Kuhusu siasa na majina yanayoanza na JM!

chante

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
511
675
Ndugu zangu,ni kweli watu ambao majina yao yanaanza na JM wana hulka sana na siasa? Mfano.
1)Julius Malema.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana afrika kusini aliyemsaidia zuma kuingia madarakani.

2)James Millya
mwenyekiti uvccm arusha anayemsaidia lowasa kuingia ikulu

3)John Mnyika
mmpanaji,mwanaharakati,waziri kivuli wa nishati,mmbunge wa ubungo,mwenyekiti mstaafu vijana cdm nk.

4)James Mbatia
mwenyekiti nccr mageuzi,mbunge mstaafu,na alikuwa mgombea ubunge kawe!

5)John Mrema.
Aligombea ubunge via cdm huko vunjo,na ni katibu mambo ya bunge chadema!

6)John Malecela.
Wote mnamjua

7)Jakaya Mrisho
mheshimiwa sana dr JM, raisi wa tanzania!

8)e.t.c(end of thinking capacity)

Je,kuna ukweli wowote?
 
sina uhakika kama ni kweli

nahisi kuna kaukweli ndugu,cheki na hawa,
1)john magufuli
waziri wa miundombinu!
2)james mark mwandosya.
Waziri wa maji.
3)johson mwanyika.
Mwanasheria na akateuliwa kuwa mbunge!
4)joseph mbilinyi
mmbunge mbeya mjini.

Bado tu hujaridhika kaka?
 
List inaendelea
1: John Mangare (Shibuda) Mbunge wa Maswa Magharibi
 
Jina litabaki kuwa kitambulisho cha mtu ila halina mchango wowote ktk utendaji wa mtu.
 
Prof. Jumanne Maghembe. Mbunge wilaya ya Mwanga na Wizara wa Kilimo.
 
ila mengi ya kiafrika tu?? haya naongeza jina la mbunge wangu

John Mnyika!
 
ila mengi ya kiafrika tu?? haya naongeza jina la mbunge wangu

John Mnyika!

ndugu,najaribu kuwatafta walio nje ya africa bdo cjawapata!i thnk tz inaongoza kwa kuwa na weng wanaoanzia na jm
 
Back
Top Bottom