Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?

Huo muda si wangeanza kujenga vingine vya kisasa zaidi hata kwa kutumia external financing. Ukidai hivyo chakavu ni kupoteza muda. Ipo mikoa mipya na wilaya mpya ambazo hakuna viwanja. Pamoja na kutazama michezo mingine kuogelea, tennis, kikapu, magongo ebu tokeni nje ya boksi tusongembele.
 
Polepole toa uthibitisho wa TANU au CCM kununua Kiwanja Na kampuni zilizojenga .Viwanja vyote vimejengwa Na watanzania bila kujali chama watu wamekatwa mishahara, wameuza mifugo kuchangia viwanja
Na si viwanja tu hata ofisi zao zimejengwa kwa nguvu ya wananchi,ndo maana zinaungua tu,dhulma haidumu
 
Amesema kuwa CCM ilitumia rasilimali zake kununua ardhi then wakajenga viwanja vya mpira.

Na amesema kati viwanja 23 CCM inamiliki 22. Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba viwanja vyote vinavomilikiwa na CCM zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania tena wasio na chama.

Na viwanja vingi vilijengwa kutokana mzunguko wa sherehe za Uhuru kila mwaka. Kwa maana hiyo viwanja hivyo si Mali ya watanzania wote? Nawasilisha
Jamhuri Dodoma kilikua cha council

Mkwakwani Tanga kilikua cha manispaa

Sheikh Amri Abeid kilikua cha council

Jamhuri Moro

Kama unavyoiona karume wa Dar au Nyamagana Mwanza hivi navyo ndivyo ilivyokua ukitaka kujua hili fuatilia mafaili Ardhi na pili wale wazamani watakumbuka mashindano/ligi za mpira zilikua zikifanyika katika viwanja hivi kabla ccm haijazaliwa
 
Leo bila hata aibu wanamiliki viwanja hivo. Uwanja pekee waliouonea aibu kuuchukua ni uwanja wa taifa wa zamani (shamba la bibi) kwa kuwa ulikuwa unatumiwa na jeshi letu.
 
Polepole toa uthibitisho wa TANU au CCM kununua Kiwanja Na kampuni zilizojenga .Viwanja vyote vimejengwa Na watanzania bila kujali chama watu wamekatwa mishahara, wameuza mifugo kuchangia viwanja
Huyu slow slow alikua hajazaliwa na kama alikua amezaliwa basi alikua ni malaika kwa maana alikua anayonya kwa mama yake hivo hajui baya lipi na jema ni lipi akiamka kucheza, kula, kwenda shule na kulala na nadhani pia hajui historia ya viwanja hivi, arudi katika mafaili ya miji husika akaone jinsi umiliki ulivyofanyika hivi viwanja vya mkwakwani, jamhuri Dom, jamhuri Moro, Amri Abeid Arusha, vita Tabora, Nyamagana Mwanza na Karume Dar vilikua ni viwanja vya miji husika na ligi za mpira wa miguu wakati huo zilifanyika katika viwanja hivyo, wakati wa sherehe za TANU/CCM wakati wa chama kimoja ndipo vilipokarabatiwa na kwa wakati ule ilikua ni ngumu kutofautisha chama na serikali wananchi wote tulichangishwa kwa ujenzi wa viwanja hivi, sina hakika kama anafahamu kua

KATIBU WA CCM MKOA NDIE PIA ALIKUA MKUU WA MKOA KWA HIYO ILIYOKUA MALI YA SERIKALI ILIHAMISHIWA KWENYE CHAMA.

Nakumbuka katika maeneo mengi wakati wa ujenzi wa viwanja hivi mfano Songea bei ya bidhaa kama sukari, mafuta ya taa, petrol n.k iliongezwa kama kodi ya ujenzi wa uwanja wa majimaji na hii ilifanyika maeneo mengi hivo mr. Slow slow jifunze historia ya chama ilikotoka sisi wengine tunaoelewa BAADHI YA MAMBO unapoongea tunacheka na kuona kama vile unafanya maigizo.

