Kuhusu ukoo wa massawe

Kuhusu ukoo wa massawe

Et jogoli umenikumbusha mwanza,nimekulia mwanza kwahiyo najua kisukuma na mila zaidi zako,
Ninyi tunawaita majogoli

Maana siye sukuma halisi hakuna akataaye ataanzaje kwanza
 
kwani ni kwamba kila mwanamke anapaswa kuomba hela au kupokea hela awapo kwenye mahusiano.....
Usimpimie. .....mwachie kadi yako ya Bank atumie pale anapohitaji....
Duu kadi hapana ila umenipa wazo ,ntafungua account nyingine niweke kiasi
 
Siyo kukulia huna pure genetic ya kisukuma mtoto wa nyoka ni nyoka hata angekulia wapi atang'ata tu ila wewe siyo kabisa
Et jogoli umenikumbusha mwanza,nimekulia mwanza kwahiyo najua kisukuma na mila zaidi zako,
 
Huu ni moja ya ushahidi na muendelezo wa kauli za kibaguzi na kuudhi dhidi yetu Wachagga.
Wachagga tulibaguliwa kwa kificho, ila sasa hivi tunabaguliwa hadharani na kauli za kikabila na kejeli dhidi yetu zimeshika hatamu.
Wachagga tuna makosa gani kwenye nchi yetu?
Kama ni kazi tunafanya, na sheria tunafuata kama wengine ila ndugu zangu, ni nini shida?
Hivi kweli Wachagga hatuna jema la kusemwa?
Huu ubaguzi kejeli zenu hazina maana, na siyo nzuri.
Kila kitu kibaya ni sisi!!!!
Mungu wetu yupo, na atatupigania, na tutasali, tutafanya kazi, na tutazidi kufanikiwa, na tutashinda.
Aisee umenitia simanzi
 
Daa asante kwa ushauri,ni kweli zawadi za kawaida anachukua,ila kwenye pasaka nilimwambia achague nguo nimlipie akagoma
Ana aibu na hela ya man. Subiri mpaka utakapoombwa..
Na kama unataka kumnunulia zawadi don't make it sooo obvious umejikoki eti tunaenda let's say duka la nguo kutafuta zawadi.. just make it kama by the way...
Kama sio aibu basi kuna mwingine anakupambanisha nae,isije tokea siku akakulia buyu,hakutaki ukaanza kusema mbovu kisa ulitumia pesa zako mkiwa pamoja.
 
Hyo hela uwe unanipa mimi. Kwakwel sijapata bahati ya kuwahi kupewa hela na bwana wangu.

Sasa msukuma mwenzangu, yeye akikataa nitumie mm
Habarini wakuu

Kuna binti nipo kwenye uhusiano nae kwa muda kidogo but simwelewi kabisa .

Kwanza jina lake la ukoo ni massawe ,nahis anatokea machame,hivi kuna mwanamke asiyependa hela? Maana kila nikimpatia hela anakataa but papuchi anaileta kama kawa,

Kwahiyo basi nataka mnijuze kama ukoo wa massawe wanatokea machame,

Pili ,ana lengo gani na mimi kwa sababu jinsi vyuma vilivyokaza bint kukataa hela ni vigumu,nilijaribu kumuuliza kwa nini anakataa akanijibu "basi tu "

Najua humu ndani kuna wanasaikolojia ,


By msukuma ndani ya Soweto moshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom