Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

Viwanja vyote ni mali ya wananchi.
Halmashauri ndiyo wamiliki halali wa viwanja hivyo.
CCM imepora viwanja hivyo
 
Ukiwa mwanachama wa kilabu cha mbege kilabu ikiboreshwa na wewe ukihamia kilabu ya viroba unadai mabenchi ya kilabu chako cha zamani kuwa ni yako pia?

Nyie ndiyo wale mnapangishwa kwenye nyumba ukikaa miaka mingi siku ukihamishwa unadai share.

Ulitaka viwanja vijengwe na nani kama si wananchi?

Punguani wahed
Majibu ya hovyo kabisa kutoka kwa bibi yetu huyu kumbe mtu akizeeka aweza kuwa zuzu
 
Huyu slow slow alikua hajazaliwa na kama alikua amezaliwa basi alikua ni malaika kwa maana alikua anayonya kwa mama yake hivo hajui baya lipi na jema ni lipi akiamka kucheza, kula, kwenda shule na kulala na nadhani pia hajui historia ya viwanja hivi, arudi katika mafaili ya miji husika akaone jinsi umiliki ulivyofanyika hivi viwanja vya mkwakwani, jamhuri Dom, jamhuri Moro, Amri Abeid Arusha, vita Tabora, Nyamagana Mwanza na Karume Dar vilikua ni viwanja vya miji husika na ligi za mpira wa miguu wakati huo zilifanyika katika viwanja hivyo, wakati wa sherehe za TANU/CCM wakati wa chama kimoja ndipo vilipokarabatiwa na kwa wakati ule ilikua ni ngumu kutofautisha chama na serikali wananchi wote tulichangishwa kwa ujenzi wa viwanja hivi, sina hakika kama anafahamu kua

KATIBU WA CCM MKOA NDIE PIA ALIKUA MKUU WA MKOA KWA HIYO ILIYOKUA MALI YA SERIKALI ILIHAMISHIWA KWENYE CHAMA.

Nakumbuka katika maeneo mengi wakati wa ujenzi wa viwanja hivi mfano Songea bei ya bidhaa kama sukari, mafuta ya taa, petrol n.k iliongezwa kama kodi ya ujenzi wa uwanja wa majimaji na hii ilifanyika maeneo mengi hivo mr. Slow slow jifunze historia ya chama ilikotoka sisi wengine tunaoelewa BAADHI YA MAMBO unapoongea tunacheka na kuona kama vile unafanya maigizo.

Viwanja vya Nyamagana na vita Tabora vilipona kuckuliwa sababu ya ufinyu wa eneo wakati sherehe zilipoenda katika miji hiyo ikabidi kutafuta maeneo mapya na ndio sababu utaona viwanja vya kirumba na Ali Hassan Mwinyi ni vikubwa sana kuliko hivi vingine kwa sababu yalitafutwa maeneo mapya na uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulikua ukiitwa uwanja wa Taifa kabla ya kuchukuliwa na ccm
Asante Mkuu kwa kusema ukweli lakini nauhakika hata hao kina pole pole ukweli anaujua kupitia kwenye mafail na historia kutoka kwa wazee. Wamepora Mali ya watanzania na kujimilikisha
 
Majibu ya hovyo kabisa kutoka kwa bibi yetu huyu kumbe mtu akizeeka aweza kuwa zuzu

Hukuupenda ukweli lazima uuone hovyo.

Viwanja ni vya CCM na vitabaki kuwa vya CCM.

Una pesa jenga vyako au anzisha kampeni ya kujenga viwanja vya chadema, unashindwa nini?

Heee! Unanshangaza kulilia mali zisizo kuhusu.
 
We bibi ukweli unaujua kwenye nafsi yako lakin kinywa chako kisema uongo. Mmepora Mali za watanzania iko siku mtazirudisha
 
We bibi ukweli unaujua kwenye nafsi yako lakin kinywa chako kisema uongo. Mmepora Mali za watanzania iko siku mtazirudisha

Wewe punguani kweli kweli, hebu weka ushahidi hapa kuwa hivyo viwanja havijawahi kuwa vya CCM.

Eti mmepora mali, waliopora mali huwajuwi?

Mbowe kwanini kanyang'anywa Billicanas na kimya halalamiki?

Na siku Magufuli atakapoamua muelezee yale mahekalu ya vijijini kule Kilimanjaro mliyajengaje, ndiyo mtaelewa ni nani waporaji.
 
Shem on u. Umezaliwa Leo?soma sentensi yako ya kwanza kama utaielewa!