Viwanja vya Nyamagana na vita Tabora vilipona kuckuliwa sababu ya ufinyu wa eneo wakati sherehe zilipoenda katika miji hiyo ikabidi kutafuta maeneo mapya na ndio sababu utaona viwanja vya kirumba na Ali Hassan Mwinyi ni vikubwa sana kuliko hivi vingine kwa sababu yalitafutwa maeneo mapya na uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulikua ukiitwa uwanja wa Taifa kabla ya kuchukuliwa na ccm
 
wakati vinajengwa vilijulikana kama ni viwanja vya ccm! sasa kama ulikuwa unajenga wakati huna chama ulikuwa unawachangia ccm! ni kama leo chadema wanavyotangaza harambee watu tukachangia hata bila kuwa mwanachama.

pia kama unataka kumiliki mali za ccm, jibu ni simple tu, jiunge na ccm uwe mmoja wa wamiliki kwani hakuna aliyekufukuza au kukukataza kujiunga na ccm.

mwanamke aliyeachika mwenyewe hana haki ya kugawana mali alizochuma na mmewe! maana kama akizitaka kuzitumia mumewe humwambia aje aishi nae wazitumie! na hata akienda mahakamani hushindwa kwa hoja hiyo.. hakuna aliyekufukuza! kama unataka nyumba njoo tuishi pamoja tuitumie wote.
Tulikua tunajenga viwanja kwa ajili ya michezo na sherehe za kitaifa, ilikua ni namna kufanya kila mkoa kuwa na kiwanja cha michezo kwa ajili ya kuendeleza michezo, Nyerere alipenda sana kuendeleza michezo pamoja na kwamba yeye hakuwa mpenzi sana na kama utakumbuka hata Olympic timu yetu ilikuwa ikienda na kundi kubwa la wanamichezo, haya majina ya ccm kwenye viwanja yalikuja ongezwa baadae sana, watu walilipishwa kodi ya ujenzi wa viwanja katika baadhi ya bidhaa.
 
kesi ilifunguliwa CCM wakashinda? nafikiri ni kesi ambazo zinatakiwa kati ya halmashauri za miji vs CCM. mfano uwanja wa Sokoine iwe halmashauri ya jiji la Mbeya vs CCM. ilikuvyo au ilikuwaje?
Naam CCM ilishinda.
 
Miaka yote mtaendelea kulalamika na maisha yanaendelea, CCM imezidua jengo jipya Upanga la kisiasa nyie endeeni kupanga miaka 25 sasa, hakuna mwenye jeuri ya kuhoji matumizi ya ruzuku, hela za Sabodo na pesa za wafadhiri
 
Huo muda si wangeanza kujenga vingine vya kisasa zaidi hata kwa kutumia external financing. Ukidai hivyo chakavu ni kupoteza muda. Ipo mikoa mipya na wilaya mpya ambazo hakuna viwanja. Pamoja na kutazama michezo mingine kuogelea, tennis, kikapu, magongo ebu tokeni nje ya boksi tusongembele.
KANU nao walijimilikisha hili jengo hadi hati wanayo lakini 2003 lilirudi serikalini.na halikuwa n hali nzuri. serikali haikusema bora ijenge lingine.
Kenyatta_Conference_Centre.jpg
 
Amesema kuwa CCM ilitumia rasilimali zake kununua ardhi then wakajenga viwanja vya mpira.

Na amesema kati viwanja 23 CCM inamiliki 22. Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba viwanja vyote vinavomilikiwa na CCM zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania tena wasio na chama.

Na viwanja vingi vilijengwa kutokana mzunguko wa sherehe za Uhuru kila mwaka. Kwa maana hiyo viwanja hivyo si Mali ya watanzania wote? Nawasilisha
Huyo pole pole hajui lolote yupo kupiga debe.CCM hawajahi kujenga Kiwanja wala jengo.Majengo na viwanja vyote nilikuwa vinachangiwa na wafanyakazi na wakulima.Tukikatwa kwenye mishahara na wakulima wakikatwa kwenye mazao.Tena ilikuwa lazima ukikataa unawekwa mahabusu ati umekataa kuleta Maendeleo. Atueleze ni wapi CCM ilitumia. Ada yake kununua au kujenga viwanja.

Majengo yote walikuwa yanajwngwa kwa kusema tunajenga jengo la chama na Serikali Leo unasema majengo ya CCM kuanzia lini.

CCM ni waporaji kuanzia chama mpaka wanachama wake.Wamepora majengo na viwanja vya serikali.Ilipaswa baada ya kuanzisha vyama vingi.viwanja na majengo yote yarudishwe serikalini.Na hii ni pamoja na shule za wazazi
 
Miaka yote mtaendelea kulalamika na maisha yanaendelea, CCM imezidua jengo jipya Upanga la kisiasa nyie endeeni kupanga miaka 25 sasa, hakuna mwenye jeuri ya kuhoji matumizi ya ruzuku, hela za Sabodo na pesa za wafadhiri
CCM pamoja na makada wote ni wakupuaji wa raslimali za Taifa pamoja na kupora Mali za Serikali na kujimilikisha.Majengo yote yalupaswa kurudi serikalini kwa maana mishahara yetu ilikatwa tena kwa lazima halafu Leo mnajisifu mnamajengo yapi

Wezi wazoefu ni wezi tu.
 
na ukumbuke kuwa! baada ya kuruhusu vyama vingi hakuna aliyesema kuwa baadhi ya wanachama wa ccm waondoke kuunda vyama vingine! no no no.. waliondoka kwa kujitakiwa wao . so hawana haki ya kudai vya ccm! kama wanataka wende huko huko ccm watumie pamoja
Kuna siku tutapata Rais Mzalendo mwenye hulka na tabia ya Utaifa majengo na viwanja vyote mtavisikia kwenye Gazeti la Uhuru.Hata hilo.gazeti la Uhuru.kilikuwa gazeti la serikali mkalipora.Yaani CCM ni wezi waliokubuhi kuanzia chama mpaka wanachama wake.Sera yao ya kwanza.ni ukwapuaji na wizi wa.raslimali.za.Taifa
 
wakati vinajengwa vilijulikana kama ni viwanja vya ccm! sasa kama ulikuwa unajenga wakati huna chama ulikuwa unawachangia ccm! ni kama leo chadema wanavyotangaza harambee watu tukachangia hata bila kuwa mwanachama.

pia kama unataka kumiliki mali za ccm, jibu ni simple tu, jiunge na ccm uwe mmoja wa wamiliki kwani hakuna aliyekufukuza au kukukataza kujiunga na ccm.

mwanamke aliyeachika mwenyewe hana haki ya kugawana mali alizochuma na mmewe! maana kama akizitaka kuzitumia mumewe humwambia aje aishi nae wazitumie! na hata akienda mahakamani hushindwa kwa hoja hiyo.. hakuna aliyekufukuza! kama unataka nyumba njoo tuishi pamoja tuitumie wote.
Mtatumia maneno yote lakini Kumbuka hili kuna siku hayo majengo yatarudishwa Serikalini
 
Nazungumzia hili kwa kuwa viongozi wetu wanajinasibu kuwa ni waadilifu.Kama ccm wanataka wamiliki Mali halali basi warudishe Mali ya watanzani wote. Nasema hili kama raia wa kawaida ambaye mzazi wangu ambaye hakuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini alichangia ujenzi wa viwanja.
Wachaga bwana
 
CCM pamoja na makada wote ni wakupuaji wa raslimali za Taifa pamoja na kupora Mali za Serikali na kujimilikisha.Majengo yote yalupaswa kurudi serikalini kwa maana mishahara yetu ilikatwa tena kwa lazima halafu Leo mnajisifu mnamajengo yapi

Wezi wazoefu ni wezi tu.
Acha kuhalalisha maovu ya chama chako, majengo yapi? Haya ruzuku 800m mnashindwa kununua nyumba kinondoni, ilala au sinza 300m?? Mnaendelea kupanga? Hela zinaenda wapi? Haya endeleeni kulalamika
 
Amesema kuwa CCM ilitumia rasilimali zake kununua ardhi then wakajenga viwanja vya mpira.

Na amesema kati viwanja 23 CCM inamiliki 22. Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba viwanja vyote vinavomilikiwa na CCM zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania tena wasio na chama.

Na viwanja vingi vilijengwa kutokana mzunguko wa sherehe za Uhuru kila mwaka. Kwa maana hiyo viwanja hivyo si Mali ya watanzania wote? Nawasilisha

Ukiwa mwanachama wa kilabu cha mbege kilabu ikiboreshwa na wewe ukihamia kilabu ya viroba unadai mabenchi ya kilabu chako cha zamani kuwa ni yako pia?

Nyie ndiyo wale mnapangishwa kwenye nyumba ukikaa miaka mingi siku ukihamishwa unadai share.

Ulitaka viwanja vijengwe na nani kama si wananchi?

Punguani wahed
 
Back
Top Bottom