Pumba tupu umeandika Wasafi tv ina logo yao na mbele ya Logo yao kuna neno TUMEWASHA logo yao haipo kama sanamu ni logo hai.
EATV logo yao ni mfu (Mgando) haifanyi chochote.
Vipindi vya Wasafi tv baadhi havijapangiliwa bado na vingine tayari vimepangiliwa.
kuna Shutout hii inaanza saa 10-11
EATV muda huu wanakuwa na MCM,WCW,TBT n.k itategemea na siku husika tena vinaanza saa 9-10 11 na kuendelea inakuwa ni 5select.
Kuna kipindi kinaitwa kwetu hiki kinajumuisha segment kama tatu kuna kungwi, kusaidia wenye uhitaji au kuonyesha watu wanaohitaji platform n.k na kuna visanga.
EATV hawana kipindi kama hiki.
Kuna kipindi kinaitwa HIVI NI KWELI hiki ni gossip program mtangazaji anaitwa Mo town sanya ni creative genius maudhui yake ni kuonyesha vitu vilivyokuwa vikifanywa na mastaa alafu ghafla wakashuka au wameacha.
Kwa kifupi ni blunders za celebrities.
EATV hawana kipindi kama hiki wao wana E newz Mon-Frid.
Wasafi wana The next MVP hii inahusu upcoming superstars EATV hawana.
Wana The bartender inayoendeshwa na Babaako Jonijoo EATV hawana kipindi kama hiki.
Wana Refresh hii ni sawa na E newz ya EATV huwa inaruka saa 12:30 Mon-frid na ijumaa kinakuwa tofauti kidogo anakuwepo celebrity anafanyiwa mahojiano.
Wana Bongo dar es salaam EATV wana vipindi vyao pia vya filamu.
Wasafi Tv bado hawana program nyingi.
Wasafi Fm ndio ina program mbili tu yani Block 89 na The story book.
ACHA KUJIKUTA MKOSOAJI WAKATI HUJUI KITU BULLSHIT