upinde wa mvua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu upinde wa mvua

    Kwa masikitiko shet'ani anatumia kila kitu kinachofanana na Mwenyezi Mungu ku 'brain wash' kizazi cha sasa. Kwa imani mbalimbali upinde wa mvua ni Agano kati ya Mungu na wanadamu,,,Rastafarian na hata Wakristo,,,,,, (Mungu hataiangamiza dunia kwa gharika), Sunday school kulikuwa na mafundisho...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi hata ukitaka kuposti picha ya upinde wa mvua unajiuliza maana wananzego wataanza kuunganisha dot

    LGBTQ si mngebuni bendera yenu unique kuliko kutumia bendera yenye rangi za upinde wa mvua ambao hausiani na mambo yenu. Yani sasa hivi hata upinde wa mvua ukitokezea ukiuangalia tu unajishangaa unaanza ku-refer na libendera lenu hilo. Anyway maisha yaendelee.
  3. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Jaribio sahili unaloweza kulifanya na watoto kutengeneza upinde wa Mvua

    Habari wana JF, Leo ninawaleteeni sayansi ya upinde wa mvua. Hivi unafahamu ni kwa vipi upinde wa mvua hutokea? Na ni kwa nini watu wakiona upinde wa mvua husema bila wasiwasi kwamba "mvua haitanyesha, si unaona li upinde la mvua lilee" Naandika mada hii baada ya kusikia kisa cha bodaboda wa...
Back
Top Bottom