Kuhusu ukoo wa massawe

Kuhusu ukoo wa massawe

Ana aibu na hela ya man. Subiri mpaka utakapoombwa..
Na kama unataka kumnunulia zawadi don't make it sooo obvious umejikoki eti tunaenda let's say duka la nguo kutafuta zawadi.. just make it kama by the way...
Kama sio aibu basi kuna mwingine anakupambanisha nae,isije tokea siku akakulia buyu,hakutaki ukaanza kusema mbovu kisa ulitumia pesa zako mkiwa pamoja.
Daa kumbe
 
Hahaa usijari
Hyo hela uwe unanipa mimi. Kwakwel sijapata bahati ya kuwahi kupewa hela na bwana wangu.

Sasa msukuma mwenzangu, yeye akikataa nitumie mm
 
Huu ni moja ya ushahidi na muendelezo wa kauli za kibaguzi na kuudhi dhidi yetu Wachagga.
Wachagga tulibaguliwa kwa kificho, ila sasa hivi tunabaguliwa hadharani na kauli za kikabila na kejeli dhidi yetu zimeshika hatamu.
Wachagga tuna makosa gani kwenye nchi yetu?
Kama ni kazi tunafanya, na sheria tunafuata kama wengine ila ndugu zangu, ni nini shida?
Hivi kweli Wachagga hatuna jema la kusemwa?
Huu ubaguzi kejeli zenu hazina maana, na siyo nzuri.
Kila kitu kibaya ni sisi!!!!
Mungu wetu yupo, na atatupigania, na tutasali, tutafanya kazi, na tutazidi kufanikiwa, na tutashinda.
Muda wote unawaza siasa?
 
Kuwa makini mkuu huyu anataka kukufanya Msukule.
Mark my words.hahaha
 
''kaoe kwenu'' kwenye mila unazozijua!!! ambako wewe ulizaliwa na ukalelewa kwa mila hizo!!! ambako mgogoro wa kindoa ukitokea utaweza kusuluhishwa kwa mujibu wa mila zenu
 
Kwenye mada Kama hizi ndo utagundua Wantanzania ni watu wa aina gani?

Wazinzi wanapokutana na kumshauri Mzinzi mwenzao......
 
Kwenye mada Kama hizi ndo utagundua Wantanzania ni watu wa aina gani?

Wazinzi wanapokutana na kumshauri Mzinzi mwenzao......
Daa wazinzi tena?
 
Binadamu hatunaga jema...mkiombwa tatizo,mkitoa wakakataa tatizo

Wewe unatakaje?
yaaani wanaume wa kitanzania ni kwimwi[emoji1] [emoji1] [emoji1] unaweza kuta anakuona hali yako we ndo wahitaji huo msaada ndo maana hapokei
 
Habarini wakuu

Kuna binti nipo kwenye uhusiano nae kwa muda kidogo but simwelewi kabisa .

Kwanza jina lake la ukoo ni massawe ,nahis anatokea machame,hivi kuna mwanamke asiyependa hela? Maana kila nikimpatia hela anakataa but papuchi anaileta kama kawa,

Kwahiyo basi nataka mnijuze kama ukoo wa massawe wanatokea machame,

Pili ,ana lengo gani na mimi kwa sababu jinsi vyuma vilivyokaza bint kukataa hela ni vigumu,nilijaribu kumuuliza kwa nini anakataa akanijibu "basi tu "

Najua humu ndani kuna wanasaikolojia ,


By msukuma ndani ya Soweto moshi
Massawe wapo wa maeneo tofauti kuna Rombo, Moshi Vijijini, Machame Kibosho sasa muulize huyo wako ni wa maeneo gani? Kisha rudi nikushauri
 
Daa kumbe?lakini mbona anategemea wazazi ,hana kazi
yaaani wanaume wa kitanzania ni kwimwi[emoji1] [emoji1] [emoji1] unaweza kuta anakuona hali yako we ndo wahitaji huo msaada ndo maana hapokei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom