Kuhusu ukoo wa massawe

Kuhusu ukoo wa massawe

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,024
Habarini wakuu

Kuna binti nipo kwenye uhusiano nae kwa muda kidogo but simwelewi kabisa .

Kwanza jina lake la ukoo ni massawe ,nahis anatokea machame,hivi kuna mwanamke asiyependa hela? Maana kila nikimpatia hela anakataa but papuchi anaileta kama kawa,

Kwahiyo basi nataka mnijuze kama ukoo wa massawe wanatokea machame,

Pili ,ana lengo gani na mimi kwa sababu jinsi vyuma vilivyokaza bint kukataa hela ni vigumu,nilijaribu kumuuliza kwa nini anakataa akanijibu "basi tu "

Najua humu ndani kuna wanasaikolojia ,

By msukuma ndani ya Soweto moshi
 
Huu ni moja ya ushahidi na muendelezo wa kauli za kibaguzi na kuudhi dhidi yetu Wachagga.
Wachagga tulibaguliwa kwa kificho, ila sasa hivi tunabaguliwa hadharani na kauli za kikabila na kejeli dhidi yetu zimeshika hatamu.
Wachagga tuna makosa gani kwenye nchi yetu?
Kama ni kazi tunafanya, na sheria tunafuata kama wengine ila ndugu zangu, ni nini shida?
Hivi kweli Wachagga hatuna jema la kusemwa?
Huu ubaguzi kejeli zenu hazina maana, na siyo nzuri.
Kila kitu kibaya ni sisi!!!!
Mungu wetu yupo, na atatupigania, na tutasali, tutafanya kazi, na tutazidi kufanikiwa, na tutashinda.
 
Hapana mkuu ,usiwaze hivyo umeenda mbali sana,in short one of my parents ni mchaga kwa hiyo sina nia mbaya,no politics
 
Kama hakuombi hela we uwe unampelekea zawad itapendeza zaid.
Daa asante kwa ushauri,ni kweli zawadi za kawaida anachukua,ila kwenye pasaka nilimwambia achague nguo nimlipie akagoma
 
We kama mnapendana sana, jirahid kujua nn anapenda sn, bas mpelekee hicho kama zawad, nakwaid atakupenda mpaka utafirah
Daa asante kwa ushauri,ni kweli zawadi za kawaida anachukua,ila kwenye pasaka nilimwambia achague nguo nimlipie akagoma
 
Namashaka na usukuma wako wasukuma huwa tunahonga wala hatutangazi iweje wewe nawacwac kama siyo mhaya au kyusa
Hahaa ni mixer mzee,hapana sijitangazi but nataka nijue tu kama kuna wanawake wengine wanakataa hela
 
Hahaa ni mixer mzee,hapana sijitangazi but nataka nijue tu kama kuna wanawake wengine wanakataa hela
Ninyi tunawaita majogoli

Maana siye sukuma halisi hakuna akataaye ataanzaje kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom