Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

Ni kweli CDM miaka yote hiyo na wanapata ruzuku hata ofisi ya udongo tu inawatoa jasho
 
Ni uongo...bado mtoto hawezi kujua jinsi tulivyokatwa pesa zetu gesti, au tunapouza pamba ili zikajenge viwanja hivyo. Ni mali ya watanzania wote kipindi CCM imeshika hatamu
Kwa kuwa bado watanzania wana uelewa wa kutosha kuhusu viwanja
. Ninataka pole pole aache kuwapotosha watanzania
 
kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?
Hata mimi nawashangaa! Wanao wabunge wasomi wanaoweza kufanya itafiti wa ujenzi wa viwanja vyote na kuvimilikisha halmashauri za wilaya/miji/manisipaa na majiji husika ili viwe vitega uchumi kwa manufaa ya wananchi wote.
 
na ukumbuke kuwa! baada ya kuruhusu vyama vingi hakuna aliyesema kuwa baadhi ya wanachama wa ccm waondoke kuunda vyama vingine! no no no.. waliondoka kwa kujitakiwa wao . so hawana haki ya kudai vya ccm! kama wanataka wende huko huko ccm watumie pamoja
siongelei kuhusu chama nmesema zirudi zilitakiwa kurudi serikalin maana zilipatikana kwa kodi za wananchi wote vyama vilitakiwa vitafute mali zao wenyew
 
na ukumbuke kuwa! baada ya kuruhusu vyama vingi hakuna aliyesema kuwa baadhi ya wanachama wa ccm waondoke kuunda vyama vingine! no no no.. waliondoka kwa kujitakiwa wao . so hawana haki ya kudai vya ccm! kama wanataka wende huko huko ccm watumie pamoja
Wanao dai si wanachama wa chama chochote bali ni RAIA wa kawaida tu.
 
kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?
Wa challenge nini sasa. Mwanzoni chama kilikuwa ni ccm. Chama hicho kiliweza kumiliki Mali na vitu mbalimbali. Ilipotokea kuna ombwe la vyama vingi vipya viliruhusiwa kujianzisha. Si kwamba eti Mali iliyokuwa inamilikiwa na ccm kipindi hicho eti iligeuka kuwa ya Taifa/serikali Hapana. Ilibaki kuwa ni Mali ya ccm. So ni ujinga kuwaza eti chadema kika challenge
 
kipindi cha chama kimojaa kulikuwa hakuna tofauti ya kati ya serikali na chama. na kuna taarifa kuwa wafanyakazi walikatwa pesa kwenda kujenga viwanja.
 
Polepole kama hAjui kitu ni heri anyamaze au asifikiri kazi ya katibu mwenezi ni kusema lolote ili mradi unakiteteAchama au taasisi yako wengi tunamkumbuka Lawrence Gama ambaye viwanja kama majimaji, Ali hasani mwinyi vilijengwa wakati akiwa mkuu wa mikoa husika wakati wa ujenzi wa viwanja hivi bia, soda na bidhaa nyingine ziliongezwa bei ili pesa iende kwenye ujenzi huo waliokuwa wanatumia bidhaa hizo ni wananchi wote, baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi ccm kwa makusudi waliamua kuvihodhi viwanja hivyo
 
Back
Top Bottom