Kuhusu TV1 account Msaada tafadhari

Kuhusu TV1 account Msaada tafadhari

wildfish

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,116
Reaction score
712
Kwa wale wanao jua mambo yetu yale ya TV1 account sikuhizi naona inazingua sana, kama kuna mtu yeyote anaejua suluhisho lake naomba anisaidie.
 
>> Kwa Tv1 ni kuvuta subira, wakati wowote itarudi rasmi.

>> Kwa sasa waweza chukua cccam account ambazo ziko online kama killer, wshare na BestcamHD

> Karibu
 
Mwl.RCT. Hizo naweza nikazipata vipi na kwa bei gani. Pili stabilite yake ikoje.
 
Acha kutapeliwa ,hizo baada ya muda nazo zinabadilika huu ni mchezo wanafanya.mimi natumia hivi vidude mwaka wa tatu ila kiukweli ni utapeli wa waziwazi.
 
Mkuu nakusoma ila sikuelewi kila siku kwenye thread ya mwl rct

Wewe unatumia huu mwaka wa tatu yaani just imagine 3yrs unatumia dongle afu hauna aibu unazi dis?

Kama ni kero kwako si uziache?

Mm nafikiri kuna utamu ndo maana unaendelea kuzishikilia...

Sasa usikimbilie kudis wauzaji wakati wewe ni mtumiaji sugu wa hivi vidude, just imagine 3yrs!!!

Sasa si ujichomoe....sio kila mtu anaweza kutumia IKS decoders au accts

There are special people,may be you are among them ndo maana bado unatumia for 3yrs

Just wise up kama hauwezi achia game,benefits outweigh risks
 
Kwa wale wanao jua mambo yetu yale ya TV1 account sikuhizi naona inazingua sana, kama kuna mtu yeyote anaejua suluhisho lake naomba anisaidie.

As far as I know the fate of TV1 is not yet known
Though kuna rumors leo itarudi ila sio from trusted source

Watu nilikuwa nikiwambia enzi tv1 imeingia sokoni niliona ikizima mara moja tu kwa week nzima na reason was card zilikua blocked maana after sometimes hawa jamaa wanafanya Card authoriation

Same story happened last thursday I think,by tuesday walirudisha baadhi ya Port kama testing ila kurudi kwa hizo port kulikua based on the fact kwamba wapewe tu #Trusted_clients na si vinginevyo isije trial ikapigwa tena

Ila story ilonifikia jana ni kwamba cards zimekua blocked tena na since then sina communication nzuri na one of accounts manager maana nae anasema server owner hasomeki hewani vizuri

Ni vema kujua wao nao wanapenda hela na ukisikia A1,Killer sijui TV1 sijui BestcamHD we jua hao wajasilia mali tofauti lazima ujue almost all servers zina run under mikono ya waafrica usijefikiria labda wachina wanataka kukutapeli au nn?

China ni simply medium of linking us maana there is no way wataweza kuwashika hivo wanaweza kuuuza hivi vifaa bila shida Hivo usije danganyika eti wachina sijui wamesimamisha server moja ili wauze server nyingine huo ni uhongo nje nje

What I know Card sharing is not easy game maana ni ushindani kati ya wamiliki wa Irdeto2 na wachakachuaji wa mtaani ambao walikosa ajira hivo lazima ujue hamna IKS acct itadumu milele lazima one time tu zife more especially kama hazija make profit ya kutosha

Meanwhile kuna Backups
1.Azsky
2.BestcamHD
3.Killer CCcam

Na natoa test kwa wote inaweza isiwe stable zaidi ila personal account ni stable zaidi

server: bestcamfree.zapto.org
port: 33001
usr: bestcam
pswd: bestcam

whatsapp +255753932250

you can give feedback shida zilipo,mwenye server is at my hand ntamjulisha atarekebisha lkn lazima hiyo shida uki notice na mm mwenye premium acct nyumbani niweze ku notice huo ukweli
 
nashukuru mkuu umenipa mwanga wakutosha mambo mengi nilikuwa siyajui.
 
Back
Top Bottom