Kuhusu ukoo wa massawe

Kuhusu ukoo wa massawe

Habarini wakuu

Kuna binti nipo kwenye uhusiano nae kwa muda kidogo but simwelewi kabisa .

Kwanza jina lake la ukoo ni massawe ,nahis anatokea machame,hivi kuna mwanamke asiyependa hela? Maana kila nikimpatia hela anakataa but papuchi anaileta kama kawa,

Kwahiyo basi nataka mnijuze kama ukoo wa massawe wanatokea machame,

Pili ,ana lengo gani na mimi kwa sababu jinsi vyuma vilivyokaza bint kukataa hela ni vigumu,nilijaribu kumuuliza kwa nini anakataa akanijibu "basi tu "

Najua humu ndani kuna wanasaikolojia ,


By msukuma ndani ya Soweto moshi

Kweli Binadamu ni kiumbe cha ajabu kisichoridhika.
Huyu Binti angekuomba hela, ungesema wamachame wanapenda hela, sasa hataki hela, unauliza tena kwa nini hapokei, sasa ulitakaka yeye afanyeje?

WEW NI KIUMBE CHA AJABU SANA
 
Sawa kama namumiliki kwa nini anakataa kugharamiwa?
Kweli Binadamu ni kiumbe cha ajabu kisichoridhika.
Huyu Binti angekuomba hela, ungesema wamachame wanapenda hela, sasa hataki hela, unauliza tena kwa nini hapokei, sasa ulitakaka yeye afanyeje?

WEW NI KIUMBE CHA AJABU SANA
 
Sawa kama namumiliki kwa nini anakataa kugharamiwa?

Hujamliki, bali yeye ndiye anayekumiliki, na ndiyo maana hataki hela yako.
Wewe mawazo yako ni kutaka kumrubuni kwa pesa zako, lakini yeye alitaka kuku onyesha kuwa hayuko hapo kwa ajili ya biashara.
 
Inawezekana ana sura ya baba yake ndo maana ameamua kuganda kwa style hiyo mkuu hakuna mwanamke aliyekamilika kila idara anayekataa hela,,,ako na tatizo huyo mchunguze.
 
Inaonekana unaleta ligi Kwanza Massawe si wamachame ni warombo lakini kama imeshindwa kumuliza muhusika mwenyewe basi wewe ni bogus kuliko huyo binti wa kichagga.
 
Naona umezunguuuka badala ya kwenda kwenye point sema Wachagga... Nachukia sana watu kama ninyi Wachagga hatukauki midomoni mwenu.....

Siyo kila anayeitwa massawe ni mmachame hilo litambue kwanza.....

Suala la yeye kukataa hela zako inategemea wewe ni mtu wa aina gani kwake.. mfano, kuna watu wakikupa hela hawakawii kuutangazia umma wa watu kwamba katoa hela huwenda wewe ni mmoja wapo.

Cha pili huwenda yupo ambaye anamtegemeza vizuri zaidi ya kwako....

Njia nzuri ya kutambua nyendo za mpenzi wako hakikisha unatengeneza urafiki na maadui wa mpenzi wako....
 
huyo anakuvutia kasi aje akutoe kafara anajua atazipata nyingi tu akishakutoa kafara
 
Angalia kijana isije badae ukamwacha mjane au wameacha zile tabia za kuwatanguliza waume zao mbele za aki jokes mzee oa tu

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Ungetuambia na umri wake ,kama ana 30 kwenda mbele ujue huo ni mtego wa ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom