana The bartender inayoendeshwa na Babaako Jonijoo EATV hawana kipindi kama hiki.
Wana Refresh hii ni sawa na E newz ya EATV huwa inaruka saa 12:30 Mon-frid na ijumaa kinakuwa tofauti kidogo anakuwepo celebrity anafanyiwa mahojiano.

Wana Bongo dar es salaam EATV wana vipindi vyao pia vya filamu.
Wasafi Tv bado hawana program nyingi.
Wasafi Fm ndio ina program mbili tu yani Block 89 na The story book.

ACHA KUJIKUTA MKOSOAJI WAKATI HUJUI KITU BULLSHIT
 
mikocheni junction

mikocheni junction

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
518
Points
1,000
mikocheni junction

mikocheni junction

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2019
518 1,000
Ndugu diamond kaa utulie ujibu vizuri
Wasafi mmkopy eatv vitu vingi tu

Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama

University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
446
Points
500
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2018
446 500
Hivi hiyo Tv haikumuajiri tena Wema Sepetu?
Kipindi chao hakijawa sawa,Hili Wema alishajibu zamani sana alisema kipindi Siyo cha pekee ni chawengi miongoni akiwa Zamaradi mketema aliyekuwa mke wa marehemu Ruge.So,wanaweka vitu sawa, kipindi kitaruka hewani kuwa mvumilivu tu.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,214
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,214 2,000
Ndugu diamond kaa utulie ujibu vizuri
Wasafi mmkopy eatv vitu vingi tu

Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama
Nitajie kipindi chochote cha Wasafi tv ama Radio ambacho kimeigwa kutoka EATV au hata graphics tu ukikosa majina ya vipindi yaliyoigwa.

Ukikosa hivyo vyote nitajie hata style ya utangazaji wa Wasafi presenters imeigwa kutoka kwa nani wa EATV kama huna kalale ukue
 
mikocheni junction

mikocheni junction

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
518
Points
1,000
mikocheni junction

mikocheni junction

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2019
518 1,000
Nitajie kipindi chochote cha Wasafi tv ama Radio ambacho kimeigwa kutoka EATV au hata graphics tu ukikosa majina ya vipindi yaliyoigwa.

Ukikosa hivyo vyote nitajie hata style ya utangazaji wa Wasafi presenters imeigwa kutoka kwa nani wa EATV kama huna kalale ukue
Mimi umri wa kukariri vipindi ushapita mkuu drip
Lakini ukweli usemwe Wasafi wamecopy viti vingi kukubali ni kauli ya kiungwana pia
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,214
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,214 2,000
Mimi umri wa kukariri vipindi ushapita mkuu drip
Lakini ukweli usemwe Wasafi wamecopy viti vingi kukubali ni kauli ya kiungwana pia
Mkuu mikocheni junction sisi wanyamwezi tunapaita Maikocheni, muda huu natazama Wasafi tv sioni kipindi hata kimoja kilichokopiwa na Wasafi hata graphics huku ni unyamwezi tu.

EATV haina mvuto ukiitazama ni kama unatazama Clouds tv tu, ila Wasafi ni kama unatazama MTV Africa.
Tazama KTN burudani ndio utasema hii ni Wasafi kabisa ndio wamekopi
 
mikocheni junction

mikocheni junction

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
518
Points
1,000
mikocheni junction

mikocheni junction

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2019
518 1,000
Mkuu mikocheni junction sisi wanyamwezi tunapaita Maikocheni, muda huu natazama Wasafi tv sioni kipindi hata kimoja kilichokopiwa na Wasafi hata graphics huku ni unyamwezi tu.

EATV haina mvuto ukiitazama ni kama unatazama Clouds tv tu, ila Wasafi ni kama unatazama MTV Africa.
Tazama KTN burudani ndio utasema hii ni Wasafi kabisa ndio wamekopi
Ahaha hapana boss apo nakukatalia eatv inamfumo halisi wa burudani ambako ndipo wasafi walipochukua contents

Kuidharau eatv utakuwa Mtu wa ajabu ndio wametufungulia njia kumfaham vitu vya mbele miaka ile Internet ya kuifuata dukani
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,214
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,214 2,000
Ahaha hapana boss apo nakukatalia eatv inamfumo halisi wa burudani ambako ndipo wasafi walipochukua contents

Kuidharau eatv utakuwa Mtu wa ajabu ndio wametufungulia njia kumfaham vitu vya mbele miaka ile Internet ya kuifuata dukani
EATV sio creative tena labda unatumia kisimbusi ambacho hakina Wasafi tv tafuta Zuku uangalie mambo acha kusikiliza maneno ya mitaani.

Kitu HD yani hutamani hata kuitoa
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
9,810
Points
2,000
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
9,810 2,000
Kama boss kutwa kuiba na kukopy beats hadi nyimbo za wengine sembuse wafanyakazi
READ ME

1. Jealousy is just hate and love at the same time.

2. Jealousy is a weak emotion.

3. Jealousy is for weak people.

And last but not least

4. Jealousy is a sure way towards hell.
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
9,810
Points
2,000
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
9,810 2,000
Achana na huyo dada ana hasira na Diamond kisa kamtema Zari utadhani yy ndio katemwa ndo maana comments zake ni za kumdis mondi si tunamjua ndo maana hatupati tabu nae
Mzee Mzindakaya aliyewahi kuwa waziri enzi za Nyerere alinukuliwa akisema kwamba watanzania hatuendelei kwa sababu ya kuoneana wivu wa kijinga utafikiri wivu unamletea mtu chakula mezani au unamsaidia mtu kulipa ada ya watoto. Sasa ukiishi mazingira ambayo umezungukwa na mi Numbisa kama 100 , utachomoka kimaisha kweli ?
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,436
Top