License to Kill au Leseni ya Kuua
nilikuwa nasoma vitabu vya Willy Gamba na Joram Kiango nikijua ni simulizi pekee....kumbe inaweza kuwa katika uhalisia.....duh....nimechoka.....
Mweeeeh. Hiyo ni nouma!
Zinapatikana wapi hizo makitu?
Mweeeeh. Hiyo ni nouma!
Zinapatikana wapi hizo makitu?
Habari yake bana.
Usichoke, tafakari na uchukue hatua. Ikifika zamu ya JF uwe umejipanga!
Kijitonyama mkuu ndo kila kitu
Asante Mpwa nimefurahi sana kuiona tena hii habari! Nimefurahi sana sana. Japo umeondoa yale majina najua ni kwa ajili ya usalama! Be blessed
luteni kanali kikwesawa. Nini kirefu cha ltk?
Kiukweli mimi ni mmoja ya watu waliolaumu sana MoDs kwa uonevu walioufanya asubuhi lakini saizi nimeridhika sasa. Habari hii ni nzito sana hivyo namtaka mtoa mada kuwa makini sana maana hao walio jamaa wakipata mrejeshonyuma itakuwa balaa. Kazi nzuri.Asante Mpwa nimefurahi sana kuiona tena hii habari! Nimefurahi sana sana. Japo umeondoa yale majina najua ni kwa ajili ya usalama! Be blessed