NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Mkuu yani unajua hadi ananitisha. Nimemuuliza swali, kuwa anavuta bangi? akanijibu kwa kifupi kuwa hata South Africa inaruhusiwa. yaani hadi muda ninavyotaipu hii comment bado sms zinaendelea kuingia za kuwaaga wanaJF!!nenda kamuone physically
Yuko wapi? Haspitali gani?Mkuu yani unajua hadi ananitisha. Nimemuuliza swali, kuwa anavuta bangi? akanijibu kwa kifupi kuwa hata South Africa inaruhusiwa. yaani hadi muda ninavyotaipu hii comment bado sms zinaendelea kuingia za kuwaaga wanaJF!!
mmh! mie naogopa. ila anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF kuwa anakwenda kwa baba mbinguniNampa pole, kwa maelezo yako inawezekana malaria imetikisa kichwa chake. get well soon
Hata sijui mkuu!!!!Yuko wapi? Haspitali gani?
mmh! yaani mie ma sms yake anayonitumia hapa, nabaki mdomo wazi kwa kweliMungu amwepushe na kinachomsumbua, ampe maisha marefu.
Hawezi kuaga kirahisi hivyo , mwambie a fight mpaka mwisho.
Asikate tamaa.
Hapana sio tapeli ni yeye kweli.Akituma ya kukuomba hela tu kupitia namba mpya ya simu nistue
Tupiamo basi ka screenshotmmh! yaani mie ma sms yake anayonitumia hapa, nabaki mdomo wazi kwa kweli
Mie hata simuelewi kabisaMwambie aache stress mkuu, aende kwa baba huku anatumia na simu?
Zingine anataja majina yangu kabisa mkuu!!!Tupiamo basi ka screenshot
kama wamemzuia kuongea halafu wanamruhusu kuchat basi hawajamsaidia. Ila jihadhari uenda kaibiwa simu na wajanjaHapana sio tapeli ni yeye kweli.
Napajua mkuuKama unajua anakoishi, nipitie twende wote kumuona.