CHADEMA HAIJAWEZA KUJENGA OFISI YA MAKAO MAKUU. HAIJAWEZA KUJENGA UKUMBI WA MIKUTANO, BADALA YAKE INAFANYIA MAHOTELINI. JAPO IMEPATA FEDHA NYINGI NA KUFANYIWA HARAMBEE IMESHINDWA KUJENGA MAKAO MAKUU. NI HATARI SANA.
 
Viwanja vya mpira vilijengwa na wana ccm,kipindi kile mtu alipokuwa anatimiza miaka 18 alipaswa kuwa mwanachama wa ccm tena kwa kusomea kwa hiyo si kweli kwamba viwanja vilijengwa na wananchi wote wa Tanzania,pia vilikuwa vinajengwa wakati wa mzunguko wa sherehe za maadhimisho ya kitaifa kuzaliwa chama cha ccm na siyo sherehe za uhuru. Sherehe za uhuru miaka yote huwa zinafanyika kitaifa Dar es Salaam
 
Wewe punguani kweli kweli, hebu weka ushahidi hapa kuwa hivyo viwanja havijawahi kuwa vya CCM.

Eti mmepora mali, waliopora mali huwajuwi?

Mbowe kwanini kanyang'anywa Billicanas na kimya halalamiki?

Na siku Magufuli atakapoamua muelezee yale mahekalu ya vijijini kule Kilimanjaro mliyajengaje, ndiyo mtaelewa ni nani waporaji.

Hivyo viwanja mlivipora kama ccm lakini wananchi wote walishuruyushwa kuvijenga bila ridhaa yao kama wanaccm. Ukitaka kuamini hebu onyesheni viwanja vingine mlivyovijenga baada ya mfumo wa vyans vingi. Na ukitaka kujua dhuluma ni mbaya hebu angalia vitega uchumi vilivyomilikiwa na ccm baada ya mfumo wa vyama vingi jinsi vilivyochakaa hata kupiga rangi tu imekuwa shida.
 
Hivyo viwanja vilichangiwa na watanzania wote hadi watoto wa shule walichangia.
Mimi nilichangia ujenzi wa CCM Kirumba nikiwa shule ya msingi. Ilikuwa lazima kila mtanzanua kuchangia.
CCM walitakiwa tu kutenda haki. Viwanja hivyo viwe chini ya halmashauri/ manispaa.
 
Acha kuhalalisha maovu ya chama chako, majengo yapi? Haya ruzuku 800m mnashindwa kununua nyumba kinondoni, ilala au sinza 300m?? Mnaendelea kupanga? Hela zinaenda wapi? Haya endeleeni kulalamika
Nyie ruzuku ya Bilioni ngapi mpaka sasa mmejenga Majengo mangapi??In short CCM hamna right ya kuhodhi majengo tuliyoyatolea jasho tena unakatwa kwa lazima.Leo mnakuja mnajisifu ati Majengo yetu,hamna hata haya Mmezoea kuiba tu.Subirini aje Rais wa Watanzania Mwenye uchunguzi na Taifa ndipo utajua kama.majengo ya CCM au ya Serikali.
 
Hivyo viwanja vilichangiwa na watanzania wote hadi watoto wa shule walichangia.
Mimi nilichangia ujenzi wa CCM Kirumba nikiwa shule ya msingi. Ilikuwa lazima kila mtanzanua kuchangia.
CCM walitakiwa tu kutenda haki. Viwanja hivyo viwe chini ya halmashauri/ manispaa.
Hawana Kiwanja,shule wala majengo majangili yaliyozoea kukwapua tu.
 
Nyie ruzuku ya Bilioni ngapi mpaka sasa mmejenga Majengo mangapi??In short CCM hamna right ya kuhodhi majengo tuliyoyatolea jasho tena unakatwa kwa lazima.Leo mnakuja mnajisifu ati Majengo yetu,hamna hata haya Mmezoea kuiba tu.Subirini aje Rais wa Watanzania Mwenye uchunguzi na Taifa ndipo utajua kama.majengo ya CCM au ya Serikali.
Taja majengo yalitojengwa na wananchi CCM wamehodhi.
 
Suluhu ya hii ni kuiondoa kwanza ccm madarakani
 
Ni uongo...bado mtoto hawezi kujua jinsi tulivyokatwa pesa zetu gesti, au tunapouza pamba ili zikajenge viwanja hivyo. Ni mali ya watanzania wote kipindi CCM imeshika hatamu
 
Back
Top Bottom