Kama aliweza kuchakachua ripoti ya kamati ya bunge ya Richmond ili kuwalinda watu anaowajua serikalini, ni nini kitatufanya tusiamini kuwa hata hii barua inayosemekana kuwa aliipeleka polisi haijachakachuliwa?
Halafu barua yenyewe ukiisoma imekaa kimahokamahoka utadhani ni scipt ya picha ya kinaijeria ya kishirikina. Inaonekana huyu Dr.Mwakyembe ni bingwa wa kuangalia movie za kishirikina za wanaijeria.